Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

Huyo hata akae uchi mbele yangu mboli haitawika!

Halafu kwanza wa hivyo mtu kama mimi ntaongea naye kuhusu nini yaani?

Manake nikianza kuzungumzia mambo ya NASDAQ, FTSE, n.k., lazima tutashindwana tu.
We've got to somehow be on the same wavelengths....

Other than that everything is a nonstarter.
 
Huyo hata akae uchi mbele yangu mboli haitawika!

Halafu kwanza wa hivyo mtu kama mimi ntaongea naye kuhusu nini yaani?

Manake nikianza kuzungumzia mambo ya NASDAQ, FTSE, n.k., lazima tutashindwana tu.

Kuna some women wanashangaza
anaishi kwenye dunia yake halafu anatak umuone special....
 
3656d3a3a34ce71c77f426ac7420d9b3.jpg
 
Huyo hata akae uchi mbele yangu mboli haitawika!

Halafu kwanza wa hivyo mtu kama mimi ntaongea naye kuhusu nini yaani?

Manake nikianza kuzungumzia mambo ya NASDAQ, FTSE, n.k., lazima tutashindwana tu.
Kwahiyo hamwezi kuongelea hata chakula cha leo?
 
Mnacho sahau ni kuwa tunayafanya yote hayo ili tupate attention kutoka kwenu wakina kaka.

Assumptions kwamba kila mwanaume anataka mwanamke
mwenye nywele bandia
na mwenye kunywa mapombe
na kuweka makucha bandia ndio inayowadanganya....

Sio kila mwanaume anataka hayo
 
Assumptions kwamba kila mwanaume anataka mwanamke
mwenye nywele bandia
na mwenye kunywa mapombe
na kuweka makucha bandia ndio inayowadanganya....

Sio kila mwanaume anataka hayo
Huko kwenye pombe si ndiyo wengi wanakopatikana?
 
true msemo,japo hata ukiwa natural wanaume ni mashetwan tu yatakuchafua na kuepa
 
Hehe hujakutana na binti ambaye hawezi kutoka bila wigi, labda umbadilishe kwa maombi. Sio rahisi hivyo kubadilisha personality / character ya mtu

Yes, inaweza kutokea kwamba hawezi kubadilika,but mtoa mada hakukatàaa mawigh ila Yale ya ajabu ajabu..... Ambayo naamini it's a matter of beauty. Unaweza kumuamulia aina ya wig....

Teh Teh nafaham kuna wengine "vichwa vya baba ubaya"....ukitaka ww3 mwambie aache wigi
 
Kama ipo ipo tu hata uweje na kama hakuna basi but hivo vilivoandikwa hapo juu hata sio
Hahaha hata kama ipo ipo tuu ila ukumbuke maisha yanaanza baada ya ndoa.

Ulevi na Hiyo misigara inaweza kukusababishia ukaona ndoa chungu
 
Yes, inaweza kutokea kwamba hawezi kubadilika,but mtoa mada hakukatàaa mawigh ila Yale ya ajabu ajabu..... Ambayo naamini it's a matter of beauty. Unaweza kumuamulia aina ya wig....

Teh Teh nafaham kuna wengine "vichwa vya baba ubaya"....ukitaka ww3 mwambie aache wigi

hehe haya jikutage tu ni agent of changes

nope kuna watu wana nywele nzuri tu, na vichwa vizuri tu, ila bila weaves hayupo comfortable kabisaa
 
Hamna wanawake walioolewa wanaovaa mawigi, vimini au kunywa pombe? Ndoa ingekuwa na formula mbona wote tungeshaolewa

Kuna vitu tunaweza tu kushauriana kuwa tusivifanye, labda kwa sababu sio vizuri. But sio usivifanye Kwa sababu tu unataka kuolewa, maana utashangaa huvifanyi na kuolewa huolewi. Binadamu tunatofautiana sana
Yaani imenifanya nimkumbuke mcharuko mmoja hivi, nikaishia kucheka tu, haya mambo bwana!!!
 
Namba nne kuonge saaaana ni wanawake wenye matatizo ya kisaikolojia hasa yanayosababishwa na maumivu ya mapenzi wakitulizwa unashangaa haongei tena.
 
Hamna wanawake walioolewa wanaovaa mawigi, vimini au kunywa pombe? Ndoa ingekuwa na formula mbona wote tungeshaolewa

Kuna vitu tunaweza tu kushauriana kuwa tusivifanye, labda kwa sababu sio vizuri. But sio usivifanye Kwa sababu tu unataka kuolewa, maana utashangaa huvifanyi na kuolewa huolewi. Binadamu tunatofautiana sana
Mkuu kumbe hujaolewa?hahaha
 
Kwahiyo hamwezi kuongelea hata chakula cha leo?
Hata kwenye chakula hatutaelewana tu...yeye labda atazungumzia makange ya Calabash wakati mi nazungumzia caviar, grilled pork belly, na skirt steaks za New York Prime au Morton's....

I don't see us meshing....
 
Back
Top Bottom