Sssuuuubbbbuuuuttttuuuu!!!!!Nilitegemea kuona jina na sura ya Rais pendwa wa CCM akishiriki kwene mjadala....😆😆
Sssuuuubbbbuuuuttttuuuu!!!!!Nilitegemea kuona jina na sura ya Rais pendwa wa CCM akishiriki kwene mjadala....😆😆
Shikamoo mzee , kama ulisikia tangazo hili wewe ni lazima utakuwa mhenga tuWhat's your name?...
Jina langu Maimuna!
Say it in English please....
Nimesema naitwa Maimuna!
"Pipo yuzid to dai in ze reki"
Calm down my brother, don't panic.Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Mwaka huu Mtamerriwa ShubbaaaamitiHata ukapige kura wewe,ukoo wako wote na unaowajua wote. Shawishi mkoa wako wote unapotokea wampigie kura Lissu, hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu ni NEVER(Kamwe). Nchi hawezi kabidhiwa kibaraka wa wazungu. NEVER. So JPM atashinda by all means necessary.
Usifananishe kenya na TanzaniaHiyo sio kweli ni good Management.
Mbona Uhuru Kenyata ameattend mikutano karibu yote na kutia saini kadha wa kadha wa mikataba na wazungu sasa angalia Kienya iko wapi ma inakwenda wapi?
Uthibitisho wangu kwa nyie wapenda kiingereza anagalieni clip hii ndiyo mtajua wapi Tundu Lissu anatupeleka.:
NAWAOMBENI MSIKURUPUKE NA MAMBO MSIYO YAJUA. WAKENYA WANAANZA KUSALIM AMRI SASA KWA MAAMUZI YAO YA FASTER FASTER. NA WATANZANIA NA LISSU WATAFUATA TU. MSIJE MKAMLILIA MAGUFULI!
Safi sana Rais tunayemtaka lazima awe na uwezo mkubwa kiupeo kuhusu maswala ya kimataifa sasa midahalo kama hii inatoa fursa ya kuona uwezo wake JPM alipaswa na yeye aitumie fursa hii
Punguza hasira mkuu, ina maana hao wanaomsikiliza pia ni mtandaoni? Ila mtikisiko upo na ni ukweli usiopingika.Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Halafu huo Mdahalo una impact gani kwa ,uchaguzi huu?Kulikuwa na ulazima gani kumtaja Magufuli? Tumia akili
Ningeshauri wapenda haki wote kwa umoja wetu siku tano kabla ya ya uchaguzi Wakristo na Waislam popote tulipo tufunge na kusali kuondoa maroho ya wizi na Amani ikatamalaki pande zote kwa Mungu hakuna linaloshindikanaTUNDU LISSU anafanya “mdahalo” na Rais wa Ghana kwa kidhugu
DUA bringing over 28 influential political parties across the continent to engage on the future of Democracy and Socio Economic Growth. Ideological clarity and Policy is key in delivering a future for Africans
Kwa nini nisifananishe?Usifananishe kenya na Tanzania
Hata hawa walishaona enzi hizoHuyo hajamsikiliza Mtume wa Mungu, Askofu Mwingira?? Hajui kuwa watu wenye macho makali washaona mbeleni huko kuwa Lissu ndio Rais wa nchi yetu? Achana nae huyo Mkuu anatupotezea muda wa ukombozi.
Mnamzidishia hasira Rais wetu! Na sina shaka "akishinda na kuapishwa",hasira zake tutaziona. Tutatamani tuihame hii Nchi.What's your name?...
Jina langu Maimuna!
Say it in English please....
Nimesema naitwa Maimuna!
"Pipo yuzid to dai in ze reki"
Aliyeitoa hiyo kauli ni mtoto wa Darasa la nne au illiterate ?Pipo yuzi tu dai ini dhe.. ini dhe reki😂😂😂😂😂😂
Ni kweli maana Kenya sasa hivi ni kama dampo tuUsifananishe kenya na Tanzania
Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Ni mtu mkubwa sana hapa nchini ?kwani humujuwiiiiiiiiiii??????????