Android Ni User Friendly OS. Kwanza Matumizi Yake Ni Rahisi Ukilinganisha Na IOS, Android Inampa Uhuru Mtumiaji Kufanya Customizations and Tweaks Kuanzia Simple customizations hadi Zile Advanced tweaks Like Custom Roms ambazo huwa zina More features Compared to Stock roms. Kwa Mfano, Unaweza Ukawa na Simu Inayorun Android 2.3 ambayo baadhi ya Apps haziwezi Kurun But Unaweza Customize na Kufanya Unofficial Upgrade to Higher Android OS ambapo itakuwezesha Kurun Almost All Apps.
Kwa mfano Mimi huwa napenda Kutumia Modded Apps na baadhi ya Apps ambazo haziko on Playstore so Ni Android pekee inayoweza Kunipa such freedom.
Tukizungumzia IOS inapotokea Some Apps zikawa disabled Kwa Version flani ya IOS basi hyo ndo imeisha, Mfano Angalia Iphone4 na 4S Kwa sasa Ni Kama uchafu but Mtu mwenue Samsung S2 Bado Anaenda sawa na Mtu Mwenye Higher Android Version Kwa Almost 90% kwa upande wa Apps.
Lakini hayo mambo yote cyo Kila mtu anayahitaji Kwahyo Kwa baadhi ya watu hayana Umuhimu so hawana sababu ya kuwafanya Wakomae na Android.
Ubaya Wa Android Kwa Kuwa Ni Open OS basi hata Security features zao bado ni za Kawaida Sana, Kwa mfano Leo hii Android yoyote Inawezekana Kubypass User securities Like Screenlocks bila Kuathiri Data Zilizomo yaani Watu wanaweza Bypass Screenlock bila Kuathiri data zako hivyo wakapata Access kwenye hizo data.
Ukipoteza Simu Ya Android Basi Kama Aliyeipata ni Mjuzi basi Uwezekano wa wewe kuja Kuipata device yako ni 0% kwa Kuwa ana uwezo wa Kufanya tweaks na hata Kumodify data zinazowezesha Device husika Kupatikana.
Ubora wa I devices Upo Kwenye Security ambapo Hadi Leo hii hakuna known method ya Kubypass IOS security kuanzia Screenlock na pia Find My Iphone When Turned On.
Icloud Unlock hadi Leo Ni Very Expensive Kiasi Kwamba Mtu Ni Wachache wanaoweza Kumudu, Kwa mfano gharama ya Icloud Unlock Kwa Iphone 6Plus Ni Arround 170$ Kwa Clean Mode.
Ikitokea Umepoteza I device basi Possibility ya Kuipata Ni Kubwa kama Mtu Atafanikiwa Kuitumia Au huenda Akaifanya Kama Toy. Lakini hii feature ya Security Kwa Baadhi ya watu haina Maana.
Uhuru Wa Android pia Una Gharama zake, Kwa mfano baadhi ya Customizations huwa zinaruhusu cyber attacks na Endapo Kuna data muhimu kwenye device husika basi maharamia wana uwezo wa kudukua kwa urahisi Lakini Kwa I devices its not an easy Task, Vilevile hii nayo siyo kwa kila mtu maana Wengine wanatumia simu kuchat na Kupiga tu Picha.
Android Pia Ni Cheap devices ambapo Kila Mtu Anaweza Afford ukilinganisha Na I devices.
Android Inampa uhuru Mtumiaji Kuchagua Device Inayomfaa miongoni Mwa Brands nyingi zilizopo In the market na bado Kila Brands ina Machaguo Mengi Ukilinganisha Na I devices ambapo Machaguo ni Machache Kwa Kuwa Models zilizopo ni chache na ni Brand moja Pekee.
Android Inampa Uhuru Mtumiaji Kushare data Na wenzake kwa bluetooth au Wifi direct na features nyingine Lakini I device users wamejitenga wenyewe kwenye hili.
Unaweza Download Anything Kwa Kutumia Android but Kwenye I devices ni changamoto.
Kuna Faida na hasara za Android na hata I devices pia Lakini Kwa Mtumiaji wa Kawaida Mwenzangu na Mimi Unayetumia cmu Kuchat na Kupiga Picha Basi Android Inakufaa Achana MbweMbwe Za Kutumia I device Wakati huna Feature Unayoitafuta Huko.
Sent using
Jamii Forums mobile app