Akishamrekodi asikose kuweka hapa JF tuzisikie ili tumshauri vizuri
Kurekodiwa ni aibu hata kama anapenda watu wazisikie hizo kelele, kwa kuzingatia pia kwamba anaacha dirisha wazi kama ulivyosema tafuta kamera yenye flash kali na mtaalamu wa kupiga picha, wakiwa katikati ya mahaba picha inapigwa shaa!
Hapo ni mwisho wa maneno. Asipohama ndani ya mwezi unakuwa unadondosha picha moja moja mlangoni kwake.
Wewew usihame mfanyie vituko akosane na mpenzi wake ili ahame yeye, njia ya kumfanyia ni kwamba ukiona wameanza kuti........ana, tafuta msela mmoja aje amgongee dirisha halafu amwambie nifungulie mpenzi wangu nimewahi kama tulivyopanga, kwani unanipaga burudani sana ndo maana nakupenda mno. halafu ana sepa, watajiju wenyewe, na siku nyingine hivyo hivyo mpaka ajirekebishe
Sijui una umri gani lakini sisi tulioishi miaka mingi, tumeishawaona, kuwasikia na kuishi nao wapiga kelele. Wako wengi tu. Na amini usiamini, sio kwa kupenda kwao, inakuja tu na akimaliza anauliza hivi majirani wametusikia?
Tiba
Yani usingechangia kwenye huu uzi mi ningebadili dini wallah....mkashifu kidogo bana....kwamba mdada mzuri hivyo hana hadhi ya kugegedwa nyumbani kwake alikopanga yeye!!! mwambie wenzake wanaggedewa sehemu za maana nk. sasa yeye anagegedewa huko mbwinde!!!!
ila pole mkuu!
Yani usingechangia kwenye huu uzi mi ningebadili dini wallah
Afu Klemee hebu nambie demu anayegegedwa kwenye geto lake kila siku maana yake nini?
Njemba itakuwa mme wa mtu,au
Njemba itakuwa haina mshiko wa kupeleka mchuchu kwenye machimbo, au
Mchuchu utakuwa mchunaji unakamata mahela ya kukodi chimbo pamoja na hela ya kula na ya kumtoa kutoka kwa njemba
Kwa kifupi ni WIZI MTUPU. Afu usisahau mchuchu wenyewe ni dada angu lol
Mbonyi shafo Palooooooo!
pole kwa maswahibu unayo pata, Ila sijaelewa ni kwa nn huwa baadhi ya wanawake wana piga kelele hivyo na wanajua kabisa kelele zao zina sikika na wasio husika kwa wakati huoAcha URONGO mukubwa we Makanyagio uliona wapi MCHAGA NA MAKELELE??!?? Vijitu viongo kweli ungesema zaramo au Kule kwetu hapo sawa tungo yako at list ingepata meno..
Kwa niwajuavyo watu wa aina hii ni kwamba wanafanya hivyo wakijua fika kadhia wanayowasababishia wenzao, na believe me inaweza kuwa si lazima kwamba ana enjoy to the maximum but on the contrary she enjoy effect of the act to others! Na kama alivyosema mleta mada hili analijua fika kwani anajua anaishi na wapangaji wenzake na kelele zitasikika, so kama angekuwa mstaarabu angeweza kuamua kufanya late hours au kama alivyochangia member mmoja hapa azidishe sauti ya radio. Nilishuhudia siku moja nikiwa safari kwenye gest niliyofikia aliingia jamaa na demu wake kwenye saa tano usiku, na mara walipoanza majambo huyo dada alianza staili hiyo ya kuenjoy kwa makelele kiasi kwamba ghafla wapangaji gest nzima wakaamka na kumkomalia, cha ajabu baada ya mkwara hupo mambo yakawa shawari mpaka nilipoondoka!!Duniani kuna vituko jamani ila Dunia ya JF is too much, sasa kelele za chura zinakuzuiaje kunywa maji Mpwa? Ningekuwa mimi nimeshamweleza, jenga urafiki naye hata kama ni wa kinafiki potelea mbali, weka na kajiutani kidogo kisha mkishazoena vizuri kidogo, mchombeze juu ya hilo kimtindo, hio ndio busara tu. Mwambia tu kwa njia ya utani; kwa mfano; naona jamaa anashughulika ipasavyo eeeh, ila dah huku hua inakua shida kweli....na maneno kama hayo. Kama ni mwelewa basi ataelewa tu. ikishindikana kabisa, mtokeee tu na wewe muombe.....hata hivyo kuna tuhuma kuwa wachaga (watani zangu) wako sifuri kabisa kwenye hio fani. sasa labda na yeye ndio hao hao
Wakyaara wakinyora kikwetu maana yake ni Mvumilivu ula Mbivu, Mkuu amini makelele hayo ipo siku yatatokea dirishani kwako
Tafuta mtu wa kupiga hizo picha, tena mwenye mbio maana anaweza kukimbizwa. Baada ya hapo mambo kimya kimya tu. Unahakikisha picha unakuwa nazo soft copy, unaprint moja moja za kudondosha na haubaki na hardcopy yoyote.
Hapo hakuna ushahidi.
Halafu adondoshe picha moja yenye ujumbe tupeni million 50 kabla hatujasambaza picha na video zenu za ngono!