bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,578
- 3,470
Wengi
Wengine sio mpaka uvue akikupitia tu unajua hii shot ya umeme 🤣🤣Kuna wenzako huko wanapata shuruba kila iitwayo leo.
Pole,yaonekana una mmoja mwaminifu.
Kuna wanawake wamehifadhi vingi miilini mwao, nguo ikivuka ghafla unaweza zimia😛