Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
HahahahaItabidi nimuombe anionjeshe
HahahahaItabidi nimuombe anionjeshe
Wanavipenda wewe haujui tuUnatiharibia dada zetu
Jaribu mara mbili 3 ni very comfyDuh tampon imenishinda. Nakuwa sijiamini
WalikwambiaWanavipenda wewe haujui tu
Huko chini kunafanyiwaga steaming...mnafanyaje fanyaje.Mwanamke unakuwaje na kiharufu
Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu
Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru
Shingo hiyo isugue vizuri isiwe nyeusi kama ya mbuzi
Shuka kwenye manyonyo hayo sugua chini ya ziwa kuna tabia ya kutengeneza weusi, sugua vizuri katikati ya ziwa hapo pasiwe peusi
Sugua mgongo huo,shuka hadi mstari wa ikweta huo jasho la huko linatoa harufu si mchezo,sugua na unyoe hivyo vidaka ushuzi
Sugua wowowo hilo fanyia scrub hivyo vipele vinaisha, hakikisha linakuwa soft jamani sio gumu kama tairi 🤣
Ukimaliza lipake body oil lilainikeee
Sugua kwapa,nyoa hizo nywele za kwapa ndo maana kiharufu hakiishi,tumia limao kutoa harufu ya kwapa kama deodorant ya afu tatu imekushinda
Huko kwa bibi nyoa, safisha mashavu ya bibi nje na ndani, ukitoka period fanya steaming kutoa hiko kiharufu cha period.
Ukiweza kufanya waxing fresh!ukiweza kunyoa kwa shaving cream sawa,mradi tu usiwe na manywele huko
Sugua ulimi huo usinuke mdomo ni kero sana,meno yawe safi tumia mouth wash msichana unanukaje mdomo
Kucha zako hakikisha ni safi kama unafuga hakikisha ni safi kama ni fupi hewalaaaa, kama rangi paka ijulikane
Acha kutumia mkorogo
Acha kubadilisha wanaume nayo ni uchafu
Kunywa sana mtindi
Kula matunda
Acha kunywa energy drinks sio nzuri kiafya
Ukiweza nunua sunscreen jua sio zuri kwa ngozi
Hakikisha unanukia vizuri
Hakikisha una chupi nzuri
Mengine ongezeeeni...I come in peace ✌️View attachment 3287037
Hiyo hatari sana mkuuBora jasho kuliko kisamaki
Hapana hivi unakojoa au upo period u ashindwa kubadir kweli unatoa tu ped chupi unaendelea nayo
Oyeeeee.Nadhani leo ni ugali day, na mie nimetoka kuufinya hapa nikimaliza niende zangu waxing....kipara hoyeee
Sawa nitakuja nayoNjoo nayo basi huku kinole basi maana mahindi yangu yanataka kufa
Upo Rafiki, za Siku nyingiJaribu mara mbili 3 ni very comfy
Ila jitahidin msivae chupi moja kwa sikuNilidhani unaongelea kifuniko cha asali pekee na sio pedi.
Ila jitahidin msivae chupi moja kwa siku
Huyu anasafisha vizuri mpaka anainsipaya.Upo Rafiki, za Siku nyingi
Hahahaha, umeona eehHuyu anasafisha vizuri mpaka anainsipaya.
Thanks for the invitation but No!Nakwambia ukijaribu siku moja, utaona utamu wake.
Search "two girl one cup" chrome utajionea, Huo ndio uchafu Madame B anaozungumzia.Hii one cup ndo ipi nahisi nmepitwa hili darasa
Nikajikuta hisia za kunyonyanyonya na kulambalamba zinanivamia nkatupa kule.CHUPI HAICHAFUKI MKUU.Hahahaha, umeona eeh
Ukitaka kulala piaUnaoga asubuhi unavaa safi unaenda kazini,ukitoka unaoga unavaa nyingine 2×2 sio 3×1 hapo ni mateso labda kwa wale wagonjwa wa harufu kali
HahahahaNikajikuta hisia za kunyonyanyonya na kulambalamba zinanivamia nkatupa kule.CHUPI HAICHAFUKI MKUU.