Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa

Kuna swala la branding.

Target ya iphone ni kwa watu wa level fulani ya juu kimapatao na class, it has always been that way.

Ndiyo maana iPhone akitoa flagship amemaliza, hatatoa hizi mid level phones, nakumbuka mara chache alitaka kufanya hii kitu kwenye iphone 5; alitoa 5c nadhani. Ukitaka iphone bei rahisi subiri muda upite ishuke bei.
 
Umeua mkuu
 
iPhone ni levels. Sense of prominence and importance. Security assurance. Quality.

Android ni user-friendly. Common. Universal. Commercial.

Ni vema kuwa nazo zote mbili. Unachokikosa huku, unakipata kule.

Life is simply good.
 
Kama mtu anatumia Iphone halafu anajiona tajiri basi huyo ana matatizo ya akili.

Ingawa mimi mwenyewe tecno siwezi kutumia hata nifungwe kamba.

Tunachoiponda tecno ni kitu kimoja tu. Building quality yake ni mbovu.

Hivyo mtu kuiponda tecno huku akiwa anatumia iphone kwangu mimi haimaanishi kwamba huyo mtu anajiona tajiri.

Kuna gap kubwa tu kati ya tecno na iphone. hata kama zote ni za 200k


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwingine anaongea na hajawahi kutumia hata Iphone.
Nimesoma comment mpaka hapa watu wa android point yao ni ukiwa na androids unajiachia na kutumia vitu vingi, sadly mpaka najibu hii comment hakuna aliyemention hata kitu kimoja ambacho anajiachia nacho na anakikosa kwenye iphone[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa anatoa mid range baada ya kila miaka kadhaa. Mfano alitoa SE mwaka 2015 na mwaka huu mwezi ujao atatoa SE2
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hautaki tecno kwa sababu hazifit mahitaji yako.
Bibie alichoongelea ni ile mtu unapambana na iPhone 6 huku unaona wenye tecno hawana hela.
Mfano mzuri tuu kiduku lilo aliweka screenshot watu wakaanza kumwambia tajiri kama wewe tulijua unatumia iPhone. Maana yake hata ingekuwa ni iPhone 5 ya laki mbili bado wangemuona ni tajiri kwa sababu anatumia iPhone.

Msichana wangu baada ya kudunduliza mshahara wake kanunua iPhone 6 sijui laki 3. Ukubwa wa betri ni 1810mAh. Haikai na chaji hata. Wiki iliyoisha ameiuza nikamwongezea hela tukanunua Tecno Camon 12. Betri yake ni 4000mAh. Inakaa na chaji hata siku tatu bila data. Na ni 400,000tsh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
android ni zaidi ya kompyuta mpakato wala hile ya ndani.100% ya kazi zote unaweza kumaliza kwenye simu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwa anatoa mid range baada ya kila miaka kadhaa. Mfano alitoa SE mwaka 2015 na mwaka huu mwezi ujao atatoa SE2

Sent using Jamii Forums mobile app

Okay, bado unaweza kuona kwamba siyo target market yake. Kwa sababu since 2015 ni 5 years now.

iPhones is classy.

Najaribu ku-imagine unaenda kufanya negotiations na lawyer wako halafu unakuta ana Tecno, binafsi nikikuta hivyo naachana naye huyo lawyer.

Front offices personells wanatakiwa kuwa na simu nzuri, PCs brands, wavae vizuri na wawe na lugha nzuri. Hakuna kampuni itawanunulia wafanya kazi wake Tecno. We had BBs back then, we now have iPhones.
 
iPhone wengi wanafuata mkumbo tu,eti aonekane yuko juu. Lakini ni simu ambazo sizikubali kabisa. Anayo dogo kuna baadhi ya program anazitamamia kwa mbali tu kwenye simu yangu. Anabaki kuumia sababu ya jina iPhone. Ukija kwenye gharama yake iPhone ni laki 9 alidokoa,mimi yangu ni SAMSUNG C9 PRO original ni milioni 1.3. Hii simu bonge moja la simu,hata nimaliza nayo miaka mitano. Nitadokoa kama hii tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina mahaba na vifaa vya plastics




Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Binafsi nilinunua IPhone kwasababu ya upatu iliyopigiwa wa “Security” na “Privacy” hata sasa naendelea kutumia bila shida yoyote .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si sahihi kushindanisha simu na mfumo endeshi wa simu. Ingekuwa sawa kushindanisha IOS na Android au Iphone na Samsung/Huawei/Nokia etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiongelea iPhone unaongelea iOS, ukiongelea iOS inaongelea iPhone, hivyo hivyo inapoongelea Android unaongelea Samsung, Huawei etc na ukiongelea Samsung, Huawei etc unaongelea Android
 
Naomba kukuunga mkono mkuu .nimefuatilia comments za watu mbalimbali juu ya hii mada nanikaona wengi wamekariri kwamba iPhones Zina limitations,.


Kwanza kabisa naomba kukanusha hoja hiyo,.
Kuna comment ya mchangiaji mmoja iliuwa inaeleza kwamba ukiwa na iPhone hauwezi kubadili themes nakuweka unayotaka wewe mtumiaji, Hilo pia naomba kukanusha.

Napenda tu kuwapa taarifa kuwa Android phones evolution bado haijaweza kuifikia iOS phones evolution,ndiomaana utaona kwamba Android version yamwisho ni Android 11,lakin upande wa iOS version yamwisho ni iOS 14 ambayo imezinduliwa mwaka huu wa 2020. Sasa mpaka hapa nashindwa kukuelewa wewe unaesema iPhones Zina limitations kivip Yan[emoji2955][emoji2955]

Matumizi ya iOS phones nitofauti Sana na Android phones,hivyo ninawasiwasi Sana kwamba wengi wawatumiaji wa simu wahajuikutumia iPhones ndiomaana wamebaki kulalamka kwamba iPhones Zina limitations.
Nitathibitisha dai Hilo Kama ifuatavyo,

Upande wa iOS phones toleo lamwisho ni Hilo la mwaka 2020 ambayo ni iPhone 12. Sasa ukiangalia iPhones nyingi ambazo watanzania tumetumia ni iPhone 5 mpaka iPhone 7. Sasa mtu anakuwaamekariri kwamba iPhones nizilezile anazojua yeye lakin kumbe sio.

Kitu kingine nikwamba sifa kuu inayoifanya iPhones kuwa brand yakwanza ni camera pixel,nikiwa namaana yakuwa picha iliyopigwa na iPhone 12 hapa nisawa na ile itakayopigwa na Canon (digital camera) ,chapili ni security systems, ..
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…