MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Bishanga definition ya mume ninayoiweka hapa ni ile ya mwanaume niliye naye kwa wakati huo, Na ndio maana nikauliza kama Mapendo na Mapenzi ni kitu kimoja. Sioni kwa nini mpenzi alokuja akanikuta na mtoto wa mwingine nimpunje, nisimpende kwa sababu ninampenda mtoto wangu?! Special place yake bado iko pale pale until atakaponipa nafasi/ sababu ya kuifuta. Kama Bishanga tulipozaa nawe ulinipa nafasi/sababu ya kukuondoa kwenye moyo wangu ndani ya ile special place hutokaa urudi huko!what if umezaa na Bishanga na hamkuoana nitaendelea kuwa na ' a special place ' moyoni mwako? Ndo mana kwenye mchango wangu hapo nyumba niliji disqualify kuchangia.Just a thought na samahani kwa kuingilia flow ya mjadala,sina sifa ya kuchangia hapa.
Bishanga kwanini umeweka jina lako haukufikiria jina jingine lol!!!
Mapenzi kwa mtoto/watoto ni tofauti kabisa na mapenzi kwa mke/mume/ au mwenza.
Mtaji umekufa nilimkopesha Boss hela, Boss akapeleka zote kwa Nyumba ndogoUle mradi wako wa kupeleka chura china unaendeleaje?
Aksante kwa somo unipalo The Boss ila ukisikia kupondeka moyo... ni huku kwangu! Ni kama unaniambia Bwana eh in a relationship ingea mguu moja ndani, mwingine nje au kalia kiti hicho kwa kalio moja!wanasema hakuna kilicho na thamani na kipatikane kwa urahisi....
umewahi kusikia msemo....all is fair in love and war?????
yaani hakuna 'best formula' ukiweza haya...
Kaka hii imekuwa ngumu kweli kukubalika humu ndani! Sijui kwa nini mydia.
Yaani thread
1. Hii ya Asprin
2. Ile ya RR na
3. Ile ya The Boss................... zimenifunulia Ufunuo kama ule wa Yohana. Ufunuo wa ajabu sana kuhusu ndoa na mahusiano. Yaani zimenifanya niamini kuwa taasis nzima ya ndoa imejaa usanii wa hali ya juu.... imagine
1. Unaishi na mtu unayeamini kuwa anakupenda kumbe yeye anapenda watoto zaidi yako
2. Unaishi na mtu ambaye unaamini anakupenda wewe, na hajishughulishi na wengine kumbe sivyo.
Eh............. taasis ya ndoa na mahusiano!!
Ni tofauti kabisa ila yana uwezo wa kuboresha au kuharibu mapenzi kwa mwenza.
Word!!!Mamii ikiwa mapenzi ya mzazi kwa mtoto hayafanani na ya mwenzi basi hapo kwenye nyekundu panakosa usahihi.Na binafsi naonani unfair kumtaka mwenzi wako eti akupende kuliko watoto wake/wenu.
Aksante kwa somo unipalo The Boss ila ukisikia kupondeka moyo... ni huku kwangu! Ni kama unaniambia Bwana eh in a relationship ingea mguu moja ndani, mwingine nje au kalia kiti hicho kwa kalio moja!
Hilo ni kweli pia.
Aksante kwa somo unipalo The Boss ila ukisikia kupondeka moyo... ni huku kwangu! Ni kama unaniambia Bwana eh in a relationship ingea mguu moja ndani, mwingine nje au kalia kiti hicho kwa kalio moja!
baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasiiKumpenda sana mwanao na kumpenda sana mwenza wako are not mutually exclusive!
kwa kuongezea tu:Kaka hii imekuwa ngumu kweli kukubalika humu ndani! Sijui kwa nini mydia.
Yaani thread
1. Hii ya Asprin
2. Ile ya RR na
3. Ile ya The Boss................... zimenifunulia Ufunuo kama ule wa Yohana. Ufunuo wa ajabu sana kuhusu ndoa na mahusiano. Yaani zimenifanya niamini kuwa taasis nzima ya ndoa imejaa usanii wa hali ya juu.... imagine
1. Unaishi na mtu unayeamini kuwa anakupenda kumbe yeye anapenda watoto zaidi yako
2. Unaishi na mtu ambaye unaamini anakupenda wewe, na hajishughulishi na wengine kumbe sivyo.
Eh............. taasis ya ndoa na mahusiano!!
Kumpenda sana mwanao na kumpenda sana mwenza wako are not mutually exclusive!
Unajua kuna vichocheo vingi vya mapenzi;
Nimemkumbuka mume wangu ana mpenda sana baba yangu; yani yeye wakati mwingine ndiye anayeniburuza kwenda kumsalimia now and then.
Ila nilichokuja kumsoma ni kuwa ananipenda mimi na anajua one of ways za ku win penzi langu ni kuonyesha anawapenda ndugu zangu hasa wazazi; na nafurahi kwa hilo.
Kwa maana nyingine bila mimi yeye na baba yangu hawana feelings zozote for each other.
Ni ile ukipenda boga penda na ua lake
nimetoa mfano wa baba 'kumpenda zaidi' mtoto wa kambo kuliko wa damu yake
unaelezaje hilo?????
kwa kuongezea tu:
- unaamini watoto uliozaa na mkeo ni wa kwako kumbe kawazaa na best wako Aspirin
-unaamini mkeo yuko semina bagamoyo kumbe kapiga kambi coral beach masaki
-unaamini biriyani aliyokupikia mkeo ndo tam kuliko zote kumbe kakupikia kwa maji ya mochware
-unaamini mkeo hana hela na mnaishi kwa dhiki kumbe mkeo anamalizia kujenga ghorofa lake mbezi
-unaamini mkeo is 'off sex' for a while kumbe boss wake anamlamba,ukiomba wewe..'kichwa kinauma'....
The list goes on and on......Kloro ataongezea...
Mamii ikiwa mapenzi ya mzazi kwa mtoto hayafanani na ya mwenzi basi hapo kwenye nyekundu panakosa usahihi.Na binafsi naonani unfair kumtaka mwenzi wako eti akupende kuliko watoto wake/wenu.