wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 286
- Thread starter
- #21
Huyo binti mshamba.....ndo anamuibia uyo sharo na hiyo mikelele yake.
u made ma evening,aren't u a woman?....nimecheka sana
Huyo binti mshamba.....ndo anamuibia uyo sharo na hiyo mikelele yake.
mkuu mbona unaanza kuniogopesha?
Huyo binti mshamba.....ndo anamuibia uyo sharo na hiyo mikelele yake.
Duniani kuna vituko jamani ila Dunia ya JF is too much, sasa kelele za chura zinakuzuiaje kunywa maji Mpwa? Ningekuwa mimi nimeshamweleza, jenga urafiki naye hata kama ni wa kinafiki potelea mbali, weka na kajiutani kidogo kisha mkishazoena vizuri kidogo, mchombeze juu ya hilo kimtindo, hio ndio busara tu. Mwambia tu kwa njia ya utani; kwa mfano; naona jamaa anashughulika ipasavyo eeeh, ila dah huku hua inakua shida kweli....na maneno kama hayo. Kama ni mwelewa basi ataelewa tu. ikishindikana kabisa, mtokeee tu na wewe muombe.....hata hivyo kuna tuhuma kuwa wachaga (watani zangu) wako sifuri kabisa kwenye hio fani. sasa labda na yeye ndio hao hao
Ssi kweli kwamba kila mwanamke akipiga kelele wakati wakufanya mapenzi basi nia yake ni kumuibia huyo anayefanya naye mapenzi. Wengine ni nature yao na hata ukifanyaje atapiga kelele tu kwani hiyo inakuja automatically na wala hakai hakapanga kuwa iwe hivyo.
Tiba
pole sana kaka nyumba za kupanga ni majanga.
ni kawaida kwani its a natural phenomenon kuwa like poles always repel but unlike one attract, kama huamini wewe endelea kukaa kaa hapao coz huwezi jua kama ndo style yake pia ya kufikisha ujumbe kwako kuwa wewe umezidi kuwa kimyaaaaaa...
Kama yeye hataki kufungulia radio kwa sauti kubwa kwa nini wewe usifungulie yako ili usisikie
Ssi kweli kwamba kila mwanamke akipiga kelele wakati wakufanya mapenzi basi nia yake ni kumuibia huyo anayefanya naye mapenzi. Wengine ni nature yao na hata ukifanyaje atapiga kelele tu kwani hiyo inakuja automatically na wala hakai hakapanga kuwa iwe hivyo.
Tiba
wanajamvi amani kwenu,
hata kama ni raha au utamu basi wa huyu dada umepitiliza.
HOFU YANGU NI SIKU NITAKAPOTEMBELEWA NA WAZAZI WANGU AU BABA NA MAMA MKWE SIJUI ITAKUWAJE.PIA NAPOKUWA NA WAGENI MANAKE ILE MIDA YA CHAKULA CHA JIONI WAO NDIO MAMBO YANAANZA.NIFANYEJE MAANA NAONA HATA AAMBIWE HAJIREKEBISHI?
mmmmmhhh!!!!!mkuu MeinKempf????
u made ma evening,aren't u a woman?....nimecheka sana
Ndo mpaka mtaa wa 4 wakusikie.....!wengi wao ndo wamuhakikishie huyo jamaa anamkuna vizur.Hata kama kunogewa hiyo mwisho....
Wengine wazushi......!hata kama mwanamke lakin ustaarabu kitu cha muhimu,kuna jirani yetu hapa huwa anatuambiaga leo usiku ntamlilia jamaa mpaka anielewe ombi langu.Na kwel hiyo usiku wapangaji wenzie wanakoma.......!Vumilia au hama..
Puli ya nini wakati jamaa kaoa?Tumia fursa ya hizo kelele kupiga puli mzee, wengine wanazitamaini