Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Mdaharo ndio unaanza sasa:unatolewa wasifu wa hawa viongozi 3.
 
Mc anatoa brief introduction ya kila mshrk.
 
Topic: The Tanzania We Want.
M\kiti anafungua mdahalo.
 
Wakuu, mdahalo walisema utaanza saa 7:30, nadhani utakuwa umeanza dakika chache lizilopita. Mlio karibu na runinga zenu mtujuzeni tafadhali.
 
Itikad ya Chama cha Mapinduzi ni ya Ujamaa. Unafikri itikad hii itaweza kutufikisha ktk tanzania tunayoitaka.
Swali la kwanza kwa Nape.
 
Mwakitange anawashukuru washiriki,lakn ana swali la kwanza kwa: Nape
Swali: Itakadi ya CCM NI Ujamaa nn nape unafkiri hii itikadi itatupeleka? Jibu: ccm wanataka kujenga nchi ya kijamaa yani udugu,kujitegemea na kujiamuliwa mambo yetu wenyewe
 
nape ameshajibu swali kuhusu ujamaa anakandamiza wa cuf sasa
 
Nape kaanza kuzungumzia itikadi ya ujamaa, sasa Jusa anafafanua itikadi ya CUF

Fuatilia
 
Swali kwa Jusa
Itakadi ya cuf ni utajirisho je ni utajirisho wa namna gani? Jb: anasema utajirisho una dhana ya uliberali na wanatafsiri kwa sabb ina misingi ya utajirisho.
Misingi mikuu ya utajirisho ni mfano accountability,rule of law etc
 
Majibu ya Nape.
Anadai stil bado ccm inaamin kuwa itikad ipo sahih. Ameropoka sana. Hakuna alichoongea. Anadai imetupeleka kwa miaka 50. Anasema kuwa malengo ya itikad ni kuifkisha nch sehemu flan, (hajataja hyo sehemu), pia anasema kuwa ujamaa unamfanya mwananchi kuish kijamaa, kindugu na kujitegemea. Ameulizwa kuwa ujamaa huu ndio ule wa Nyerere amejibu ndio.
 
Itkad ya Chadema anaanza kuieleza Marando.
 
Chondechonde tuhabarisheni kinachotokea wakuu,wengine tupo mbali na Star tv
 
Swal kwa Chadema,
Falsafa ya nguvu ya hoja itaifksha Tanzania where we want?
 
Marando anamwaga mapoint ya kufa mtu....hapa leo Nape mkojo lazima umtoke
 
Anaeleza nin maana ya mrengo wa kati.
Serikal ijitoe katika shughuli ambazo wananchi wanaweza kuzisimamia.
 
Haya wakuu huyu mwakilishi wa cuf anaanza kwa kuwaponda chadema,lakini Marando anamjibu kwa hoja mzito na makini
 
Jusa kawachana Cdm, anasema hawajui wako wap?. Anasema in real sense cuf pekee ndio walio ktk mrengo wa kati.
 
Back
Top Bottom