Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #141
ha ha ha hha ni hadithi niliambiwa ila me sijui
Kwa vit*mbi ingekuwa riziki, ila kama ushamweleza uhalisia wa mambo mwache alivyo atajipatia tu mwingine
kaka yangu naomba nikupongeze kwa msimamo mzuri na kumjibu vzr uyo bnt!hata siku1usinajic mwil wako,naamin kwa busara zako huyo bnt atadirika cku moja kiustaarab muite muelimishe kuwa nidhamb na madhara yake makubwa hatofanya tenapopote.ubarikiwe
Kitu cha sumu umekisahau......teh teh.......huyo binti naye hajipendi..uwiiiiii..
ucwasikilinze wazinz waumu jf chambua sikila ushaur unafaa kumbuka neno mungu linasema njia iendayo uziman nyembamba ndo maana weng wanakushaur uzinz,hakuna dhamb mbaya kama i.usishangae hata unapata mikosi ofcn na kwenye life kwa ilo.da thanks kaka
Naomba namba yake, nataka kumsaidia kwani tunaweza kusaidiana
***Mpira wa Kona huo***
Nahisi hako kadada katakuwa ka kawaida sana hata mfuto hakana ndo maana mkuu umeweza kuchomoka kwenye huo mtego.
Kwa kawaida wanaume huwa ni vigumu sana kuchomoka kwenye mitego ya aina hiyo, wanaume wengi tumejawa na tamaa hasa pale tunapoona kadada kazuri kawe na ------ hipsi kwambaliiiiiiiiii.... Hakianane hapa hachomokia mtu.
Tena kuzingatia tafiti mbali mbali zinaonesha kwamba wanaume wengi walioko katika ndoa ndo wanaongoza kwa kutengeneza mitandao ya ngono hapa asinge toka mtu.
Badala yake leo hapa kozo okamoto ange andika uzi unaosema hivi "Mdada wa usafi kazini aivunja ndoa yangu".
Inaonesha hana upendo wa kweli. Yeye ni nipe nikupe. Katakuwa kabinti kwa mizinga hako achana nako.
kwa hili shetan anaumwa kichwa kwa homa sababu kaaibika mbaya! so subiri baraka tele toka kwa Mungu awez kukuacha ivi kama kweli ukimtetea kwa uaminifu hivi.mkumbuke ata yusuph misri msimamo wako Mungu kamzawadia uwaziri.
kama kweli ni utamu basi nianze na wewe
Eti umesema!??
Daaah Bahati hizo
ungekuwa mchagga ningekuuliza chini ya mikahawa na migomba ukitumwa mafuta ya taa sa moja moja hivi...... au ile ya kusimama kwenye kuta za watu kinguo nguo ha ha ha ha ha
utani tu mama,si unajua yule kazoea za mikahawani?