Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
11,025
38,605
Mgombea urais wa chama Republican huko USA, Donald Trump ametangaza rasmi kususia midahalo yoyote ya urais inayomkutanisha na Kamala Harris.

Uamuzi huu umekuja siku moja tu baada ya Trump kuhenyeshwa vibaya na mpinzani wake wa chama cha Democrat, mwanamama Kamala Harris kwenye mdahalo wa kwanza uliowakutanisha wawili hao.

Soma Pia: Kamala, Trump wavutana katika Mdahalo wao, kila upande wadai umefanya vizuri
---
Washington — Former President Donald Trump announced Thursday that he won't debate Vice President Kamala Harris again, following Tuesday night's meeting between the two in Philadelphia.

"THERE WILL BE NO THIRD DEBATE!" Trump said at the end of a long post on his Truth Social account. The first presidential debate was in June between Trump and President Biden.

"When a prizefighter loses a fight, the first words out of his mouth are, 'I WANT A REMATCH,'" Trump wrote in his post, explaining why he doesn't want another debate and insisting unnamed polls showed he won.

But initial polls by Reuters, YouGov and CNN showed a wide majority of voters thought Harris outperformed Trump. Most commentators and observers agreed that Harris got the upper hand in the showdown, with the vice president generally remaining on the attack while putting Trump on the defensive.

Trump at times struggled to focus his messaging, repeating debunked claims that Haitian migrants are eating pets, insisting people aren't leaving his rallies early and saying he has "concepts" of a health care plan.

Shortly after Trump's post, Harris addressed a crowd at a rally in North Carolina, where she said she was open to another debate.

"I believe we owe it to the voters to have another debate," she said.

Many of Trump's allies also said that Harris had come out on top in Philadelphia. Robert F. Kennedy Jr., who endorsed Trump after dropping out of the race for president, told Fox News on Wednesday that Harris "clearly won the debate in terms of her delivery, her polish, her organization, and her preparation," even though "I think on substance, President Trump wins in terms of his governance."

"But he didn't tell that story," Kennedy told Fox News.

After the debate ended Tuesday night, Republican Rep. Mike Collins of Georgia posted to X, "You want to know who won? Find out who refuses to do a 2nd debate."

Source: BBC
 
Mgombea urais wa chama Republican huko USA, Donald Trump ametangaza rasmi kususia midahalo yoyote ya urais inayomkutanisha na Kamala Harris. Uamuzi huu umekuja siku moja tu baada ya Trump kuhenyeshwa vibaya na mpinzani wake wa chama cha Democrat, mwanamama Kamala Harris kwenye mdahalo wa kwanza uliowakutanisha wawili hao.

Source: BBC
Babu kaweka mpira kwapani.....chezea Punch za Kamala wewe, sio mchezo.


Ile knock out ya bibie Kamala imemmaliza Sana Babu Trump.
 
Mwana mama alivaa hereni za kisasa ambazo ni earphone hivyo kuna uwezekano wa kituo kilichoendesha mdaharo kikachunguzwa. Isitoshe alikuwa anakatishwa mara kwa mara kumtoa kwenye mstari.
Hizo habari za hereni za earphone ni stori za vichochoroni tu, mwanamama alijipanga vizuri na huwa kwenye midahalo huwezi kumshinda. Ndivyo alivyo hivyo.
 
Wamarekani wasirogwe na rekodi uchwara, mwanamke sio kiongozi.
Kwa nchi za wenzetu zenye mfumo imara wa utawala unaounda taasisi imara kama polisi, Usalama wa Taifa, mahakama huru, Bunge huru hata Samia Suluhu Hassan au wewe michibo unaweza kuwa kiongozi mkuu (Rais) wa nchi bila shida na huwezi kufanya ujinga wowote kama kuuza Bandari au kufukuza Wamasai wa Ngorongoro na ardhi yao unawapa waarabu kwa jina la "wawekezaji..."

Huku Afrika bado sana. Mifumo iko loose mno. Ukiwa na kiongozi mkuu wa nchi (Rais) mjinga na mwenye tamaa ya fedha, anauza nchi yote na hakuna taasisi yoyote iwe mahakama, Bunge wala UWT itakayomzuia. Ndicho anachofanya Rais Samia Suluhu Hassan hapa nchini kwetu, Tanganyika..>

Mbaya zaidi kiongozi huyo awe mwanamke, basi hali inakuwa mbaya zaidi na zaidi. Ndivyo ilivyo leo hapa Tanganyika...
 
Trump at times struggled to focus his messaging, repeating debunked claims that Haitian migrants are eating pets, insisting people aren't leaving his rallies early and saying he has "concepts" of a health care plan.
Walichomfanyia trump sio jambo professional kabisa, trump alisema kitu ambacho cha ukweli kabisa, wao wakatoa sijui wapi statistics za uongo ili tuu kumfanya trump aonekane muongo.
 
Abortion, Racism, Migrants na Ukraine war ndio mada tata zilizomtoa kamasi.

Alishindwa kutoa maelezo mazuri ni namna gani anaweza kumaliza vita ya Ukraine kwa masaa 24 kama alivyoahidi kwenye mdahalo wake na Biden.

Hakuweza kujibu swali la kama atafurahi kuona Ukraine inashinda vita dhidi ya Urusi.

Trump alionesha viashiria vyote kuwa ataenda kuikabidhi Ukraine mazima kwa Putin kitu ambacho wamarekani hawapendi kukiona kinatokea.

Trump alifurahia kuona majeshi ya Urusi yanavamia Ukraine, mtu huyu hawezi kukubalika na wamarekani ambao siku zote wanamuona Urusi kama adui yao.
 
now ni kama nimemuelewa hariss hivi kama ana nia nzuri na marekani
lakini ni kama namuona trump ni kama yupo kimslai kwaajili ya kundi fulani la watu hasa matajiri wakina musk
 
Back
Top Bottom