Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA! AIBU YA MKE ASIETAKIWA NA MUME! Hovyoooooooooo! bwana hakutaki hakutaki tu hata uwanyoe watu mpaka mazivu! KIMADA SAIVI BW ANAE NDANI AIBU YA NINI TENA? TENA KAMSAIDIA KUCHUKUA MIKOBA! Kujishauaaaaaaaaaaaaaaaaa! kume bwana anamfanyia hisani hana mapenzi hata kiduchuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Puuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Ama kwelim mwanaume ndugu wa kine.na tu, akipata kitamu zaidi imekula kwako! HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAA! HALOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! (Nitachomwa mie siku ya mwisho!)

Eish...!! Aibu naona mimi hakyamama
 
Afu TAMWA wananifurahisha na I doubt kama wana wanaume...wanatafuta kick kwa vikesi uchwara badala ya ku dela na mambo muhimu ya structure ya nchi hii...
 
Afu TAMWA wananifurahisha na I doubt kama wana wanaume...wanatafuta kick kwa vikesi uchwara badala ya ku dela na mambo muhimu ya structure ya nchi hii...

Hii nchi ndo ilivyoo,,,kwa kujal mambo madogo madogo,,
 
Mnnnhhhhh...attitude yako inanifurahisha sana....

HAHAHAAAAAAAAAAA! USALITI TUNAISHI NAO KWENYE JAMIII MIAKA NENDA RUDI, AND NO BODY, AND BY NO BODY I MEAN NO BODY SAYS SHIT ABT ANYTHING. LIKE I SAID NOTHING HAPPENS IN THE END! Inakuwa just another day, some win, some loose.

Kwenye familia hizi wazazi wanaleta watoto wa nje, NO BODY SAID SHIT, mnawatenga tenga kidogo baadae mnasahau wanakuwa wanafamilia maisha yanaendelea, unakuwa mkubwa unaona uncles, aunties wana divorce, wanakuwa maadui, wanashikana uchawi, wanaleta vi bastards, NO BODY SAYS SHIT ABT ANYTHING, Na nyie mnakua unaona wenzio wana michepuko, unawatunzia siri, you look your wifis and shemejs in the eye na kujiapiza dada au kaka yako hana mchepuko baada ya hapo unakatikwa laki yako moja for good acting maisha yanaendelea. NO BODY NOT EVEN ME SAYS SHIT ABT ANYTHING. In the longrun na mie nina michepuko yangu, i swear a couple of times i am faithful by my ancestors, gods, anything that can make me believed kwenye sitation tata, AND I GET AWAY WITH IT, NOT ONCE, NOT TWICE. like i said NOTHING HAPPENS IN THE END. NO BODY SAYS SHIT ABOUT ANYTHING AS USUAL.

Then it got me to thinking ARE ALL THOSE PEOPLE WHO NEVER SAID SHIT ABT SHIT DUMB? AFRAID? DONT CARE? TOO DISAPPOINTED? I still dont know yet for sure. BUT WHAT I KNOW FOR SURE NOTHING IS GOING TO CHANGE ANYTIME SOON. The sooner you accept the truth the sooner it will set you free.

SO NYIE WAPINGA CHEATING WA JF YOU CAN SPARE ME THE SENTIMENTS AND DRAMA, KELELE NYINGI ONLINE WHAT DID YOU DO WHEN YOUR DAD BROUGHT HOME BASTARDS? Nothing! Okay you were young then, i can understand that, NOW YOU ARE OLD ENOUGH UMEMALIZA TOPAZ ZA KUTOSHA WHAT DO YOU DO TO STOP CHEATING IN YOUR OFFICE, HOME, CHURCH, ALL ARROUND YOU? Mmmmmmmmh! just SHUTTING YOUR FILTHY MOUTH AS USUAL! Ofcourse its non of your damn business. SO SPARE ME YOUR SENTIMENTS.
 
Hivi wanaume wametufanya mazuzu kiasi hicho?!,,,tumekuwa,wanyama tunachinja km kule syria?!..?au kwa vile wanaume wachache?1....sishangai lakini,kufeel UNWANTED for years can have psychological impact,makes you mad....ila sijui kwa nini wanawake tunang'ang'aniaga ndoa MFU,,,??au ndio kukosa kujiamini?????nalaani michepuko inayovunja ndoa za watu,ila pia hili tatizo la kumnyoa mtu nalilaani....
 
Afu TAMWA wananifurahisha na I doubt kama wana wanaume...wanatafuta kick kwa vikesi uchwara badala ya ku dela na mambo muhimu ya structure ya nchi hii...

Hahahaaaaaaaaaa! WE LIVE IN A COUNTRY OF LAWS, GOVERNED BY OLD SOON TO SWITCH TO NEW CONSTITUTION PEOPLE CANNOT UNDER ANY EXCUSE BREAK THE LAWS PUBLICLY AND GET AWAY WITH IT. NEVEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEERRRRRRRRRRR! LONG LIVE TAMWAAAAAAAAAAAAAAA!

Afu kama dada kaenda ku seek LEGAL REPRESENTATION KWANINI WAMNYIME? Ana qualify criteria zao za kusaidia wanawake walio nyanyaswa kijinsia. AFTER ALL HIO CHEATING HAKUTWA ON THE CRIME SCENE. Wasipo mrepresent wataandikwa magazetini na kwenye social media na kuombwa resignation ya mwenyekiti wao, sijui bado ni Ananilea mara moja. Wanakula hela za bure tu. Alaaaaaaaaaaaaa!
 
Eish...!! Aibu naona mimi hakyamama

na utaona aibu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwaka huu mpaka makalio yatakubaki wazi mwaaaaaaa kwa jinsi hio aibu itavokukolea! Nyoooooooooooooooo! Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif
 
Eish...!! Aibu naona mimi hakyamama

hapa mpaka kuchangia naona aibu napita tu duuh
kufumaniwa noma kwa wanawake shida kwa wanaume ndio kabisa

mwenye video anitumie kwenye namba yangu 112 faster
 
hapa mpaka kuchangia naona aibu napita tu duuh
kufumaniwa noma kwa wanawake shida kwa wanaume ndio kabisa

mwenye video anitumie kwenye namba yangu 112 faster

Eeeh....yan we nawe ndo unanifanya nizidi kuona aibu...ngoja nilale labda itapotelea usingizini
 
na utaona aibu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwaka huu mpaka makalio yatakubaki wazi mwaaaaaaa kwa jinsi hio aibu itavokukolea! Nyoooooooooooooooo! Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif
ass-kicking.gif

hii aiseee
aibu naona mimi
 
Hahahaa dooh....ngoja nitafute pa kuifichia maana unanifanya nizidi kuona aibu
 
Huyu dada alonyolewa ndio anajipanga kulipiza kisasi si ajabu hata aendelee kula raha na mchepuko liwalo na liwe usaliti hujaanza juzi wala jana kwaio kumnyoa mtu nywele sio kumuweka ukilema coz zitaota tu...
.
hiko kitendo cha kukalia chupa kazi simple kwa alokubuhu kwani sio adhabu ya kifo ajue amemkomesha ...... by the way huyo mwanamke sio mjanja wala nini na asitake kupata umaarufu kupitia tukio alilofanya namuona boya tu
 
Hahahaa dooh....ngoja nitafute pa kuifichia maana unanifanya nizidi kuona aibu

Ndo nakwambiaje ONA AIBU MPAKA MAKALIO YAKUBAKIE WAZI, YAKISHAKUBAKIA WAZI NIAMBIE NITAKWAMBIA KIFATACHO ITV! On the mean time we ona tu aibu, ukiona kuko WAAAAAAAAAAAA nistue.
scary-smiley-screaming-emoticon.gif
scary-smiley-screaming-emoticon.gif

Naona unanizoea zoea KOMAAAAAAAAAAAAAA UKOMAEEEEEEEEE! Huko huko kwa mibwe.ge inayokuchekea. HAPA UMEFIKA PENTAGON.
 
Makubwa......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom