Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

mareeTZ

Senior Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
171
Reaction score
179
Habari wana MMU,

Nimeona nishee hiki kitu humu,

Wanawake wengi wamekuwa na uwelewa mdogo kuhusu nini mwanaume huangalia wanapotaka mke na sio demu tu wa kutumia tu na kuacha.

Kama mwanamke anataka ndoa afuate haya Mara moja.

1. Make Up -Wachana na mawigi ya ajabu ajabu yasioeleweka yaani unakuta mwanamke kavaa nywele za bluu na njano, nyusi anachora hadi zinakutana , haujulikani we rangi gani yani vurugu tupu. Kama unataka mwanaume aje atoe posa kwenu basi achana navyo. Kuwa real suka vizuri, chana kawaida au nyoa, huoni kina flaviana matata wanavyoshine ati.

2. Mavazi - iko hivi wanaume tunapotaka mwanamke wa kuvutia muda tu mavazi ya ajabu huwa hatujali hata kama ukivaa kimini kinachoishia mapajani tena tunapenda, lakini ikija suala la kuweka ndani anatafutwa anayejisitiri anayejua kuvaa kiheshima

3. Mwanaume akigundua unafanya vitu hivi sahau ndoa atakukimbia ( unaenda club, unavuta sigara, unatumia pombe hovyo, mchoyo, unaongea saanaaaaa,) wacha vyote

4. Usafi - usafi ndo kila kitu kwa mwanamke kuanzia mwili wake hadi mazingira yanayomzunguka. Kuwa msafi saa zote, yani mwanamke anaalikwa kwa boyfriend wake anakuta vyombo vichafu, nyumba chafu lakini kitu cha kwanza anafanya atajirusha sofani atashika rimoti n.k.

5. Kuwa real acha kufeki maisha. Yani unakuta msichana anaongelea puani, kiswahili chenyewe kama kiingereza haueleweki, hivi unapelekwa dinner na mpenzi wako unanunuliwa msosi eti unakula nusu, soda nusu eti umeshiba! Tunawaonaga mnafki tu kiaina hebu jaribuni kuwa real huwezi oa mwanamke ambaye hujui yukoje yaani maigizo tupu.

Kwa Leo niishie hapa nitaendelea siku nyingine.
 
Hamna wanawake walioolewa wanaovaa mawigi, vimini au kunywa pombe? Ndoa ingekuwa na formula mbona wote tungeshaolewa

Kuna vitu tunaweza tu kushauriana kuwa tusivifanye, labda kwa sababu sio vizuri. But sio usivifanye Kwa sababu tu unataka kuolewa, maana utashangaa huvifanyi na kuolewa huolewi. Binadamu tunatofautiana sana
 
Sio kwamba hasara za kuwa na Tabia za ajabu ajabu ni kutokuolewa... Hasara nyingine zipo

Vile vile kuna wengine hawana hata Tabia moja iliyotajwa hapo ila hawajabahtika kuolewa.
.....
Ni vema kuacha hizo Tabia hususani pombe hususani sigara...

Vimini wavae tuu kulingana na context husika.

Hilo la mawigi linarekebishika...jepes
 
Kuna kaka mmoja aliniambia kama ndoa ingekuwa kotama kila mtu angekuwa ameolewa, kuolewa ni bahati bwana.
 
Acha na mke wa kuoa hata mchepuko siwezi chukua ulio jifekisha yaani unashika nywele feki, Makalio feki yani fulu vurugu, unakuta hadi mlio wakati wa fyek fyek feki aaaaaah jamani.
 
Nilivyoelewa ni kuwa wadada waache tabia 1,2,3...ili wapate wanaume wa kuwaoa..

Do you mean kuwa wa “pretend" to be good ladies ili wapate ndoa?..

And then?

Kumbuka kuwa tabia ya mtu ni kama ngozi, wengi wame pretend wameolewa, mwisho wameonyesha rangi zao halisi ndoa zimekuwa mashaka matupu.
 
Hawa walioolewa wanaofanya hivyo itakuwa waliokota dodo chini ya mnazi nini!!!
We sema hizo ni sifa za mwanamke umtakae, japo kuna vingine vinamashiko.

Anyway aksante kwa ushauri.
 
Mwanamke kajichubua
anakunywa beer hadi bar maarufu anazijua
full makucha kucha mikono yoote

hana kazi lakini ana iphone 3...

story zake ni team wema tu na team kiba

kutwa kutafuna big g na earphone masikio yote

huyu huoi hata ulipwe
 
Hapo sawa tushauriane tu kimaadili/ kiafya maybe kuwa vitu fulani havifai kufanywa whether umeolewa or not. Mtu kuvaa wigi sijui kushonea weaves ni uamuzi tu wa Mtu, haikufanyi usijitambue na wala usiolewe, unless ukutane na asiyependa hizo mambo.

Tatizo tunapenda kuforce watu waconform our "wife material standards" but no one should die trying to fit in a box, just because she wants to get married. Hamna wanaume wanaopenda wake zao washonee weaves? Na kuna wanaume wanakwambia kabisa me sitaki mwanamke "wife material" sana, wamezubaa sana mwee, anataka mcharuko fulani hivi amazing. So, live and let live. Afu be yourself basiii

Hehe hujakutana na binti ambaye hawezi kutoka bila wigi, labda umbadilishe kwa maombi. Sio rahisi hivyo kubadilisha personality / character ya mtu
Sio kwamba hasara za kuwa na Tabia za ajabu ajabu ni kutokuolewa... Hasara nyingine zipo

Vile vile kuna wengine hawana hata Tabia moja iliyotajwa hapo ila hawajabahtika kuolewa.
.....
Ni vema kuacha hizo Tabia hususani pombe hususani sigara...

Vimini wavae tuu kulingana na context husika.

Hilo la mawigi linarekebishika...jepes
 
Mwanamke kajichubua
anakunywa beer hadi bar maarufu anazijua
full makucha kucha mikono yoote

hana kazi lakini ana iphone 3...

story zake ni team wema tu na team kiba

kutwa kutafuna big g na earphone masikio yote

huyu huoi hata ulipwe
Ndiyo mzuri huyo mkuu, ukirudi kutoka mihangaikoni anasubiri umuongezee salio kwenye simu.
 
Nilivyoelewa ni kuwa wadada waache tabia 1,2,3...ili wapate wanaume wa kuwaoa..

Do you mean kuwa wa “pretend" to be good ladies ili wapate ndoa?..

And then?

Kumbuka kuwa tabia ya mtu ni kama ngozi, wengi wame pretend wameolewa, mwisho wameonyesha rangi zao halisi ndoa zimekuwa mashaka matupu.
Thank you sis
 
Nikiangalia wanawake walioolewa wanaonizunguka 9/10 wwanajiremba ikiwemo mawigi. Hao natural sijui wakutafuta kwa tochi.
Mugabe alisema "wanawake wa kiafrika sasa hivi hawalogeki, ukiiba nywele na kucha uvipeleke kwa mganga, kombora linampata mwanamke wa watu Brazil".
 
Mwanamke kajichubua
anakunywa beer hadi bar maarufu anazijua
full makucha kucha mikono yoote

hana kazi lakini ana iphone 3...

story zake ni team wema tu na team kiba

kutwa kutafuna big g na earphone masikio yote

huyu huoi hata ulipwe
Huyo hata akae uchi mbele yangu mboli haitawika!

Halafu kwanza wa hivyo mtu kama mimi ntaongea naye kuhusu nini yaani?

Manake nikianza kuzungumzia mambo ya NASDAQ, FTSE, n.k., lazima tutashindwana tu.
 
Back
Top Bottom