Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,006
- 142,612
We've got to somehow be on the same wavelengths....Huyo hata akae uchi mbele yangu mboli haitawika!
Halafu kwanza wa hivyo mtu kama mimi ntaongea naye kuhusu nini yaani?
Manake nikianza kuzungumzia mambo ya NASDAQ, FTSE, n.k., lazima tutashindwana tu.
Huyo hata akae uchi mbele yangu mboli haitawika!
Halafu kwanza wa hivyo mtu kama mimi ntaongea naye kuhusu nini yaani?
Manake nikianza kuzungumzia mambo ya NASDAQ, FTSE, n.k., lazima tutashindwana tu.
Mnacho sahau ni kuwa tunayafanya yote hayo ili tupate attention kutoka kwenu wakina kaka.Kuna some women wanashangaza
anaishi kwenye dunia yake halafu anatak umuone special....
Kwahiyo hamwezi kuongelea hata chakula cha leo?Huyo hata akae uchi mbele yangu mboli haitawika!
Halafu kwanza wa hivyo mtu kama mimi ntaongea naye kuhusu nini yaani?
Manake nikianza kuzungumzia mambo ya NASDAQ, FTSE, n.k., lazima tutashindwana tu.
Mnacho sahau ni kuwa tunayafanya yote hayo ili tupate attention kutoka kwenu wakina kaka.
Huko kwenye pombe si ndiyo wengi wanakopatikana?Assumptions kwamba kila mwanaume anataka mwanamke
mwenye nywele bandia
na mwenye kunywa mapombe
na kuweka makucha bandia ndio inayowadanganya....
Sio kila mwanaume anataka hayo
Attentions zinazotokana na kunywa pombe, sigara??? AuMnacho sahau ni kuwa tunayafanya yote hayo ili tupate attention kutoka kwenu wakina kaka.
Hehe hujakutana na binti ambaye hawezi kutoka bila wigi, labda umbadilishe kwa maombi. Sio rahisi hivyo kubadilisha personality / character ya mtu
Hahaha hata kama ipo ipo tuu ila ukumbuke maisha yanaanza baada ya ndoa.Kama ipo ipo tu hata uweje na kama hakuna basi but hivo vilivoandikwa hapo juu hata sio
Yes, inaweza kutokea kwamba hawezi kubadilika,but mtoa mada hakukatàaa mawigh ila Yale ya ajabu ajabu..... Ambayo naamini it's a matter of beauty. Unaweza kumuamulia aina ya wig....
Teh Teh nafaham kuna wengine "vichwa vya baba ubaya"....ukitaka ww3 mwambie aache wigi
Yaani imenifanya nimkumbuke mcharuko mmoja hivi, nikaishia kucheka tu, haya mambo bwana!!!Hamna wanawake walioolewa wanaovaa mawigi, vimini au kunywa pombe? Ndoa ingekuwa na formula mbona wote tungeshaolewa
Kuna vitu tunaweza tu kushauriana kuwa tusivifanye, labda kwa sababu sio vizuri. But sio usivifanye Kwa sababu tu unataka kuolewa, maana utashangaa huvifanyi na kuolewa huolewi. Binadamu tunatofautiana sana
Mkuu kumbe hujaolewa?hahahaHamna wanawake walioolewa wanaovaa mawigi, vimini au kunywa pombe? Ndoa ingekuwa na formula mbona wote tungeshaolewa
Kuna vitu tunaweza tu kushauriana kuwa tusivifanye, labda kwa sababu sio vizuri. But sio usivifanye Kwa sababu tu unataka kuolewa, maana utashangaa huvifanyi na kuolewa huolewi. Binadamu tunatofautiana sana
Hata kwenye chakula hatutaelewana tu...yeye labda atazungumzia makange ya Calabash wakati mi nazungumzia caviar, grilled pork belly, na skirt steaks za New York Prime au Morton's....[emoji385] [emoji385]Kwahiyo hamwezi kuongelea hata chakula cha leo?
He he he ndiyoooMkuu kumbe hujaolewa?hahaha
Teh teh teh teh,vp kama nae anapendelea hiyo mivituzHahaha hata kama ipo ipo tuu ila ukumbuke maisha yanaanza baada ya ndoa.
Ulevi na Hiyo misigara inaweza kukusababishia ukaona ndoa chungu
Wanaume hawana formulaYaani imenifanya nimkumbuke mcharuko mmoja hivi, nikaishia kucheka tu, haya mambo bwana!!!