Nicky82
JF-Expert Member
- Mar 14, 2009
- 941
- 67
Natabiri yale ambayo CUF watataka kuarchive na hii ni kwa baraka za CCM: Hoja Za HR Zitakuwa hizi:
Hawa CUF si wapinzani ni CCM-B, hapa CDM wamekosea, vyovyote iwavyo CUF have nothing to lose because they have lost alredy. Watakachofanya hapa ni kuwachafulia CHADEMA na sera zao zile za bora wote tukose.
- CHADEMA ni wabinafsi wanaunda uongozi wa serikali peke yao bila kutushirikisha wakati sisi 2005 tuliwashirikisha na Slaa alikuwa Naibu kiongozi, hapa atakataa kukiri kuwa mwaka 2005 walilazimika kufanya hivyo sbb hawakuzidi 12% kama kanuni za bunge zinavyotaka
- CHADEMA ni wabaguzi sbb wanataka kutushirikisha sisi bila bila vyama vingine ndo maana na sisi kwa sabb tuna mapenzi na demokrasia ya kweli tukaktaa hadi wote wasirikishwe, japo wataficha kuwa walishawahi kumfukuza Cheyo kwa kukiuka maadili na wapinzani kama Mrema ambaye alishasema yeye anamsuport JK
- CHADEMA kukataa matokeo ya urais ni ujinga na haitawasaidia kwani sisi haikuwahi kutusaidia. Japo ataficha kuwa serikali ya mseto ni matokeo ya ungangari walioouonyesha.
- Atajaribu kuwaonyesha wananchi kuwa CHADEMA hawana hoja katika kukataa serikali na huwezi kufanya kazi za wananchi kama huitambui serikali.
Hawa CUF si wapinzani ni CCM-B, hapa CDM wamekosea, vyovyote iwavyo CUF have nothing to lose because they have lost alredy. Watakachofanya hapa ni kuwachafulia CHADEMA na sera zao zile za bora wote tukose.