Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa

The technology embeded in IOS ni ngumu kwa watumiaji wakawaida kuitumia, alafu kikubwa kuliko vyote hakuna simu inaibeat iphone kwa security, kwanza wezi hawazipe nd manake huwez iba kiboya,

Kuna research ilifanyika kuwa watumiaji wengi wa IOS hawapend android ila watumiaji wengi wa android wakianza kutumia IOS hawarud kwene adroid....

HATA HIVYO THE BEST APPLICATIONS ZIPO KWENYE IOS...sema tu sababu watu hawajui kutumia hizi simu ndio maana wanakuja kuropoka upupu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leo nimeicheki vizuri Samsung S20 latest nikacheka balaa hakuna kitu mule ni mzigo tu

Sent using IPhone X
 
The technology embeded in IOS ni ngumu kwa watumiaji wakawaida kuitumia, alafu kikubwa kuliko vyote hakuna simu inaibeat iphone kwa security, kwanza wezi hawazipe nd manake huwez iba kiboya,

Kuna research ilifanyika kuwa watumiaji wengi wa IOS hawapend android ila watumiaji wengi wa android wakianza kutumia IOS hawarud kwene adroid....

HATA HIVYO THE BEST APPLICATIONS ZIPO KWENYE IOS...sema tu sababu watu hawajui kutumia hizi simu ndio maana wanakuja kuropoka upupu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwenye hili naungana naww mkuu,. In another case ,watumiaji wengi wa iPhones Tanzania tumebase mostly kwenye iPhone 5 ,6, na 7 . Ndio maana tunashindwa kuona new features ambazo latest updates imetoa . Inshot nikwamba ,hata katka swala zima la masoko yakidunia niukweli usiopingika kuwa iPhones ndio ziko top kwamauzo. Hi inamaanisha nisisi tu Watanzania tunaishindwa kumudu bei lakin sio wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ndugu zangu Iphone. Kama unatumia Iphone ambayo ni below Iphone 8+ basi hiyo ni kama Samsung tu. Nmewapendelea sijataka kutaja Tecno.
 
usijitoe kwenye huo mtego.

nawewe unatumia tecno ilitochangamka jamaa yangu.simu ina miaka 3 nyuma.

tuko kwenye iphone 11 pro max sawa mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza nipa maelekezo hapa bongo znapatikana wapi na bei zake zipoje mkuu maana ni adimu sana nimezitafuta sana bila mafanikio!

Sent using Jamii Forums mobile app
hamna duka maalumu,kama unavyojua tena bongo hamna dealers,unakuta mtu anaziuza insta au fb tu,na kukutajia location unawezakuta anazo mbili tu au tatu.

watafute jamaa wanajiita south to tanzania,instagram
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini natumia iphone
1. Uhakika wa data zangu na mafaili yangu mfano picha na vitu vingine iOS haina ishu ya kufunga ya account

2. Nimenunua simu ya iOS ya ghalama kabisa nna uhakika wa kupata updates kwa muda mrefu bila kuumiza akili kwa android ni tofauti mfano mtu kanunua s10 anapewa updates ya miaka miwili tu anakuwa hana ishu tena huu ni uonevu wa Hali ya juu kabisa
Ukinunua android hizi za kutoka ulaya nyingi hazipewi updates sababu ya mikataba ya simu kama makampuni ya AT and T
Lakini kwa iOS ni mwendo wa kula zaidi tu
Sasa kila mtu hatuwezi Kuweka custom rom kumbuka custom rom inatoa warrant

3. iOS haina takataka za application kama za Android

4. Kustaki kwa simu sijawahi kuona kabisa

5. Ghalama za hardware ni nafuu kabisa tofauti na kama sumsung ambaye kioo cha bei mbaya

6. operating system ya iphone ni very smooth kabisa hadi raha

7. Security ya simu ni nzuri zaidi tofauti na Android

miaka miwili ni mingi sana,ndio maana hata ios pamoja na kukupa updates bado kuna vitu unakuta havikubali kwenye toleo ulilo nalo.

wewe una sababu ya ulinzi,mwingine android ana sababu ya uhuru.zote ni sababu inapokuja kwenye pesa binafsi za mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom