STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 807
- 622
Wakielezea mafanikio waliyoyapata toka mwaka 2005 hadi leo
- Madaktari wakijerumani: kwao ujerumani alizaliwa mtoto asiye na macho wala asiyeza kuskia, lakini kwa juhudi zao huyo mtoto leo hii ni mwanasheria maarufu tu.
- Madaktari wa kichina: Kwetu alizaliwa mtoto bila miguu na mikono, lakini kwa bidii zetu leo ni mwanariadha mashuhuri.
- Madaktari wa Tanzania: Kwetu Tanzania maeneo ya Bagamoyo alizaliwa mtoto bila ya kichwa, tukamuwekea dafu kichwani na leo hii ni Rais wa Tanzania toka 2005. Kweli wabongo noma