wapi tunaweza kupata sponsor wa kutuwezesha kutengeneza kipindi na kurushwa kwenye TV? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wapi tunaweza kupata sponsor wa kutuwezesha kutengeneza kipindi na kurushwa kwenye TV?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Doyi, Sep 28, 2012.

 1. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  heshima kwenu wadau
  sisi ni vijana tulioamua kujikwamua na tatizo la ajira kwa kubuni kipindi kizuri cha kuoneshwa katika tv.kipindi hiki kinahusu kurekebisha mienendo ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla,kukemea mabaya na kusifia mazuri ya wanajamii katika mfumo wa kuelimishana na kwa namna ya kuchekesha(japo siyo totaly a comedy) na kwa maneno yasiyo kera wala kuvuka mipaka ya kimaadili.kukumbusha mamlaka zinazohusika ziwajibike katika kuihudumia jamii katika masuala ya huduma za jamii kama maji safi na taka,umeme, usafi n wa mazingira na kadhalika.tumeshasajili hicho kipindi na tayari tuna demonstration ya hicho kipindi(DEMO),concept note tayari tunayo na mtu wa kutuandikia poroposal tayari tunae.tatizo letu ni namna ya kumpata mdhamini atakaetuwezesha kutengeneza vipindi vya miezi 6 na kuvirusha kwenye tv channel.tuna imani project hii baada ya kuoneshwa itapata wadhamini wengi na hivyo kuleta kipato kwa sisi na mdau atakaetuwezesha kumpata mdhamini.kwa mawasiliano tutafte kwa email hii hsudi2012@yahoo.com au simu 0717478451 na 0713986635 .asanteni
   
 2. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Samahanini wadau Typing error hapo kwenye poroposal nlimanisha "PROPOSAL" wadau
   
 3. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  wahusika wanakuja usijali
   
 4. Matendo Andrew

  Matendo Andrew JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2014
  Joined: Apr 1, 2014
  Messages: 544
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  sawa mkubwa vipi umeshapata?
   
Loading...