Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

Ustaarabu umekuwa msamiati kwake, akikua ataacha, nadhan ndo kwanza anaingia kwenye ulimwengu wa madavidavi, halafu utakuta kelele zenyewe ni za kumzuga jamaa hakuna mapenzi ya kweli, ni kuweka mazingira ya kumteka akili mshkaji. Usimuoge, kama vipi muuleze huyo jamaa yake kiustaarabu kuwa anawanyima pumzi kwa kelele zake wakati anazini ajaribu kuwa na privacy na respect others. akikujibu mbofu mbofu hama tuu hapo.
 
Sijui una umri gani lakini sisi tulioishi miaka mingi, tumeishawaona, kuwasikia na kuishi nao wapiga kelele. Wako wengi tu. Na amini usiamini, sio kwa kupenda kwao, inakuja tu na akimaliza anauliza hivi majirani wametusikia?

Tiba

sitaki kupinga sana kuhusu hilo,mara nyingi huwa najua ni usanii flani hivi....japokuwa naamini wengine huwa ni kweli wamepagawa
 
Ustaarabu umekuwa msamiati kwake, akikua ataacha, nadhan ndo kwanza anaingia kwenye ulimwengu wa madavidavi, halafu utakuta kelele zenyewe ni za kumzuga jamaa hakuna mapenzi ya kweli, ni kuweka mazingira ya kumteka akili mshkaji. Usimuoge, kama vipi muuleze huyo jamaa yake kiustaarabu kuwa anawanyima pumzi kwa kelele zake wakati anazini ajaribu kuwa na privacy na respect others. akikujibu mbofu mbofu hama tuu hapo.

thanx kwa hili mkuu
 
inaelekea una kawivu fulani
kwanza umeanza kumsifia that means unamtamani
pili umeanza kusema ishu ya mapenzi na boyfriend wake
inaonyesha wivu umekujaa unamtamani huyo binti amtose umchukue wewe
naona ishu hapa sio sauti wala makelele unamtamani awe wako..
ina maana wapangaji wote kama kuna wazima zaidi yako hawajatokea kumkanya na kumtia displiniiiii???
 
Sijui una umri gani lakini sisi tulioishi miaka mingi, tumeishawaona, kuwasikia na kuishi nao wapiga kelele. Wako wengi tu. Na amini usiamini, sio kwa kupenda kwao, inakuja tu na akimaliza anauliza hivi majirani wametusikia?

Tiba

U ryt Tiba kuishi kwingi kuona mengi lakini sio yote.Sijakataa usemayo na ndio maana nimekwambia wengine ni wazushi.....sijasema wote.Maamuzi ni yake sasa kuhama au laaah,maana point yake kubwa ya kero ni kama watakuja wageni.Ila yeye ameanza kwa kusifia mdada.....teh teh
 
Last edited by a moderator:
inaelekea una kawivu fulani
kwanza umeanza kumsifia that means unamtamani
pili umeanza kusema ishu ya mapenzi na boyfriend wake
inaonyesha wivu umekujaa unamtamani huyo binti amtose umchukue wewe
naona ishu hapa sio sauti wala makelele unamtamani awe wako..
ina maana wapangaji wote kama kuna wazima zaidi yako hawajatokea kumkanya na kumtia displiniiiii???

umesema vizuri but nimejaribu kumueleza jinsi alivyo,kuonyesha kwamba wasifu wake ni tofauti kidogo na reality kwenye maisha yake ya kila siku,.pia mkuu,mke wangu mzuri,nimeoa totoz la ukweli.ile mentality iliyoko kwa vijana kuwa ukioa mke mzuri utapata shida mi sikuwa nayo kabisa na wala siko nayo,ukikutana na waifu wangu lazima ugeuke nyuma mara kadhaa kumtazama.aisee cjui nikwambieje tu,ndo maana sina presha na na masista du wa kitaa,manake yf anakimbiza.
 
U ryt Tiba kuishi kwingi kuona mengi lakini sio yote.Sijakataa usemayo na ndio maana nimekwambia wengine ni wazushi.....sijasema wote.Maamuzi ni yake sasa kuhama au laaah,maana point yake kubwa ya kero ni kama watakuja wageni.Ila yeye ameanza kwa kusifia mdada.....teh teh

huo ndo wajihi wake,nilitegemea angekuwa mstaarabu kidogo kulingana na jinsi alivyo
 
ahaahha,we unafikiri solution haioni mbona angeshahama siku nyingi. Huyu bila shaka anaenjoy maana inaonekana hajaoa..!!!!
Umeoona eh? kaanza kumsifia umbile lake,midadi yake,huyu anampango wa kumgonga tu!
 
Kazi ndogo sana, mrekodi hizo kelele zake hafu siku nyingine zipige kwenye redio huku akiwa anasikia, weka sauti ya mwisho kabisa mpaka mama mwenye nyumba asikie.

Angalizo: Hii usimuhusishe mkeo, fanya kimya kimya.

Dah jf bana hakuna linalokosekana kwakweli.
 
Sinple. Mrekodi afu mtumie kwe whtsup.
Mtishie unayo video, akipiga kelele tena, utaiweka kwenye utube.
 
Kazi ndogo sana, mrekodi hizo kelele zake hafu siku nyingine zipige kwenye redio huku akiwa anasikia, weka sauti ya mwisho kabisa mpaka mama mwenye nyumba asikie.

Angalizo: Hii usimuhusishe mkeo, fanya kimya kimya.
Akishamrekodi asikose kuweka hapa JF tuzisikie ili tumshauri vizuri
 
Back
Top Bottom