Mdahalo wa madaktari wakijerumani, kichina na wakitanzania ulivyoenda

STREET SMART

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
807
622
Wakielezea mafanikio waliyoyapata toka mwaka 2005 hadi leo
  1. Madaktari wakijerumani: kwao ujerumani alizaliwa mtoto asiye na macho wala asiyeza kuskia, lakini kwa juhudi zao huyo mtoto leo hii ni mwanasheria maarufu tu.
  2. Madaktari wa kichina: Kwetu alizaliwa mtoto bila miguu na mikono, lakini kwa bidii zetu leo ni mwanariadha mashuhuri.
  3. Madaktari wa Tanzania: Kwetu Tanzania maeneo ya Bagamoyo alizaliwa mtoto bila ya kichwa, tukamuwekea dafu kichwani na leo hii ni Rais wa Tanzania toka 2005. Kweli wabongo noma
 
Mhuuu! Ngoja nipite kwanza, naweza kurudi!
 
Back
Top Bottom