Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

nitakuganda kama ruba sababu nina proposal nyingi zitafuata


kwakweli nitakupamba upendeze zaidi ya waridi, Nitakuchombeza kwa yangu sauti unese kwa madoido kama tausi. Utakula lililofungu jema ijara ya mahaba yangu. Sitokuacha kamwe katika kiza bali mbalamwezi lang la huba litakuangazia. Utaniita mume nami nitaitika Naam Mke Wang.
 
Mwanamke kajichubua
anakunywa beer hadi bar maarufu anazijua
full makucha kucha mikono yoote

hana kazi lakini ana iphone 3...

story zake ni team wema tu na team kiba

kutwa kutafuna big g na earphone masikio yote

huyu huoi hata ulipwe
Na wanaweki wengi wanaojiremba wananuka mdomo au meno, ukimsogelea haaaaa kama dampo la mwembeyanga
 
Hiyo no.4 kwa upande wa boyfriend mi nilishaishindwa. Kuna maboy wengine wanafanya mazoea yaani hata usafi hahangaiki anajua tu siku flani utaenda na utamfanyia usafi. Mimi hiyo kitu siitakagi kabisaaa, ntafanya nikijisikia au kama nimelala kwake ila mambo ya kujipendekeza hapana kwakweli!
 
Mwanamke kajichubua
anakunywa beer hadi bar maarufu anazijua
full makucha kucha mikono yoote

hana kazi lakini ana iphone 3...

story zake ni team wema tu na team kiba

kutwa kutafuna big g na earphone masikio yote

huyu huoi hata ulipwe

hahaaaaa,mkuu nimecheka sana bro

hapa ndo napoipenda jf,
 
Mwanaume mwenye hekima huangalia sifa za Msingi, Pia huepuka wanawake tajwa hapo kuwa Mke wa familia yake. Ikumbukwe kuwa Wanaume halisi hupungua kwa kadri siku ziendavyo halikadhalika wanawake halisi..

Hivyo mwanamke anayezungumziwa hapa ni Wife material.
"Wife material" according to your standards eti eeh. Mbona nishaona mabinti kibao ambao majority ya wanaume walisema huyu haolewi, na wameolewa vizuri tu. Kila mtu ana choice yake
 
Mapenzi ni kama sumaku tu...

Unaweza nasa kwa mtu mwenye tabia kama hizo na mwisho wa siku akabadilika na kua na tabia chanya...
 
Back
Top Bottom