Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

Hivi karibuni nilioenda mitaa ya kitumbini kwenye maduka ya jumla kununua bidhaa za dukani kwangu na nilifanya manunuzi kwenye maduka ya wachina na wahindi
Nilinunua mzigo wa kama 11m lakini risiti halali za TRA nilizopewa zilikuwa zinaonyesha hesabu pungufu na kwamba eti nimenunua mzigo wa sh laki nane tu . Nilivyouliza wakaniambia ndiyo huwa wanafanya hivyo ili kukwepa kodi

Je TRA mnalijua hili????

mmh so funny...yaani wewe mwenyewe unakubari kuibiwa na unakubari Taifa lako liibiwe! wewe ulichukua hatua gani au walikuhonga? kwa nini usingepiga simu TRA au hata japo kuikataa hiyo stakabadhi!! CHANGES BEGIN WITH YOU!
 
Wanalipwa Mishahara na makampuni mengi tena siyo mengi karibu yote yanawalipa TRA mishahara..ndio maana watumishi wao wengi wana mali na Utajiri wa kutisha sana...
 
Nchi hii ukiwa mfanyakazi ndio unabeba zigo la kodi, ukitaka kufaidi nchi kua mfanyabiashara (mgeni au mwenyeji) ukifanya vurugu zote uzijuazo halaf toa protection money kwa genge la walioshika nchi and you will be fine/
 
Hivi karibuni nilioenda mitaa ya kitumbini kwenye maduka ya jumla kununua bidhaa za dukani kwangu na nilifanya manunuzi kwenye maduka ya wachina na wahindi
Nilinunua mzigo wa kama 11m lakini risiti halali za TRA nilizopewa zilikuwa zinaonyesha hesabu pungufu na kwamba eti nimenunua mzigo wa sh laki nane tu . Nilivyouliza wakaniambia ndiyo huwa wanafanya hivyo ili kukwepa kodi

Je TRA mnalijua hili????

Mkuu mwenyewe nishahoji mchina mmoja akasema serikali matatizo itakusaidia nini wewe nikafikiri kwa kina nikakumbuka jinsi mafisadi wanavyotukula ikabidi niondoke tu pasipokudai haki halisi ya risiti
 
Kweli ila sasa tufanye je? Ama na sisi tutafute pa kuponea na sisi?

kwa hali ili ilivyo sasa na serikali yetu ya kisanii kuipata haki ni kazi sana.

ukijifanya unadai haki basi wewe ndio mhanga wa haki yako.
cha mhimu ukipata nafasi itumie ipasavyo,wakati tukiendelea kusubiri Serikali makini.!!
 
Wapigie TRA moja kwa moja au polisi mkao makuu, halafu wasipofanya ndo uwalaumu. usilaumu watu pasi we mwenyewe kushuhudia utendaji wao. namba za police makao makuu hizi hapa 0754785557 au 0782417247
 
Hivi karibuni nilioenda mitaa ya kitumbini kwenye maduka ya jumla kununua bidhaa za dukani kwangu na nilifanya manunuzi kwenye maduka ya wachina na wahindi
Nilinunua mzigo wa kama 11m lakini risiti halali za TRA nilizopewa zilikuwa zinaonyesha hesabu pungufu na kwamba eti nimenunua mzigo wa sh laki nane tu . Nilivyouliza wakaniambia ndiyo huwa wanafanya hivyo ili kukwepa kodi

Je TRA mnalijua hili????

Habari,
Maneno uliyoyaleta hapa JF ni ya uongo, Mpaka sasa hakuna duka la MCHINA kitumbini linalouza bidhaa za dukani kwa jumla au hata kwa rejareja na halijawahi kuwepo kabla. kulikua na duka la mchina anauza used computer mtaa wa Libya opp Oilcom ambalo hivi sasa limefungwa na lingine lipo mtaa wa India wanauza tiles, zaidi ya hapo hakuna lingine labda Chinese Restaurant.
Ni kweli baadhi ya wafanyabiashara wanakwepa kodi lakini pia wanunuzi ndio chanzo cha ukwepaji huo, utawasikia wanunuzi wakisema mimi nataka kununua lakini usinicharge VAT na mfanyabiashara naye anasema ok lakini receipt sikupi kama unataka nisikucharge VAT!! Mnunuzi anasema poa, mara nyingine mnunuzi anajibu niandikie ya amount ndogo inilinde njiani. Ni lazima tujue mfumo wa kodi upo vipi ndio tuweze kuchangia thread kama hii sio tunakurupuka tu. VALUE ADDED TAX (VAT) ni kodi ya mlaji (mnunuzi) mfanyabiashara yeye anaikusanya na mwisho wa mwezi anaiwakilisha TRA kwa hiyo mnunuzi akikataa kuilipa anachofanya mfanyabiashara ni kutotoa EFD receipt na record ya mauzo hayo haifiki TRA. Mnunuzi anafaidika zaidi kwa kukwepa 18% VAT na mfanyabiashara anafaidika kuminimize income tax.
Sasa mleta mada wacha uongo haiwezekani ukapewa receipt ya amount ndogo kama hujaitaka mwenyewe,
Nafikiri unachuki na hizo race mbili ulizozitaja ikapelekea kuamua kupika majungu bila kufanya utafiti.
Narudia tena hakuna duka la mchina kitumbini ila ni kweli kuna wafanyabiashara na wanunuzi wanaokwepa kodi na mleta mada hajanunua kitu chochote kitumbini ni kamba tu zinazosukumwa na chuki yake dhidi ya hizo race.
Samahani kama nimemkwaza mtu nilikua napita tu.
 
Wapigie TRA moja kwa moja au polisi mkao makuu, halafu wasipofanya ndo uwalaumu. usilaumu watu pasi we mwenyewe kushuhudia utendaji wao. namba za police makao makuu hizi hapa 0754785557 au 0782417247

... kabla hujapiga ng'oa kucha zako ziweke mahala salama.
 
Hivi karibuni nilioenda mitaa ya kitumbini kwenye maduka ya jumla kununua bidhaa za dukani kwangu na nilifanya manunuzi kwenye maduka ya wachina na wahindi
Nilinunua mzigo wa kama 11m lakini risiti halali za TRA nilizopewa zilikuwa zinaonyesha hesabu pungufu na kwamba eti nimenunua mzigo wa sh laki nane tu. Nilivyouliza wakaniambia ndiyo huwa wanafanya hivyo ili kukwepa kodi

Je TRA mnalijua hili????

Ukwepaji wa Kodi ni kosa la kijinai kama makosa mengi Tatizo katika kosa hili mkwepaji anashirikiana na watu wawili Maafisa wachache wasio waaminifu wa Mamlaka ya Mapato na Raia aliyenunua. Kama lau kila raia angetumia busara na kuhakikisha anapata risiti sahihi katika kila Mauzo tungepiga hatua kubwa katika kukomesha uovu huu.
 
Kweli ila sasa tufanye je? Ama na sisi tutafute pa kuponea na sisi?

Hapo Mkuu na wewe unawakomalia wanakupunguzia bei ya manunuzi!! Wahindi wajanja sana wanaandika bei tofauti na ulivyonunulia kwa mfano umenunua ream karatasi wanaandika madaftari au kama wanandika ream basi bei wanakuwekea 7,000 kwa katoni.

TRA nao majizi tu acha wahindi nao watuibie!!!
 
Hivi karibuni nilioenda mitaa ya kitumbini kwenye maduka ya jumla kununua bidhaa za dukani kwangu na nilifanya manunuzi kwenye maduka ya wachina na wahindi
Nilinunua mzigo wa kama 11m lakini risiti halali za TRA nilizopewa zilikuwa zinaonyesha hesabu pungufu na kwamba eti nimenunua mzigo wa sh laki nane tu . Nilivyouliza wakaniambia ndiyo huwa wanafanya hivyo ili kukwepa kodi

Je TRA mnalijua hili????

kwanini na wewe (ukubali) kuchukua risiti ya laki nane wakati umenunua mzigo wa 11m??....na wewe umewasaidia kama sio kushiriki kuuibia serikali
 
Back
Top Bottom