Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muliza swalii hawaelewi hao ndiyo maana wanapata shida Sana kwenye ndoa au mahusiano ndiyo maana mahusiano mengi yanavunjika mara ndoa Zina kua ndoano vurugu si vuruguu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawapongeza Sana wanaume kwa sabababu ni wavumilivu na jasiri. Mwanaume ana naweza Kuishi na Mwanamke ambaye Hana kazi anakaa tuu nyumbani kwa Miaka mi5
Lakini Mwanamke Kuishi na Mwanaume ambaye Hana pesa au kazi ni siku 5
 
[emoji23] mjinga kweli wewe
Eti big pipe and balls
 
Mmhh! Tunaeleweka bana tatizo mmeshajijengea kwamba wanawake hatujui nini tunataka.

Shida mnataka wanawake wote wafanane wanavyovitaka wakati haiwezekani kwa sababu hata nyie wanaume mpo wa kila aina.
Km mnajua tell us now
 
Km mnajua tell us now
Kama umenielewa nimesema hatuwezi tukafanana tunavyohitaji hivyo nikikwambia ninachotaka mimi huenda uliyenaye au utakayempata asiwe anahitaji hivyo.

Jitahidi tu kumsoma uliyenaye nina imani hutopata shida ya kujua nini anataka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…