Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa

Mkuu sikupingi iPhone moyeyusho na michisho sana ukitaka kuenjoy simu android ni mahara pale iPhone cjui kama intaitumia ktk maisha yangu natumia Samsung A51 bei yake napata iPhone hata 2 ila sizipendi iPhone coz zina rimit sana, kwa sasa iv ukiwa na 350k unapata used iPhone kwaiyo ni maamzi na mapenzi tu swala sio bei
Kujiachia kimatumizi.jua simu saivi ni biashara,inakuwezesha kufanya mambo mengi ya kibiashara.android hata ikiaribika spare utatengeneza,ina apps nying zitakuwwzesha kufanya mambo mengi kuliko iphone.kwenye android unauwezo wa kufanya mambo meng kuliko ukiwa iphone
 
Hizi ni mojawapo ya dhana na nadharia ambayo ni cheap sana, kwa mtu wa kawaida hivi vitu unavyovizungumza anaweza asivifanye kabisa kwenye simu ya Android au iPhone, lakini kwa geeks kinachowezekana kufanyika ndani ya simu ya Android basi hata kwenye simu ya iPhone kinafanyika. Ila kwa kuwa watu wamekaririshwa kuwa haiwezekani kwenye iPhone basi huwa wanaamini haiwezekani bila kujua kuwa technology inakua kwa kasi sana
 
Mkuu matumizi ya android na iphone ni tofauti sana na kuna mambo unaweza kufanya kwenye android kwenye iphone haiwezekani.
Ukiaza kuchokonoa kwa kuongeza mambo mengne hiyo inakuwa sio kwa uwezo wa simu mbali ni uwezo wa kuchokonoa
 
Difference matter, hivyo hivyo kuna vitu unaweza kufanya kwenye iPhone lakini kwenye Android huwezi, na hizo tofauti ndo zinafanya moja inaitwa iPhone na nyingine iitwe Android, ingekuwa inafanana kwa kila kitu basi kusingekuwa na haja ya hayo majina mawili

Kuchokonoa sio kuwa simu haina uwezo huo bali inao lakini imewekewa limit ya kutofanya hayo mambo, na hayo mambo huwa hatuongezi bali huwa tunayapa ruhusa ya kufanyika ndani ya simu
 
Iphone uwezo wake wa matumizi sio mkubwa kama android
Iphone huwezi kuconnect youtube ya simu kweny tv.
Iphone huwezi kubadili themes
Iphone kila simu muonekano wa ndani ni hule hule
 
Back
Top Bottom