Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae

Mmhh! Tunaeleweka bana tatizo mmeshajijengea kwamba wanawake hatujui nini tunataka.

Shida mnataka wanawake wote wafanane wanavyovitaka wakati haiwezekani kwa sababu hata nyie wanaume mpo wa kila aina.
asante sana kuwaambia hao maana wanadhani kuwa wanawake wote wanafanana kumbe sivyo
 
Awe amezaliwa mwaka 55 mwenye sura kama ya mleta mada
 
Eti big balls!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmhh! Tunaeleweka bana tatizo mmeshajijengea kwamba wanawake hatujui nini tunataka.

Shida mnataka wanawake wote wafanane wanavyovitaka wakati haiwezekani kwa sababu hata nyie wanaume mpo wa kila aina.
Kweli kabisa
 
Wenyewe tu hawajui wanataka nini. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mleta hoja labda ungefafanua zaidi.Sifa za Kiumbo au Sifa kwa maana ya tabia.Wanawake wengi wa kiafrika (niwasemee) kitabia 99% hawapendi wanaume wanaovuta Sigara.Hawapendi Sigara.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…