Mdada wa usafi kazini...!!!!

hakuna anakuekea ya ile aliyeekewa mwakiembe inanyonyoa nywele zote huku ukiwa unakufa polepole tena huna uwezo wa kwenda nje ya nchi utatoka hadi chululu idondoke chini ndo ufe he he he he

hahaha aisee,hiyo ya kunyonyoka sasa balaa!!!,chululu tena?usiniogopeshe aisee
 
Mkuu we msaidie kama ana shida ila usimgegede mwache tu.

yap,hata mimi nilimwambia hivyo,kama atakuwa na shida na ikawa ndani ya uwezo wangu basi nitaitatua lakini sio kugegedana
 
na umri huu
nishajichokea mkuu,formation yangu ya kawaida kabisa 4-4-2,hizo
4-3-3,4-5-1 au kupaki basi mi siziwezi

Aisee, umechoka hata 45 hujafikisha? Na shemeji keshachoka au unajiangalia ww tu?
 
unapenda kukata kiuno?

Hahahahahahaha...!!!!!!!!!!!!!!!!
Haka kamsemo kamenikumbusha neno fulani la kikabila lenye maana sawa na hiyo "ohanshile kunugha obhokegende" Alipenda kulitumia kaka kutuonya kufanya mapenzi kwa wakati huo...!!!!!!
 
si kuchoka mkuu,umri wa kufanya fujo ndo ushapita mkuu

Kuna mzizi mmoja hivi, ukinywa maji yake unarudia ujana utafute kabla ya kustaafu, maana naona unataka kuwakatili haki zao hawa warembo
 
Kuna mzizi mmoja hivi, ukinywa maji yake unarudia ujana utafute kabla ya kustaafu, maana naona unataka kuwakatili haki zao hawa warembo

sina haja ya kutumia mzizi mkuu,niko fiti kabisa ila muda wa kufanya fujo za ujana umepita
 
Nahisi hako kadada katakuwa ka kawaida sana hata mfuto hakana ndo maana mkuu umeweza kuchomoka kwenye huo mtego.
Kwa kawaida wanaume huwa ni vigumu sana kuchomoka kwenye mitego ya aina hiyo, wanaume wengi tumejawa na tamaa hasa pale tunapoona kadada kazuri kawe na ------ hipsi kwambaliiiiiiiiii.... Hakianane hapa hachomokia mtu.
Tena kuzingatia tafiti mbali mbali zinaonesha kwamba wanaume wengi walioko katika ndoa ndo wanaongoza kwa kutengeneza mitandao ya ngono hapa asinge toka mtu.
Badala yake leo hapa kozo okamoto ange andika uzi unaosema hivi "Mdada wa usafi kazini aivunja ndoa yangu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…