Mdahalo ni lazima sio hiari

Mdahalo ni lazima sio hiari

Mdahalo sio kitu ya kula wala kitu ya kulamba chamsingi kuraaaaaa
 
Tunataka mdahalo wa kina kuhusu masuala kitaifa tujue jinsi gani tutakaowapa dhamana wataendesha nchi
yetu , jinsi gani ilani zao zitatekelezwa, utamaduni huu ujengeke kwenye chaguzi zetu , tena sio tu kati ya wagombea urais wa vyama vya siasa , bali pia ndani ya vyama wakati wa mchujo (a.k.a kukatwa) , kama wenzetu wenye demokrasia imara wanavyofanya , wataokaoshiriki ndio tutawapima na ndio tukaowachagua , wasioshiriki midahalo inaashiria hawajiamini na sera zao hazitekelezeki, nachelea kusema ni "wasanii wa kisiasa"! Hatutawamini bila kuwapima , jaribu kutafakari kama Donald Trump angekacha kwenye mdahalo wa Republican, au Obama wakati ule, Obama angekimbia , ingekuwaje ? Tujifunze kwa wenzetu , tuache kujitoa ufahamu kuwa hatujui umuhimu na mchango wa debates,ili tujenge demokrasia yetu iwe pana ,imara, ya uwazi , na ushirikishwaji wa wananchi. Tume ya taifa ya uchaguzi pia iangalie ni jinsi gani hili linaweza kusimamiwa iwe ni lazima na sio hiari. Itoshe tu kusema , asiyeshiriki midahalo hana nia ya kujenga demokrasia yetu, na kwa maana hio hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi yetu, na hivyo ndugu zangu wasioshiriki tusione haya "kuwakata" tar 25 October !

Defiant Donald Trump dominates US Republican TV debate - BBC News

Huo utamaduni hatukua nao labda msubiri CHADEMA tukishika madaraka ndio tutaanzisha.
 
MDAHALO HAUNA TIJA KWA SASA/
USELESS!
NI HIYARI YA MTU NA SILAZIMA
MBONA CCM WALIIGOMEA MIAKA YOOOTE!
KUANZIA 2005?
VOID,VOID,VOID,VOID!!!
kk
 
Tunataka mdahalo wa kina kuhusu masuala kitaifa tujue jinsi gani tutakaowapa dhamana wataendesha nchi
yetu , jinsi gani ilani zao zitatekelezwa, utamaduni huu ujengeke kwenye chaguzi zetu , tena sio tu kati ya wagombea urais wa vyama vya siasa , bali pia ndani ya vyama wakati wa mchujo (a.k.a kukatwa) , kama wenzetu wenye demokrasia imara wanavyofanya , wataokaoshiriki ndio tutawapima na ndio tukaowachagua , wasioshiriki midahalo inaashiria hawajiamini na sera zao hazitekelezeki, nachelea kusema ni "wasanii wa kisiasa"! Hatutawamini bila kuwapima , jaribu kutafakari kama Donald Trump angekacha kwenye mdahalo wa Republican, au Obama wakati ule, Obama angekimbia , ingekuwaje ? Tujifunze kwa wenzetu , tuache kujitoa ufahamu kuwa hatujui umuhimu na mchango wa debates,ili tujenge demokrasia yetu iwe pana ,imara, ya uwazi , na ushirikishwaji wa wananchi. Tume ya taifa ya uchaguzi pia iangalie ni jinsi gani hili linaweza kusimamiwa iwe ni lazima na sio hiari. Itoshe tu kusema , asiyeshiriki midahalo hana nia ya kujenga demokrasia yetu, na kwa maana hio hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi yetu, na hivyo ndugu zangu wasioshiriki tusione haya "kuwakata" tar 25 October !

Defiant Donald Trump dominates US Republican TV debate - BBC News

Sheria gani inaelekeza kuwa midahalo inapaswa kuwepo na ni lazima si hiari...??
Kama unataka mdahalo kafanye na Kikwete akikubali ujue umeshindaaa..!!
 
Nilisema kwenye uzi mwingine kuwa midahalo yenye tija itatokana na kuwepo kwa utamaduni wa midahalo ambao kwa sasa hivi haupo hapa nchini. Ili kuwe na midahalo yenye tija ni lazima kuwe na taasisi huru za kuiratibu na kusiwe na rushwa ya kisiasa (political corruption) inayofanya kuwepo na utegemezi wa 'goli la mkono' kufikia malengo ya kisiasa. Mwaka 1995 baadhi ya washiriki wa mdahalo wa urais walilalamika kuwa moderators walikuwa biased. Kwa mazingira ya kisiasa hapa 'Bongo' hatuwezi ku-rule out mchezo mchafu hapa. Hili ni tatizo. Haki za washiriki mdahalo lazima ziheshimiwe na zithaminiwe. Historia inaonyesha midahalo inaweza kuangusha chama vibaya kwenye uchaguzi na kusambaratisha wagombea kisiasa kama hakuna uratibu mzuri. Mifano wa wanasiasa 'waliokufa' kisiasa kutokana na midahalo ya urais huko Marekani ni Walter Mondale 1984 na Howard Dean 2004. Je, kwa mfano, kwa nini mwaka 2005 na 2010 CCM walikataa midahalo lakini sasa wanaikubali? Au, kwa nini hasa Chadema/Ukawa wanakataa mdahalo mwaka huu?
 
Tunataka mdahalo wa kina kuhusu masuala kitaifa tujue jinsi gani tutakaowapa dhamana wataendesha nchi
yetu , jinsi gani ilani zao zitatekelezwa, utamaduni huu ujengeke kwenye chaguzi zetu , tena sio tu kati ya wagombea urais wa vyama vya siasa , bali pia ndani ya vyama wakati wa mchujo (a.k.a kukatwa) , kama wenzetu wenye demokrasia imara wanavyofanya , wataokaoshiriki ndio tutawapima na ndio tukaowachagua , wasioshiriki midahalo inaashiria hawajiamini na sera zao hazitekelezeki, nachelea kusema ni "wasanii wa kisiasa"! Hatutawamini bila kuwapima , jaribu kutafakari kama Donald Trump angekacha kwenye mdahalo wa Republican, au Obama wakati ule, Obama angekimbia , ingekuwaje ? Tujifunze kwa wenzetu , tuache kujitoa ufahamu kuwa hatujui umuhimu na mchango wa debates,ili tujenge demokrasia yetu iwe pana ,imara, ya uwazi , na ushirikishwaji wa wananchi. Tume ya taifa ya uchaguzi pia iangalie ni jinsi gani hili linaweza kusimamiwa iwe ni lazima na sio hiari. Itoshe tu kusema , asiyeshiriki midahalo hana nia ya kujenga demokrasia yetu, na kwa maana hio hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi yetu, na hivyo ndugu zangu wasioshiriki tusione haya "kuwakata" tar 25 October !

Defiant Donald Trump dominates US Republican TV debate - BBC News

Waulize CCM kwanini walikimbia midahalo 2010.na katibu mkuu wao akakataza kujihusisha kabisa na midahalo..Sasa kama mwaka huu wanadhani ndio wakati muafaka wa kuwa na midahalo basi wazungumzie pia masuala ya foreign policy..na siyo mambo ya utaifa tu..mgombea uraisi atuambie atashirikianaje vipi na nchi nyingine kuleta maendeleo..sasa mgombea wenu atawezaje kufanya hilo wakati hata maraisi wa nchi nyingine hawajui?magufuli sio presidential material..ni mtendaji tu,ni mtu wa kuambiwa cha kufanya..kwa uraisi?bid NOOO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom