Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa

Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa

Kuna swala la branding.

Target ya iphone ni kwa watu wa level fulani ya juu kimapatao na class, it has always been that way.

Ndiyo maana iPhone akitoa flagship amemaliza, hatatoa hizi mid level phones, nakumbuka mara chache alitaka kufanya hii kitu kwenye iphone 5; alitoa 5c nadhani. Ukitaka iphone bei rahisi subiri muda upite ishuke bei.
 
Umeua mkuu
Android Ni User Friendly OS. Kwanza Matumizi Yake Ni Rahisi Ukilinganisha Na IOS, Android Inampa Uhuru Mtumiaji Kufanya Customizations and Tweaks Kuanzia Simple customizations hadi Zile Advanced tweaks Like Custom Roms ambazo huwa zina More features Compared to Stock roms. Kwa Mfano, Unaweza Ukawa na Simu Inayorun Android 2.3 ambayo baadhi ya Apps haziwezi Kurun But Unaweza Customize na Kufanya Unofficial Upgrade to Higher Android OS ambapo itakuwezesha Kurun Almost All Apps.
Kwa mfano Mimi huwa napenda Kutumia Modded Apps na baadhi ya Apps ambazo haziko on Playstore so Ni Android pekee inayoweza Kunipa such freedom.
Tukizungumzia IOS inapotokea Some Apps zikawa disabled Kwa Version flani ya IOS basi hyo ndo imeisha, Mfano Angalia Iphone4 na 4S Kwa sasa Ni Kama uchafu but Mtu mwenue Samsung S2 Bado Anaenda sawa na Mtu Mwenye Higher Android Version Kwa Almost 90% kwa upande wa Apps.
Lakini hayo mambo yote cyo Kila mtu anayahitaji Kwahyo Kwa baadhi ya watu hayana Umuhimu so hawana sababu ya kuwafanya Wakomae na Android.
Ubaya Wa Android Kwa Kuwa Ni Open OS basi hata Security features zao bado ni za Kawaida Sana, Kwa mfano Leo hii Android yoyote Inawezekana Kubypass User securities Like Screenlocks bila Kuathiri Data Zilizomo yaani Watu wanaweza Bypass Screenlock bila Kuathiri data zako hivyo wakapata Access kwenye hizo data.
Ukipoteza Simu Ya Android Basi Kama Aliyeipata ni Mjuzi basi Uwezekano wa wewe kuja Kuipata device yako ni 0% kwa Kuwa ana uwezo wa Kufanya tweaks na hata Kumodify data zinazowezesha Device husika Kupatikana.
Ubora wa I devices Upo Kwenye Security ambapo Hadi Leo hii hakuna known method ya Kubypass IOS security kuanzia Screenlock na pia Find My Iphone When Turned On.
Icloud Unlock hadi Leo Ni Very Expensive Kiasi Kwamba Mtu Ni Wachache wanaoweza Kumudu, Kwa mfano gharama ya Icloud Unlock Kwa Iphone 6Plus Ni Arround 170$ Kwa Clean Mode.
Ikitokea Umepoteza I device basi Possibility ya Kuipata Ni Kubwa kama Mtu Atafanikiwa Kuitumia Au huenda Akaifanya Kama Toy. Lakini hii feature ya Security Kwa Baadhi ya watu haina Maana.
Uhuru Wa Android pia Una Gharama zake, Kwa mfano baadhi ya Customizations huwa zinaruhusu cyber attacks na Endapo Kuna data muhimu kwenye device husika basi maharamia wana uwezo wa kudukua kwa urahisi Lakini Kwa I devices its not an easy Task, Vilevile hii nayo siyo kwa kila mtu maana Wengine wanatumia simu kuchat na Kupiga tu Picha.
Android Pia Ni Cheap devices ambapo Kila Mtu Anaweza Afford ukilinganisha Na I devices.
Android Inampa uhuru Mtumiaji Kuchagua Device Inayomfaa miongoni Mwa Brands nyingi zilizopo In the market na bado Kila Brands ina Machaguo Mengi Ukilinganisha Na I devices ambapo Machaguo ni Machache Kwa Kuwa Models zilizopo ni chache na ni Brand moja Pekee.
Android Inampa Uhuru Mtumiaji Kushare data Na wenzake kwa bluetooth au Wifi direct na features nyingine Lakini I device users wamejitenga wenyewe kwenye hili.
Unaweza Download Anything Kwa Kutumia Android but Kwenye I devices ni changamoto.
Kuna Faida na hasara za Android na hata I devices pia Lakini Kwa Mtumiaji wa Kawaida Mwenzangu na Mimi Unayetumia cmu Kuchat na Kupiga Picha Basi Android Inakufaa Achana MbweMbwe Za Kutumia I device Wakati huna Feature Unayoitafuta Huko.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
iPhone ni levels. Sense of prominence and importance. Security assurance. Quality.

Android ni user-friendly. Common. Universal. Commercial.

Ni vema kuwa nazo zote mbili. Unachokikosa huku, unakipata kule.

Life is simply good.
 
Kama mtu anatumia Iphone halafu anajiona tajiri basi huyo ana matatizo ya akili.

Ingawa mimi mwenyewe tecno siwezi kutumia hata nifungwe kamba.

Tunachoiponda tecno ni kitu kimoja tu. Building quality yake ni mbovu.

Hivyo mtu kuiponda tecno huku akiwa anatumia iphone kwangu mimi haimaanishi kwamba huyo mtu anajiona tajiri.

Kuna gap kubwa tu kati ya tecno na iphone. hata kama zote ni za 200k

Ungeelewa comment yake wala usingeandika haya.
Kuna watu wanatumia iPhone 5 ya laki mbili lakini kila siku wanatukana watumia tekno wereva. Mtu anatumia simu yenye bei sawa na wereva lakini huku mtandaoni kelele za kutosha.
Mtu akishaona ni nembo ya iPhone hata kama ni ya laki anajihisi tajiri.
Hata huku tunaona mtu anasema kumbe hata wewe unatumia tecno nilijua iPhone kisa kaona screenshot sio ya iPhone. Yaani mtu akinunua iPhone ya laki mbili anaviiiiiiiumbaaa na wakati watu wana tecno za laki nne wametulia. Kama haukuelewa comment ya paula.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwingine anaongea na hajawahi kutumia hata Iphone.
Nimesoma comment mpaka hapa watu wa android point yao ni ukiwa na androids unajiachia na kutumia vitu vingi, sadly mpaka najibu hii comment hakuna aliyemention hata kitu kimoja ambacho anajiachia nacho na anakikosa kwenye iphone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa anatoa mid range baada ya kila miaka kadhaa. Mfano alitoa SE mwaka 2015 na mwaka huu mwezi ujao atatoa SE2
Kuna swala la branding.

Target ya iphone ni kwa watu wa level fulani ya juu kimapatao na class, it has always been that way.

Ndiyo maana iPhone akitoa flagship amemaliza, hatatoa hizi mid level phones, nakumbuka mara chache alitaka kufanya hii kitu kwenye iphone 5; alitoa 5c nadhani. Ukitaka iphone bei rahisi subiri muda upite ishuke bei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu anatumia Iphone halafu anajiona tajiri basi huyo ana matatizo ya akili.

Ingawa mimi mwenyewe tecno siwezi kutumia hata nifungwe kamba.

Tunachoiponda tecno ni kitu kimoja tu. Building quality yake ni mbovu.

Hivyo mtu kuiponda tecno huku akiwa anatumia iphone kwangu mimi haimaanishi kwamba huyo mtu anajiona tajiri.

Kuna gap kubwa tu kati ya tecno na iphone. hata kama zote ni za 200k



Sent using Jamii Forums mobile app
Hautaki tecno kwa sababu hazifit mahitaji yako.
Bibie alichoongelea ni ile mtu unapambana na iPhone 6 huku unaona wenye tecno hawana hela.
Mfano mzuri tuu kiduku lilo aliweka screenshot watu wakaanza kumwambia tajiri kama wewe tulijua unatumia iPhone. Maana yake hata ingekuwa ni iPhone 5 ya laki mbili bado wangemuona ni tajiri kwa sababu anatumia iPhone.

Msichana wangu baada ya kudunduliza mshahara wake kanunua iPhone 6 sijui laki 3. Ukubwa wa betri ni 1810mAh. Haikai na chaji hata. Wiki iliyoisha ameiuza nikamwongezea hela tukanunua Tecno Camon 12. Betri yake ni 4000mAh. Inakaa na chaji hata siku tatu bila data. Na ni 400,000tsh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
android ni zaidi ya kompyuta mpakato wala hile ya ndani.100% ya kazi zote unaweza kumaliza kwenye simu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwa anatoa mid range baada ya kila miaka kadhaa. Mfano alitoa SE mwaka 2015 na mwaka huu mwezi ujao atatoa SE2

Sent using Jamii Forums mobile app

Okay, bado unaweza kuona kwamba siyo target market yake. Kwa sababu since 2015 ni 5 years now.

iPhones is classy.

Najaribu ku-imagine unaenda kufanya negotiations na lawyer wako halafu unakuta ana Tecno, binafsi nikikuta hivyo naachana naye huyo lawyer.

Front offices personells wanatakiwa kuwa na simu nzuri, PCs brands, wavae vizuri na wawe na lugha nzuri. Hakuna kampuni itawanunulia wafanya kazi wake Tecno. We had BBs back then, we now have iPhones.
 
iPhone wengi wanafuata mkumbo tu,eti aonekane yuko juu. Lakini ni simu ambazo sizikubali kabisa. Anayo dogo kuna baadhi ya program anazitamamia kwa mbali tu kwenye simu yangu. Anabaki kuumia sababu ya jina iPhone. Ukija kwenye gharama yake iPhone ni laki 9 alidokoa,mimi yangu ni SAMSUNG C9 PRO original ni milioni 1.3. Hii simu bonge moja la simu,hata nimaliza nayo miaka mitano. Nitadokoa kama hii tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina mahaba na vifaa vya plastics




Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Binafsi nilinunua IPhone kwasababu ya upatu iliyopigiwa wa “Security” na “Privacy” hata sasa naendelea kutumia bila shida yoyote .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si sahihi kushindanisha simu na mfumo endeshi wa simu. Ingekuwa sawa kushindanisha IOS na Android au Iphone na Samsung/Huawei/Nokia etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiongelea iPhone unaongelea iOS, ukiongelea iOS inaongelea iPhone, hivyo hivyo inapoongelea Android unaongelea Samsung, Huawei etc na ukiongelea Samsung, Huawei etc unaongelea Android
 
Boss heshima yako mkuu
Kiukweli nimefungua huu uzi ili nione unavyochambua hizo Limitations za matumizi kati ya Android na iPhone ila umeishia tu kulalama kuwa kuna hizo limitations bila hata kuzitaja!
Ajabu sana!!!!!
sijajua hasa ni Apps gani hizo wewe una uhuru nazo ila iPhone nazikosa!
Boss
Kuna msemo unasema:
KITANDA USICHOKILALIA
NA KUNGUNI WAKE.
Nikushauri tu wewe komaa na hiyo android yako ni nzuri kwako na kwa Matumizi yako pia

NB:
hizi simu haziitwi iphone usiwaharibie jina boss
Bali ni iPhone
hiyo {P}
ni ya herufi kubwa Hahaah
Unajua ni Kwanini????
huwezijua coz wewe ni wa Android


Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba kukuunga mkono mkuu .nimefuatilia comments za watu mbalimbali juu ya hii mada nanikaona wengi wamekariri kwamba iPhones Zina limitations,.


Kwanza kabisa naomba kukanusha hoja hiyo,.
Kuna comment ya mchangiaji mmoja iliuwa inaeleza kwamba ukiwa na iPhone hauwezi kubadili themes nakuweka unayotaka wewe mtumiaji, Hilo pia naomba kukanusha.

Napenda tu kuwapa taarifa kuwa Android phones evolution bado haijaweza kuifikia iOS phones evolution,ndiomaana utaona kwamba Android version yamwisho ni Android 11,lakin upande wa iOS version yamwisho ni iOS 14 ambayo imezinduliwa mwaka huu wa 2020. Sasa mpaka hapa nashindwa kukuelewa wewe unaesema iPhones Zina limitations kivip Yan

Matumizi ya iOS phones nitofauti Sana na Android phones,hivyo ninawasiwasi Sana kwamba wengi wawatumiaji wa simu wahajuikutumia iPhones ndiomaana wamebaki kulalamka kwamba iPhones Zina limitations.
Nitathibitisha dai Hilo Kama ifuatavyo,

Upande wa iOS phones toleo lamwisho ni Hilo la mwaka 2020 ambayo ni iPhone 12. Sasa ukiangalia iPhones nyingi ambazo watanzania tumetumia ni iPhone 5 mpaka iPhone 7. Sasa mtu anakuwaamekariri kwamba iPhones nizilezile anazojua yeye lakin kumbe sio.

Kitu kingine nikwamba sifa kuu inayoifanya iPhones kuwa brand yakwanza ni camera pixel,nikiwa namaana yakuwa picha iliyopigwa na iPhone 12 hapa nisawa na ile itakayopigwa na Canon (digital camera) ,chapili ni security systems, ..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom