Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Calm down my brother, don't panic.

If you feel things are getting tough to you that much, please take a glass of water.
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani kisa CCM kuchukua pesa za viwanda pesa za maendeleo kuzitumia kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi uonevu unyanyasaji kwa wapinzani, pesa nyingi inapotelea kwenye mambo yasiyo na tija kwa Taifa, mda huu kama siyo CCM pengine Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko kuliko South Africa China America German India, canada Uk na mataifa yote tajiri Duniani, lakini CCM wanachukua pesa za maendeleo wanazitumia kwa mambo ya hovyo kununua wabunge madiwani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa uchakachuaji, kununua Ndege kwa cash kifisadi kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge huku wakimtoa CAG kafara kukwepa Aibu.
 
Hata ukapige kura wewe,ukoo wako wote na unaowajua wote. Shawishi mkoa wako wote unapotokea wampigie kura Lissu, hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu ni NEVER(Kamwe). Nchi hawezi kabidhiwa kibaraka wa wazungu. NEVER. So JPM atashinda by all means necessary.
Mwaka huu Mtamerriwa Shubbaaaamiti
 
Hiyo sio kweli ni good Management.
Mbona Uhuru Kenyata ameattend mikutano karibu yote na kutia saini kadha wa kadha wa mikataba na wazungu sasa angalia Kienya iko wapi ma inakwenda wapi?

Uthibitisho wangu kwa nyie wapenda kiingereza anagalieni clip hii ndiyo mtajua wapi Tundu Lissu anatupeleka.:

NAWAOMBENI MSIKURUPUKE NA MAMBO MSIYO YAJUA. WAKENYA WANAANZA KUSALIM AMRI SASA KWA MAAMUZI YAO YA FASTER FASTER. NA WATANZANIA NA LISSU WATAFUATA TU. MSIJE MKAMLILIA MAGUFULI!
Usifananishe kenya na Tanzania
 
Safi sana Rais tunayemtaka lazima awe na uwezo mkubwa kiupeo kuhusu maswala ya kimataifa sasa midahalo kama hii inatoa fursa ya kuona uwezo wake JPM alipaswa na yeye aitumie fursa hii

Magufuli miaka yote 5 hajawahi kanyaga Ulaya,Marekani wala Asia...Ukiwauliza CCM unaambiwa WAZUNGU NDO WAJE TANZANIA kumwona Rais mwadilifu!!
Lakini Ukweli ni Magufuli lugha ya Malkia inampa taabu Sana!!
Hivo hata huu MDAHALO pamoja na kuwa unaendeshwa kwa Video Conference Magufuli ameingia mitino kwa vile hawezi kujieleza kwa Kimombo. Lakini pia nachelea hata mdahalo ungeendeshwa kwa Kiswanglish bado Jiwe angeishia kufoka na kutukana tu.....🤣🤣
 
Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.
Punguza hasira mkuu, ina maana hao wanaomsikiliza pia ni mtandaoni? Ila mtikisiko upo na ni ukweli usiopingika.
Iweni sikio sisikialo dawa...

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
TUNDU LISSU anafanya “mdahalo” na Rais wa Ghana kwa kidhugu

DUA bringing over 28 influential political parties across the continent to engage on the future of Democracy and Socio Economic Growth. Ideological clarity and Policy is key in delivering a future for Africans

Ningeshauri wapenda haki wote kwa umoja wetu siku tano kabla ya ya uchaguzi Wakristo na Waislam popote tulipo tufunge na kusali kuondoa maroho ya wizi na Amani ikatamalaki pande zote kwa Mungu hakuna linaloshindikana

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Huyo hajamsikiliza Mtume wa Mungu, Askofu Mwingira?? Hajui kuwa watu wenye macho makali washaona mbeleni huko kuwa Lissu ndio Rais wa nchi yetu? Achana nae huyo Mkuu anatupotezea muda wa ukombozi.
Hata hawa walishaona enzi hizo
Screenshot_2020-09-10-10-53-08.jpeg
 
What's your name?...
Jina langu Maimuna!

Say it in English please....
Nimesema naitwa Maimuna!

"Pipo yuzid to dai in ze reki"
Mnamzidishia hasira Rais wetu! Na sina shaka "akishinda na kuapishwa",hasira zake tutaziona. Tutatamani tuihame hii Nchi.
Sina shaka, huu MDAHALO, umeandaliwa na MABEBERU, ili kumpatia pointi Lissu!
---- Sio wa kuukosa!
 
Ndio maana bado naendelea kuwaita WAPUMBAVU., hao wa mitandaoni wanaoongea na kusikiliza kiingereza hawapigi kura, badala ku deal na vitu vya maana mnawekeza kwenye ishu za kipuuzi Lissu akipata zaidi ya 15% October 28 akatambike.

Wewe ndio PUMBAVU kubwa....!!
Nchi xote za watu waliostaarabika wanatumia Midahalo kupima uwezo, uelewa na ufahamu wa Maswala ya Kiuchumi, Kisiasa, Kiulinzi na Uhusiano wake/nchi Kimataifa.
Kudai ati ni issue ya kipuuzi ni kwa vile wewe menyewe ni mpuuzi!
 
Back
Top Bottom