Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

Mm napenda mwanamke awe huru, ila Uhuru usiopitiliza, mkweli, ajiamini,
Kuhusu mavazi mm sina tatizo avae anavyotaka, kuhusu matumizi ya vitu anayotumia sina shida ili mradi asizidishe, awe feki awe orijino mm sina tatizo ili mradi awe na mapenzi ya kweli kwangu........


Kuolewa ni maamuzi na matazamo wa mwanaume alivyovutiwa kutoka kwa mwanamke.

Mfano:
Mnasema mwanaume mnataka wanawake og na sio feki
Mbona kina Beyonce, kardashian, blac chyna ni feki ila bado wameolewa hamna natural hata chembe kuanzia nywele zao, vipodozi zao, ngozi zao,
Its depends na muoaji mtazamo wake.


Napita tu.......?????
 
Ndoa za ku-pretend ni nyingi sana! Ndo maana,hazichukui muda zinasambaratika...
 
Mleta mada umeoa/Umeolewa??
Sku iz kila mtu ni mshaur wa wanawake juu ya ndoa, Utaskia mambo ya kufanya ili usiachike, mambo ya kuzuia mume asichepuke,Mambo ya kufanya ili uolewe, Na hii umeleta, asa ni kweli wanawake ndo wako na shida kiivo kuolewa? Mungu ndo mpangaji wa wa hizi mambo hazina ujuzi kama ipo itawepo tu ye ndo Muamuzi
 
Mkuu nimezipenda point zako, nikipata wa hivi sichukui round naoa. Kuwa natural nako ni kujiamini pia. Ukijiona wewe ni fake fake ujue hujiamini kabisa.
 
Hapo sawa tushauriane tu kimaadili/ kiafya maybe kuwa vitu fulani havifai kufanywa whether umeolewa or not. Mtu kuvaa wigi sijui kushonea weaves ni uamuzi tu wa Mtu, haikufanyi usijitambue na wala usiolewe, unless ukutane na asiyependa hizo mambo. Me Mbona team natural na hata sijawahi kudanganyishiwa ka-proposal hata on April fools? Lols

Tatizo tunapenda kuforce watu waconform our "wife material standards" but no one should die trying to fit in a box, just because she wants to get married. Hamna wanaume wanaopenda wake zao washonee weaves? Na kuna wanaume wanakwambia kabisa me sitaki mwanamke "wife material" sana, wamezubaa sana mwee, anataka mcharuko fulani hivi amazing. So, live and let live. Afu be yourself basiii

Hehe hujakutana na binti ambaye hawezi kutoka bila wigi, labda umbadilishe kwa maombi. Sio rahisi hivyo kubadilisha personality / character ya mtu


Mwanaume mwenye hekima huangalia sifa za Msingi, Pia huepuka wanawake tajwa hapo kuwa Mke wa familia yake. Ikumbukwe kuwa Wanaume halisi hupungua kwa kadri siku ziendavyo halikadhalika wanawake halisi..

Hivyo mwanamke anayezungumziwa hapa ni Wife material.
 
" Upendo , ukarimu , kujali" hizi ni sifa kuu kwa binti anaetaka ndoa. vingine tutarekebishana.
 
Kuoa au kuolewa hakuna formula, huyo aweza kuwa your dream wife. Ajabu ni kuwa choices za watu zinatofautiana.
 
Back
Top Bottom