Polisi Wazuia Waandamanaji Waliotaka Kuingia Ikulu Kumfurusha Rais wa Ghana Kisa Maisha Magumu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,863
Ghana imekuwa na Wimbi kubwa la Waandamanaji ya siku 3 mfululizo wenye hasira ambao wanalalamikia kupanda Kwa Gharama za maisha.

Polisi usiku kucha wamekesha kupambana na Waandamanaji Waliotaka Kuingia Ikulu Kumfurusha Rais.

Ikumbukwe licha ya kuwa Tajiri wa mafuta,Dhahabu na Kakao ,Taifa la Ghana linakabiliwa na Hali mbaya ya Kiuchumi linalotishia Nchi hiyo kusambaratika kutokana na mzigo mkubwa wa Madeni.

GHANA, Accra: Mamia ya waandamanaji wamekusanyika katika mji mkuu wa Ghana Accra siku ya Jumapili ikiwa ni siku ya nne ya maandamano dhidi ya serikali kutokana mgogoro wa kiuchumi ikiwa ni pamoja na kupanda kwa gharama za maisha.
-
Waandamanaji walipeperusha bendera na mabango wakishutumu gharama kubwa za maisha na ukosefu wa ajira. Polisi wa kutuliza ghasia walionekana kuweka ukuta usiku kucha kuzuia waandamanaji hao waliotaka kuingia Ikulu (Jubilee House).
-
Taifa hilo linalozalisha dhahabu, mafuta na kokoa limekuwa likipambana na mzozo wake mbaya zaidi wa kiuchumi huku likishuhudia ongezeko kubwa zaidi la deni la taifa.
-
"Mghana wa kawaida hawezi kumudu milo mitatu ya mraba (kwa siku) ... serikali haijali," alisema mwanaharakati Romeo mwenye umri wa miaka 24 ambaye hana kazi.
-
Siku ya Alhamisi, polisi walisema watu 49 walikuwa wamezuiliwa kwa mkusanyiko usio halali na kukiuka sheria ya utaratibu wa umma. Hakukuwa na dalili ya kukamatwa tena na hali ilionekana kuwa shwari siku ya Jumamosi.

My Take
Nawakumbusha Chadema kwamba Ghana Ina Katiba Mpya Kabisa ila haijasaidia kuleta ugali mezani Kwa Watu.Chadema acheni Utapeli wa kudanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio alpha na Omega ya Changamoto za maisha.

====

Despite $3 billion bailout, Ghana has essentially gone bankrupt
Chinedu Okafor
12–15 minutes
President Nana Addo Dankwa Akufo-Addo

Ghanaian government faces bankruptcy as it struggles to pay billions in debt to international creditors.
The IMF extended a $3 billion loan to stabilise Ghana's economy amid the financial crisis and mounting debts.
Ghana's ongoing debt crisis linked to COVID-19, geopolitical events, and rising food and fuel prices raises concerns about future financial stability.

The Ghanaian government has filed for bankruptcy after failing to pay billions of dollars it owed to international creditors in December.

According to a report by The New York Times, President Nana Akufo-Addo's administration "had no choice but to agree to a $3 billion loan from the lender of last resort, the International Monetary Fund," which helped to explain Ghana's financial crisis, in which government organisations owed billions to contractors and were in serious debt.

The media outlet noted that the financial crisis has had far-reaching effects, with many contractors laying off workers, exacerbating the country's unemployment problem.

Emmanuel Cherry, the chief executive of an association of Ghanaian construction companies, recently disclosed that government back payments to contractors amounted to a staggering 15 billion cedis, or roughly $1.3 billion, before interest.

The reports also disclosed that the Ghanaian government owes independent power producers $1.58 billion and is in danger of experiencing widespread blackouts.

“The government is essentially bankrupt. It was the 17th time Ghana has been compelled to turn to the fund since it gained independence in 1957. This latest crisis was partly prompted by the havoc of the coronavirus pandemic, Russia’s invasion of Ukraine, and higher food and fuel prices,” the report read in parts.

The IMF presented a comprehensive rescue plan to address Ghana's debt, reining spending, increasing revenue, and protecting the most vulnerable populations while negotiating with foreign creditors.

The issue would be a significant topic of discussion at the upcoming United Nations General Assembly. The growing debt load for developing nations, estimated to exceed $200 billion, would also be another major topic of discussion.

The report noted that the recent IMF loan helped stabilise the economy by reducing currency swings and boosting confidence. Even with inflation still around 40%, it has decreased from its peak of 54% in January.

IMF's program addresses important concerns, but Tsidi Tsikata, a senior fellow at the African Centre for Economic Transformation in Accra, who was quoted in the study, questioned if Ghana would be able to avoid experiencing similar financial difficulties.
 
Ghana imekuwa na Wimbi kubwa la Waandamanaji ya siku 3 mfululizo wenye hasira ambao wanalalamikia kupanda Kwa Gharama za maisha.

Polisi usiku kucha wamekesha kupambana na Waandamanaji Waliotaka Kuingia Ikulu Kumfurusha Rais.

Ikumbukwe licha ya kuwa Tajiri wa mafuta,Dhahabu na Kakao ,Taifa la Ghana linakabiliwa na Hali mbaya ya Kiuchumi linalotishia Nchi hiyo kusambaratika kutokana na mzigo mkubwa wa Madeni.

View: https://www.instagram.com/p/CxkNeraoIp6/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Nawakumbusha Chadema kwamba Ghana Ina Katiba Mpya Kabisa ila haijasaidia kuleta ugali mezani Kwa Watu.Chadema acheni Utapeli wa kudanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio alpha na Omega ya Changamoto za maisha.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1704438503516385428?t=Aq9CZjeVbjLOucdsiJzRag&s=19

CHADEMA hoi
 
Kwahiyo Kama Wana katiba mpya ndio hakuna sababu za kuwa na katiba mpya Tz?, CCM mnawaza ushoqer wasengelema nyie zamu ya wapuuzi wa CCM inakuja tutawachomachoma visu vya mataqoni.
Katiba Mpya ni scam the way Chadema wanajaribu kuaminisha watu.
 
Ghana imekuwa na Wimbi kubwa la Waandamanaji ya siku 3 mfululizo wenye hasira ambao wanalalamikia kupanda Kwa Gharama za maisha.

Polisi usiku kucha wamekesha kupambana na Waandamanaji Waliotaka Kuingia Ikulu Kumfurusha Rais.

Ikumbukwe licha ya kuwa Tajiri wa mafuta,Dhahabu na Kakao ,Taifa la Ghana linakabiliwa na Hali mbaya ya Kiuchumi linalotishia Nchi hiyo kusambaratika kutokana na mzigo mkubwa wa Madeni.

View: https://www.instagram.com/p/CxkNeraoIp6/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Nawakumbusha Chadema kwamba Ghana Ina Katiba Mpya Kabisa ila haijasaidia kuleta ugali mezani Kwa Watu.Chadema acheni Utapeli wa kudanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio alpha na Omega ya Changamoto za maisha.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1704438503516385428?t=Aq9CZjeVbjLOucdsiJzRag&s=19

ACT unawaambiaje?CUF je?Au CDM wanakulaza na viatu? Halafu, elewa kwamba dai la katiba lipo palepale.Kwa hiyo Ghana wakiwa na katiba mpya na njaa ndiyo jibu la Tanzania?Akili za wapi hizi?🤔
 
Viongozi wa Ghana hawana tofauti na wa CCM.
Mtu anasema Katiba mpya haileti ugali mezani Ukichaa
CCM kinachowaumiza vichwa ni Chadema na katiba mpya.
Pale kwenye katiba mpya nataka "Viongozi watolewe kinga ya kutoshitakiwa" maana hii ndiyo inawatia viburi viongozi wa CCM. Hapa raisi akikosea anashitakiwa mahakamani.
 
Mnawapotisha Wananchi Kwa kuwa ni wajinga basi wanadhani Katiba Mpya itawaletea ugali mezani.

Ghana ni mfano tosha kwamba kinachoitwa Katiba Mpya ni scam
 
Mnawapotisha Wananchi Kwa kuwa ni wajinga basi wanadhani Katiba Mpya itawaletea ugali mezani.

Ghana ni mfano tosha kwamba kinachoitwa Katiba Mpya ni scam
CCM ndiyo inawapotosha wananchi ili wasiwe na katiba mpya.
Kifo cha CCM ni katiba mpya. Hapo wanajua wakibadilisha udhalimu na ufisadi wa CCM utaisha maana hata mwenyekiti wa CCM atapelekwa mahakamani kwa ufisadi au kwa madaraka mabaya.
Maisha siyo ugali. Mbona tuna katiba ya zamani lakini bado serikali ya CCM inahangaika na matundu ya choo kwenye shule za msingi na sekondari?
Mpaka sasa umeme ni shida wa mgao, huduma za afya mbovu na hakuna maji huko vijijini. Hapa nilipo, nipo mjini lakini maji bombani yamekatika tangu asubuhi. Hiyo katiba ya zamani imeshindwa kufanya kazi?
Haya matatizo tangu 1961 mpaka sasa 2023 lakini bado ni yale yale. Tukibadilisha katiba haya mambo yatakwisha.
Juzi kigoma, viongozi wa ccm wamekula hela za maaendeleo. Majaliwa kakasirika sana na hii kwasababu ya katiba mbovu tulinayo.
 
Viongozi Wa Africa ni laana..

Huko hata dhahabu haiwasaidii... Mafisadi yameuza yote.

Leo huku nyinyi mnasapoti yanayofanyika..
 
Viongozi Wa Africa ni laana..

Huko hata dhahabu haiwasaidii... Mafisadi yameuza yote.

Leo huku nyinyi mnasapoti yanayofanyika..
Si mlisema Katiba Mpya itawasaisia na itarudisha dhahabu au? 😂😂😂😂
 
Bora wenzetu wenye katiba bora zaidi inayompa mamlaka makubwa mwananchi kufanya mabadiliko kwenye sanduku la kura pale kiongozi akiharibu

Sisi bado tupo gizani usijifananishe na ghana katiba mpya itarudisha mamlaka kwa wananchi kuchagua kiongozi wanaemtaka na sio kama uchafuzi ule wa 2020
 
Ghana imekuwa na Wimbi kubwa la Waandamanaji ya siku 3 mfululizo wenye hasira ambao wanalalamikia kupanda Kwa Gharama za maisha.

Polisi usiku kucha wamekesha kupambana na Waandamanaji Waliotaka Kuingia Ikulu Kumfurusha Rais.

Ikumbukwe licha ya kuwa Tajiri wa mafuta,Dhahabu na Kakao ,Taifa la Ghana linakabiliwa na Hali mbaya ya Kiuchumi linalotishia Nchi hiyo kusambaratika kutokana na mzigo mkubwa wa Madeni.

View: https://www.instagram.com/p/CxkNeraoIp6/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Nawakumbusha Chadema kwamba Ghana Ina Katiba Mpya Kabisa ila haijasaidia kuleta ugali mezani Kwa Watu.Chadema acheni Utapeli wa kudanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio alpha na Omega ya Changamoto za maisha.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1704438503516385428?t=Aq9CZjeVbjLOucdsiJzRag&s=19

Na yule wa panama afurushwe na avuliwe hadhi ya uraisi
 
Mnawapotisha Wananchi Kwa kuwa ni wajinga basi wanadhani Katiba Mpya itawaletea ugali mezani.

Ghana ni mfano tosha kwamba kinachoitwa Katiba Mpya ni scam
Sasa hofu ya CCM ni Nini? Nyie ruhusuni katiba mpya muone nchi itakavyonyooka. Na ugali utakavyokuwa mwingi mezani.
 
Back
Top Bottom