Mdahalo huru: Team android na Team iphone tukutane hapa


Umemjibu vyema sana sijui atakuja na point ipi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I got you, nilikuwa natumia iPhone nikahama. Nikanunua galaxy S10+ kwa $1000 (2,300,000 hivi) ina miezi 10 sasa.
Sema ndio hivo both phones price zinakuwa higher to start then dropping off quicker too inamwezesha kila mtu mwenye uwezo wowote kununua.

Ndio maana nimeona hamna maajabu yoyote labda kama tunakimbizana na matoleo.
 
Hayo mambo mengi ni yapi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung A51 unanunua Iphone 11 Pro Max ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu so una iphone
Suala si kuwa na iphone au samsung.

Wanachokitetea watu wa android ni kufanya mambo ya kitoto kwenye simu.

Mtu anaanza kukwambia sijui kubadili theme, kubadili muonekano wa apps..

Hayo ni mambo ya watoto. Mtu mzima mwenye shughuli zake hawezi kuhangaika na hayo mambo. Hata akinunua android anatumia basically kama mtumiaji wa iphone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iphone is the best in ecosystem.

Kuna iphone, ipad, apple watch, macbook, apple music.

Yani hapo ni endless services ndani ya ecosystem moja.

Samsung unapata nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iphone 6 imetoka miaka 15 iliopita.

Kuuzwa used kwa 300K ni kitu cha kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Resale value ya iphone ipo juu sana.

Uwepo wa refubrished za china pale makumbusho ndo inawapa jeuri watu kumiliki za kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma comment mpaka hapa watu wa android point yao ni ukiwa na androids unajiachia na kutumia vitu vingi, sadly mpaka najibu hii comment hakuna aliyemention hata kitu kimoja ambacho anajiachia nacho na anakikosa kwenye iphone[emoji848]
Hapo ndo shida.

Wanakwambia unajiachia, ila huko kujiachia ni mambo ya kitoto na kijinga.

Mtu mzima hawezi kuhangaika na kubadili themes mara muonekano wa app sijui kugeuza screens juu chini.

A serious guy hawezi kucheza na simu kama mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeelewa comment yake wala usingeandika haya.
Kuna watu wanatumia iPhone 5 ya laki mbili lakini kila siku wanatukana watumia tekno wereva. Mtu anatumia simu yenye bei sawa na wereva lakini huku mtandaoni kelele za kutosha.
Mtu akishaona ni nembo ya iPhone hata kama ni ya laki anajihisi tajiri.
Hata huku tunaona mtu anasema kumbe hata wewe unatumia tecno nilijua iPhone kisa kaona screenshot sio ya iPhone[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Yaani mtu akinunua iPhone ya laki mbili anaviiiiiiiumbaaa na wakati watu wana tecno za laki nne wametulia. Kama haukuelewa comment ya paula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adroid naweza kusema zimetengenezwa kirahisi kwendana na watumiaji wake ndio maana Dunia ya kwanza ukitaja simu fasta ni Iphone kwasababu inaubora wa hali ya juu na isitoshe vitu vyake vingi nivyakununua
 
Android Ni User Friendly OS. Kwanza Matumizi Yake Ni Rahisi Ukilinganisha Na IOS, Android Inampa Uhuru Mtumiaji Kufanya Customizations and Tweaks Kuanzia Simple customizations hadi Zile Advanced tweaks Like Custom Roms ambazo huwa zina More features Compared to Stock roms. Kwa Mfano, Unaweza Ukawa na Simu Inayorun Android 2.3 ambayo baadhi ya Apps haziwezi Kurun But Unaweza Customize na Kufanya Unofficial Upgrade to Higher Android OS ambapo itakuwezesha Kurun Almost All Apps.
Kwa mfano Mimi huwa napenda Kutumia Modded Apps na baadhi ya Apps ambazo haziko on Playstore so Ni Android pekee inayoweza Kunipa such freedom.
Tukizungumzia IOS inapotokea Some Apps zikawa disabled Kwa Version flani ya IOS basi hyo ndo imeisha, Mfano Angalia Iphone4 na 4S Kwa sasa Ni Kama uchafu but Mtu mwenue Samsung S2 Bado Anaenda sawa na Mtu Mwenye Higher Android Version Kwa Almost 90% kwa upande wa Apps.
Lakini hayo mambo yote cyo Kila mtu anayahitaji Kwahyo Kwa baadhi ya watu hayana Umuhimu so hawana sababu ya kuwafanya Wakomae na Android.
Ubaya Wa Android Kwa Kuwa Ni Open OS basi hata Security features zao bado ni za Kawaida Sana, Kwa mfano Leo hii Android yoyote Inawezekana Kubypass User securities Like Screenlocks bila Kuathiri Data Zilizomo yaani Watu wanaweza Bypass Screenlock bila Kuathiri data zako hivyo wakapata Access kwenye hizo data.
Ukipoteza Simu Ya Android Basi Kama Aliyeipata ni Mjuzi basi Uwezekano wa wewe kuja Kuipata device yako ni 0% kwa Kuwa ana uwezo wa Kufanya tweaks na hata Kumodify data zinazowezesha Device husika Kupatikana.
Ubora wa I devices Upo Kwenye Security ambapo Hadi Leo hii hakuna known method ya Kubypass IOS security kuanzia Screenlock na pia Find My Iphone When Turned On.
Icloud Unlock hadi Leo Ni Very Expensive Kiasi Kwamba Mtu Ni Wachache wanaoweza Kumudu, Kwa mfano gharama ya Icloud Unlock Kwa Iphone 6Plus Ni Arround 170$ Kwa Clean Mode.
Ikitokea Umepoteza I device basi Possibility ya Kuipata Ni Kubwa kama Mtu Atafanikiwa Kuitumia Au huenda Akaifanya Kama Toy. Lakini hii feature ya Security Kwa Baadhi ya watu haina Maana.
Uhuru Wa Android pia Una Gharama zake, Kwa mfano baadhi ya Customizations huwa zinaruhusu cyber attacks na Endapo Kuna data muhimu kwenye device husika basi maharamia wana uwezo wa kudukua kwa urahisi Lakini Kwa I devices its not an easy Task, Vilevile hii nayo siyo kwa kila mtu maana Wengine wanatumia simu kuchat na Kupiga tu Picha.
Android Pia Ni Cheap devices ambapo Kila Mtu Anaweza Afford ukilinganisha Na I devices.
Android Inampa uhuru Mtumiaji Kuchagua Device Inayomfaa miongoni Mwa Brands nyingi zilizopo In the market na bado Kila Brands ina Machaguo Mengi Ukilinganisha Na I devices ambapo Machaguo ni Machache Kwa Kuwa Models zilizopo ni chache na ni Brand moja Pekee.
Android Inampa Uhuru Mtumiaji Kushare data Na wenzake kwa bluetooth au Wifi direct na features nyingine Lakini I device users wamejitenga wenyewe kwenye hili.
Unaweza Download Anything Kwa Kutumia Android but Kwenye I devices ni changamoto.
Kuna Faida na hasara za Android na hata I devices pia Lakini Kwa Mtumiaji wa Kawaida Mwenzangu na Mimi Unayetumia cmu Kuchat na Kupiga Picha Basi Android Inakufaa Achana MbweMbwe Za Kutumia I device Wakati huna Feature Unayoitafuta Huko.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza mjadala mzee wangu asieelewa atakuwa anamatatizo yake mwenye kujua simu vzr anatumia Android.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…