Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

Muibukie kama vipi.
Mpige saundi, Mwambie kelele zake wewe hoi,
Huli hulali unamuwaza yeye, na ukinywa maji unamuona kwenye glass.
 
kwani usingeandika NMB usingeweza kuwakilisha tatizo lako!?? au wadada ya NMB ndivyp walivyo?
 
wanajamvi amani kwenu,
kuna huyu mdada anafanya kazi nmb(kaumbika,yuko sexy ile mbaya,msomi flani hivi afu matawi kiaina.pia ni mpole sana)tumepanga nae nyumba moja hapa mjini.kwa jinsi nyumba yenyewe ilivyo(imejengwa muundo wa "U" dirisha la sitting room kwangu(sebuleni) linapakana na chumbani kwake.yaani kila mmoja wetu anaweza kuchungulia chumba cha mwenzake kama akifungua pazia.kinachonipa wakati mgumu ni kelele anazopiga wakati akifanya mapenzi na boyfriend wake,kelele za mahaba ambazo unaweza kuzisikia hata ukiwa umbali wa mita 50 kama kukiwa hamna kelele zinazoingiliana na hizo.yaani wakishaingia tu ndani na huyo mtu wake tena mapema tu saa 12 za jioni au saa moja mambo yanaanza,eneo zima linakuwa ni kelele zake.pia huwa anaachadirisha wazi wakati anafanya shughuli zake hizo.yaani huyu mtoto wa kichaga mara aseme hivi,mara vile.kwa ufupi ni kelele za mahaba mwanzo mwisho.siku za jumapili saa 4 asubuhi tu,yaani eneo zima halitamaniki.napata wakati mgumu sana ninapokuwa na wageni home kwangu.wakati mwingine wanaweka mikanda ya ngono tena kwa sauti ya juu kabisa.yaani ni kero tupu.nilisha lalamika kwa mama mwenye nyumba ili aongee nae kistaarabu tu,yaani awe hata anawasha redio kwa sauti ya juu lakini wapi.mama mwenye nyumba nae anadai huwa anazisikia.hata kama ni raha au utamu basi wa huyu dada umepitiliza.
HOFU YANGU NI SIKU NITAKAPOTEMBELEWA NA WAZAZI WANGU AU BABA NA MAMA MKWE SIJUI ITAKUWAJE.PIA NAPOKUWA NA WAGENI MANAKE ILE MIDA YA CHAKULA CHA JIONI WAO NDIO MAMBO YANAANZA.NIFANYEJE MAANA NAONA HATA AAMBIWE HAJIREKEBISHI?

kulikuwa na UMUHIMU WOWOTE KUITAJA NMB ILI UJUMBE WAKO UFIKE????

Mtizamo wangu ni kwamba huyo mdada anapiga kelele makusudi tu kukutia nyege ili siku akiwa peke yake ukamuombe starehe. Pole ndugu yangu, ni mitego tu hiyo. Usikute anakuwaza wewe anapogegedwa, mwendee tu akikukatalia ni siri yako na hapa usirudi tena.
 
wanajamvi amani kwenu,
kuna huyu mdada anafanya kazi nmb(kaumbika,yuko sexy ile mbaya,msomi flani hivi afu matawi kiaina.pia ni mpole sana)tumepanga nae nyumba moja hapa mjini.kwa jinsi nyumba yenyewe ilivyo(imejengwa muundo wa "u" dirisha la sitting room kwangu(sebuleni) linapakana na chumbani kwake.yaani kila mmoja wetu anaweza kuchungulia chumba cha mwenzake kama akifungua pazia.kinachonipa wakati mgumu ni kelele anazopiga wakati akifanya mapenzi na boyfriend wake,kelele za mahaba ambazo unaweza kuzisikia hata ukiwa umbali wa mita 50 kama kukiwa hamna kelele zinazoingiliana na hizo.yaani wakishaingia tu ndani na huyo mtu wake tena mapema tu saa 12 za jioni au saa moja mambo yanaanza,eneo zima linakuwa ni kelele zake.pia huwa anaachadirisha wazi wakati anafanya shughuli zake hizo.yaani huyu mtoto wa kichaga mara aseme hivi,mara vile.kwa ufupi ni kelele za mahaba mwanzo mwisho.siku za jumapili saa 4 asubuhi tu,yaani eneo zima halitamaniki.napata wakati mgumu sana ninapokuwa na wageni home kwangu.wakati mwingine wanaweka mikanda ya ngono tena kwa sauti ya juu kabisa.yaani ni kero tupu.nilisha lalamika kwa mama mwenye nyumba ili aongee nae kistaarabu tu,yaani awe hata anawasha redio kwa sauti ya juu lakini wapi.mama mwenye nyumba nae anadai huwa anazisikia.hata kama ni raha au utamu basi wa huyu dada umepitiliza.
Hofu yangu ni siku nitakapotembelewa na wazazi wangu au baba na mama mkwe sijui itakuwaje.pia napokuwa na wageni manake ile mida ya chakula cha jioni wao ndio mambo yanaanza.nifanyeje maana naona hata aambiwe hajirekebishi?

hama nyumba
 
Potezea tu! huyo demu ni mcharuko! na jamaa ni mtu wa hovyo <why cant he control his wife> tena inawezekana wanafanya makusudi
 
Mtizamo wangu ni kwamba huyo mdada anapiga kelele makusudi tu kukutia nyege ili siku akiwa peke yake ukamuombe starehe. Pole ndugu yangu, ni mitego tu hiyo. Usikute anakuwaza wewe anapogegedwa, mwendee tu akikukatalia ni siri yako na hapa usirudi tena.

duhhii kali
 
Ongea nae ana kwa ana mtatue tatizo. Ikiwezekana uongee wakiwa na huyo mgegeduaji!
Waambie mgegedo wapo umekua kero kama hawataacha utawapiga picha uwapelekee uwazi na ijumaa waanikwe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
she's a screamer eeeh...kila mkisikia kelele tu,nendeni mkagonge mlango kwa nguvu...oyaaaaa,demu wako anazingua bwanaaa,aibisha balaa,ndo atajifunza
 
Kazi ndogo sana, mrekodi hizo kelele zake hafu siku nyingine zipige kwenye redio huku akiwa anasikia, weka sauti ya mwisho kabisa mpaka mama mwenye nyumba asikie.

Angalizo: Hii usimuhusishe mkeo, fanya kimya kimya.

hahahhahhha, samahani kwa neno hili wewe mkuu Kanigini ni 'muhuni' wa ukweli, lol sipati picha kamkanda kakiwa kanalia yake
 
Last edited by a moderator:
wanajamvi amani kwenu,
kuna huyu mdada anafanya kazi nmb(kaumbika,yuko sexy ile mbaya,msomi flani hivi afu matawi kiaina.pia ni mpole sana)tumepanga nae nyumba moja hapa mjini.kwa jinsi nyumba yenyewe ilivyo(imejengwa muundo wa "U" dirisha la sitting room kwangu(sebuleni) linapakana na chumbani kwake.yaani kila mmoja wetu anaweza kuchungulia chumba cha mwenzake kama akifungua pazia.kinachonipa wakati mgumu ni kelele anazopiga wakati akifanya mapenzi na boyfriend wake,kelele za mahaba ambazo unaweza kuzisikia hata ukiwa umbali wa mita 50 kama kukiwa hamna kelele zinazoingiliana na hizo.yaani wakishaingia tu ndani na huyo mtu wake tena mapema tu saa 12 za jioni au saa moja mambo yanaanza,eneo zima linakuwa ni kelele zake.pia huwa anaachadirisha wazi wakati anafanya shughuli zake hizo.yaani huyu mtoto wa kichaga mara aseme hivi,mara vile.kwa ufupi ni kelele za mahaba mwanzo mwisho.siku za jumapili saa 4 asubuhi tu,yaani eneo zima halitamaniki.napata wakati mgumu sana ninapokuwa na wageni home kwangu.wakati mwingine wanaweka mikanda ya ngono tena kwa sauti ya juu kabisa.yaani ni kero tupu.nilisha lalamika kwa mama mwenye nyumba ili aongee nae kistaarabu tu,yaani awe hata anawasha redio kwa sauti ya juu lakini wapi.mama mwenye nyumba nae anadai huwa anazisikia.hata kama ni raha au utamu basi wa huyu dada umepitiliza.
HOFU YANGU NI SIKU NITAKAPOTEMBELEWA NA WAZAZI WANGU AU BABA NA MAMA MKWE SIJUI ITAKUWAJE.PIA NAPOKUWA NA WAGENI MANAKE ILE MIDA YA CHAKULA CHA JIONI WAO NDIO MAMBO YANAANZA.NIFANYEJE MAANA NAONA HATA AAMBIWE HAJIREKEBISHI?
Acha URONGO mukubwa we Makanyagio uliona wapi MCHAGA NA MAKELELE??!?? Vijitu viongo kweli ungesema zaramo au Kule kwetu hapo sawa tungo yako at list ingepata meno..
 
Back
Top Bottom