inafurahisha sana lowasa kukimbia mdahalo.
nadhani anaogopa atashindwa simama zaidi ya 30 minutes
Ha ha ha ha ha ha ha ha mmepatikana nyie mafisadi na hilo fisadi lenu lazima asimame jukwaani atuambie atatufanyia nini vinginevyo tupa kure.
Tunataka mdahalo wa kina kuhusu masuala kitaifa tujue jinsi gani tutakaowapa dhamana wataendesha nchi
yetu , jinsi gani ilani zao zitatekelezwa, utamaduni huu ujengeke kwenye chaguzi zetu , tena sio tu kati ya wagombea urais wa vyama vya siasa , bali pia ndani ya vyama wakati wa mchujo (a.k.a kukatwa) , kama wenzetu wenye demokrasia imara wanavyofanya , wataokaoshiriki ndio tutawapima na ndio tukaowachagua , wasioshiriki midahalo inaashiria hawajiamini na sera zao hazitekelezeki, nachelea kusema ni "wasanii wa kisiasa"! Hatutawamini bila kuwapima , jaribu kutafakari kama Donald Trump angekacha kwenye mdahalo wa Republican, au Obama wakati ule, Obama angekimbia , ingekuwaje ? Tujifunze kwa wenzetu , tuache kujitoa ufahamu kuwa hatujui umuhimu na mchango wa debates,ili tujenge demokrasia yetu iwe pana ,imara, ya uwazi , na ushirikishwaji wa wananchi. Tume ya taifa ya uchaguzi pia iangalie ni jinsi gani hili linaweza kusimamiwa iwe ni lazima na sio hiari. Itoshe tu kusema , asiyeshiriki midahalo hana nia ya kujenga demokrasia yetu, na kwa maana hio hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi yetu, na hivyo ndugu zangu wasioshiriki tusione haya "kuwakata" tar 25 October !
Defiant Donald Trump dominates US Republican TV debate - BBC News
inafurahisha sana lowasa kukimbia mdahalo.
nadhani anaogopa atashindwa simama zaidi ya 30 minutes
siku lowasa akienda mdahalo kura yangu naiondoa...
na sisi tuonyeshe dhalau zile za mwaka 2010 tulizo onyeshwa....
kama na ww utaondoa kura jamaa akikubali kuburuzwa ungana na mm
Donald Trump is the worst debater so far still he is leading all other candidates in the Republican side,you can see how less effective the debate can be in rallying the support behind you.People don't wanna hear sweet promises anymore, all they want to see happening is a change, that's it.
Tunataka mdahalo wa kina kuhusu masuala kitaifa tujue jinsi gani tutakaowapa dhamana wataendesha nchi
yetu , jinsi gani ilani zao zitatekelezwa, utamaduni huu ujengeke kwenye chaguzi zetu , tena sio tu kati ya wagombea urais wa vyama vya siasa , bali pia ndani ya vyama wakati wa mchujo (a.k.a kukatwa) , kama wenzetu wenye demokrasia imara wanavyofanya , wataokaoshiriki ndio tutawapima na ndio tukaowachagua , wasioshiriki midahalo inaashiria hawajiamini na sera zao hazitekelezeki, nachelea kusema ni "wasanii wa kisiasa"! Hatutawamini bila kuwapima , jaribu kutafakari kama Donald Trump angekacha kwenye mdahalo wa Republican, au Obama wakati ule, Obama angekimbia , ingekuwaje ? Tujifunze kwa wenzetu , tuache kujitoa ufahamu kuwa hatujui umuhimu na mchango wa debates,ili tujenge demokrasia yetu iwe pana ,imara, ya uwazi , na ushirikishwaji wa wananchi. Tume ya taifa ya uchaguzi pia iangalie ni jinsi gani hili linaweza kusimamiwa iwe ni lazima na sio hiari. Itoshe tu kusema , asiyeshiriki midahalo hana nia ya kujenga demokrasia yetu, na kwa maana hio hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi yetu, na hivyo ndugu zangu wasioshiriki tusione haya "kuwakata" tar 25 October !
Defiant Donald Trump dominates US Republican TV debate - BBC News
Mkuu kwanza hakuna mgombea alielala wote wapo busy kutafuta kura na ktk mdahalo pia ni fursa nzur ya kujenga hoja na kunadi sera kwa wapiga kura ili wakuchague kwa hiyo ni vizur wagombea wa urais ndio washiriki mdahalo sabab wao ndio waliopewa dhamana ya kuongoza nchi na vyama vyao na sio wenyeviti wa vyama na mwisho ukumbuke NAPE NA MNYIKA sio wenyeviti wa vyama!!.mimi kwa mawazo yangu mdahalo ni sawa ila kwa sasa mgombea wetu yupo busy kutafuta support kwa wazee na akina mama kwa sababu vijana wote numemkubali, sasa ushauri wangu kwa makamba ni kwamba mdahalo huu uwe kwa wenyeviti wa vyama vikuu MH. BOWE VS MH. KIKWETE ,,, NAPE VS MNJIKA ,,,,,,, HAPO PATACHIMBIKA.
ukiondoa 1995, miaka mingine yote ccm walikimbia midahalo. 2000 na 2005 walimtuma ngasongwa, 2010 hata wabunge na madiwani waliwakataza, jk alihojiwa peke yake na tbc, leo kimewasibu nini?hivi mwaka 2005 na 2010 wakina nani walikimbia mdahalo na kwasasa kwann wanataka kisa mzee ni wa vitendo sio wa kuongea sana
kuna midahalo ya ubunge kwa majimbo inaendelea kule azam tv chini ya tido mhando..... wagombea wa ccm wanakimbia kama vichaa.... alianza wa segerea akamkimbia mtatiro, jana wa ccm kwa jimbo la kawe kamkimbia halima mdee sasa unajiuliza hawa watu wanataka mdahalo kweli au wanatishia kujamba wakat wanaharisha? wanabip wanapigiwa halafu hawapokei!!!!!
Una kiingereza kizuri ila inakupasa ujifunze matumizi ya nukta na commaDonald Trump is the worst debater so far still he is leading all other candidates in the Republican side,you can see how less effective the debate can be in rallying the support behind you.People don't wanna hear sweet promises anymore, all they want to see happening is a change, that's it.
ukiondoa 1995, miaka mingine yote ccm walikimbia midahalo. 2000 na 2005 walimtuma ngasongwa, 2010 hata wabunge na madiwani waliwakataza, jk alihojiwa peke yake na tbc, leo kimewasibu nini?