nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
kAFUKUZWA KAZI HUYO kingkong na mashtaka kafunguliwa ndo mpya. follow TEAMukwelinauwazi insta huko ndo kuna mkanda kamili wa muendeezo.Kanaitwa Elisa kumbe. AFU MUME KAMCHUKUA KIMADA KAENDA KUMNUNULIA LACE WIG, MPO HAPO WAKE ZA WATU? Hahahaaaaaaaaaaaaa! NICHEKE NINENEPE MIE! Waambiwa kasema amuogopa huyo Kingkong kama Ebolaaaa! KIMADA KASHIKA HATAMU SAHIVI BIBIE ANANGOJA KARANDINGA TU! Simba mkali na vyake vinaliwa vile vile itakuwa bi Elisa! MAMBO KAMILI UKWELI NA UWAZI. Kama huna Insta UTAJI JJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJ!
Which is which...kimada mke wa mtu huyo ndio mume kajimilikisha? au mnaleta story za 'feel good'