Mdada unaogaje?!

Mdada unaogaje?!

Tuwaoe vipi ni wadada wa kazi tunawaongezea kazi zingine za kukazia viuno.Kazi juu ya kazi
Naye si binadamu???
kwani hawana sifa za kuolewa???
eti kazi juu ya kazišŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜…
Kama ni kazi muwalipe sasašŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜ndio sehemu yenu yakupunguzia upwiru bure
 
Niseme tu asantee Sana Sana unakuta mwanamke ana manyoya kwapani duh too sad

Mimi demu ni kudate chakwana naangalia kwapa Kama linatoa harufu au akinyoa linakuwa jeusi najua hakunawanamke hapo!!
Ukimkuta hivyo mpe hela ya waxi usimuache
 
Naye si binadamu???
kwani hawana sifa za kuolewa???
eti kazi juu ya kazišŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜…
Kama ni kazi muwalipe sasašŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜ndio sehemu yenu yakupunguzia upwiru bure
Lakini na wao so wanaipata utamu?au HUJUI uroda ni haki ya kibinaadamu na ukamilifu wa kiutu.
 
Mwanamke unakuwaje na kiharufu
Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu
Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru

Shingo hiyo isugue vizuri isiwe nyeusi kama ya mbuzi
Shuka kwenye manyonyo hayo sugua chini ya ziwa kuna tabia ya kutengeneza weusi, sugua vizuri katikati ya ziwa hapo pasiwe peusi

Sugua mgongo huo,shuka hadi mstari wa ikweta huo jasho la huko linatoa harufu si mchezo,sugua na unyoe hivyo vidaka ushuzi

Sugua wowowo hilo fanyia scrub hivyo vipele vinaisha, hakikisha linakuwa soft jamani sio gumu kama tairi 🤣
Ukimaliza lipake body oil lilainikeee

Sugua kwapa,nyoa hizo nywele za kwapa ndo maana kiharufu hakiishi,tumia limao kutoa harufu ya kwapa kama deodorant ya afu tatu imekushinda

Huko kwa bibi nyoa, safisha mashavu ya bibi nje na ndani, ukitoka period fanya steaming kutoa hiko kiharufu cha period.
Ukiweza kufanya waxing fresh!ukiweza kunyoa kwa shaving cream sawa,mradi tu usiwe na manywele huko

Sugua ulimi huo usinuke mdomo ni kero sana,meno yawe safi tumia mouth wash msichana unanukaje mdomo

Kucha zako hakikisha ni safi kama unafuga hakikisha ni safi kama ni fupi hewalaaaa, kama rangi paka ijulikane

Acha kutumia mkorogo
Acha kubadilisha wanaume nayo ni uchafu
Kunywa sana mtindi
Kula matunda
Acha kunywa energy drinks sio nzuri kiafya
Ukiweza nunua sunscreen jua sio zuri kwa ngozi
Hakikisha unanukia vizuri
Hakikisha una chupi nzuri

Mengine ongezeeeni...I come in peace āœŒļøView attachment 3287037
Nenda kwa mangi wakupe soda kubwaa takeaway ntalipa. Unajua nini, hakuna kitu kinatukata steam kama harufu. Wengine "k" zinatema kama dagaa waliooza
 
Back
Top Bottom