Mdahalo: Kids Vs Spouses

Asprin shemeji kotekote lol!!
msimamo wako mi nauunga kiuno!!
dogo lako linaanza aseeeh!!
japo linaharibu ila ndo yeye asee!!
hii sredi imenifikirisha sana!!!
nafkr imenisaidia tuvitu flan if at all yu know what i mean
AshaDii sijui kama unajua umefanyaje la maana kuifufua hii!!
 
Last edited by a moderator:

huyu mkaka naipenda avatar yake.....napendaga kusoma comments zake sijui yuko wapi siku hizi
 
duu zamani kulikuwa na michango hapa
watu wanabishana kwa facts yaani hadi raha
Mbu nae alikuwa ananifurahisha comments zake
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
duu zamani kulikuwa na michango hapa
watu wanabishana kwa facts yaani hadi raha
Mbu nae alikuwa ananifurahisha comments zake

Zamani hoja za maana zilikuwa nyingi kuliko utani. Siku hizi utani umezidi hoja, unadhani kutakuwa na mjadala hapo? Nahisi kuna watu wengi hawaiingii kwenye hili jukwaa kwa sababu ya kejeli na utani uliopita kiasi.
 
Last edited by a moderator:
Zamani hoja za maana zilikuwa nyingi kuliko utani. Siku hizi utani umezidi hoja, unadhani kutakuwa na mjadala hapo? Nahisi kuna watu wengi hawaiingii kwenye hili jukwaa kwa sababu ya kejeli na utani uliopita kiasi.

ni kweli kabisa na mie siwaoni watu wengi sana
 
....ahhh, enzi za ujana zile....tushajizeekea sasa,
twawapisha wenye damu moto sasa na comments zao za Dot.Com

Am humbled, Thanks for the Compliments.
Kinachonifurahisha mzee mwenzangu, ukitajwa tu lazima uibuke..... Tena ukute aliyekutaja ni jinsia pinzani LOL

BTW, huyu mjumbe klorokwini una habari zake?? Amepotea sana mazee.

Heri ya mwaka mpya mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
hahahahah, umeona ee mzee mwenzangu Asprin, halafu nashangaa hujalala wewe huko mpaka muda huu! klorokwini amemyuti muda sana sasa sijui limempata lipi!Heri ya mwaka mpya kwako pia na familia, aisee....ma sredi kama haya yalikuwa yanatupa addiction tosha ya jf aiseeImagine kama ile #UlikuwaWapiSikuZote

Platinum
!!!
 
Last edited by a moderator:
dada mkubwa naona unapiga zilipendwa conclusion ni 2014
heri ya mwaka mpya
cc Asprin

Hahaha mpendwa, shem AshaDii anaweza kuweka conclusion. Ila kwa jinsi mada ilivoenda kila mtu aliegemea kwenye maamuzi yake. Ila kwangu mie, ukweli utabakia palepale, wife comes first, japokuwa nikimwangalia wifi yako kwa jicho la ndani piga ua mi sina lolote mbele ya mabinti zake. Uzuri ni kuwa namwelewa na nayakubali maamuzi yake. Hahahah sisi wanaume hatutabirikagi ujue...

Heri ya mwaka mpya rafiki mpendwa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…