Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Nadhani wewe ndo unaishi kizamani my dear, dunia ya sasa haipo hivyo unavyowaza. Mawazo yako ni kama ya bibi zetu wa mwaka 1922. Naamini hata binti yangu wa kizazi cha sasa hana mawazo kama ya kwako.
Baada ya miaka 10 hutaongea hiki unachoongea sasa hivi.

Kila la kheri kwenye kuwaganda hawa viumbe...nipo nimekaa paleeeee 👉👉
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji419]
 
Sijui kama nitakuwa nimekuelewa vizuri lkn nadhani unaongelea kwamba ukipata mwanaume anayeeleweka umgande,right;, lakini nafikiri ungetumia neno"Muombee asibadilike" My dia kumganda mtu sio sababu ya yeye kuacha,lahasha,kama Hana mapenzi na ww hata umgande vipi ataondoka tu.


Tuna mifano halisi ya watu tuliowaganda pamoja na kuwa na madhaifu yao tuliyafukia tukawa tunaangalia mema tu,yani hata akosee vipi unaendelea kumpenda na kumganda tu,lkn mwisho wa siku anakutaftia sababu ambayo,wewe mwenyewe utanyoosha mikono useme yes,nimesarender.


Tusichokijua ni kwamba Hawa ndugu zetu wanaume,baadhi yao wakiona wanapendewa na kugandwa sana wanakudharau,sio wote lkn there are some men are very humbled,yani ukimpenda anajua kurudisha shukrani,ila mwingine ukimganda ndo umeula wa Chuya.

So jambo la msingi hapa ni kwamba endapo utapata mwanaume anayeeleweka,na mwenye mapungufu ambayo it can be solved,Muombee asibadilike,lkn kumganda mtu haisound na inategemea kuwa huyo mtu ana mapenzi kwako kiasi gani,kama anakupenda hata usipomganda ataendelea kukupenda tu,nakama hakupendi hata umgande vipi,ataondoka tu,I'm done
 
Hajakuwa huyu!anaongea vitu visivyo na uhalisia
 
Dear sister, endelea kuwaganda wasiokupenda,waliokuchoka,wasiokuheshimu,wasiojali hisia zako siku ukiuwawa UKACHOMWA NA MAGUNIA MATATU ndio utaelewa maana ya neno UKIACHWA ACHIKA.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pambaneni wenyewe mie sio mdada.
Na kisheria mwanaume ndo anatakiwa akugande, akutake wewe uwe mke wake sasa naona nyie mnataka kuvunja hiyo sheria. Mimi simo
Well said Demi,
No wonder ndoa nyingi za siku hizi ni migogoro mitupu hayo mambo ya kumganda mtu hata hakupendi unaolewa nae hisia na moyo wake kaacha kwingine,kifuatacho hapo ni dharau,vipigo,kudhalilishwa na kila aina ya tafran.
 
Hu

Huyu njaa inamsumbua....angekuwa na uhakika wa kula usingeona meseji zake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unaona hiki ndo nilikuwa nakisema,ona huyo mwanamke anavyojichiresha kwa jamaa ambaye hamtaki ila kwa vile amemganda anaona isiwe kesi,ngoja awepo tu,anamlia timing siku ikifika anamtupa kule,ladies be careful
 
Unaona hiki ndo nilikuwa nakisema,ona huyo mwanamke anavyojichiresha kwa jamaa ambaye hamtaki ila kwa vile amemganda anaona isiwe kesi,ngoja awepo tu,anamlia timing siku ikifika anamtupa kule,ladies be careful
Tatizo ladies wanajazana ujinga....I wish mabinti wadogo wasifuate huu ushauri kabisa....mwanamke anatakiwa ajithamini mwenyewe na hao wanaume watamthamini
 
Bora uwaambie maana Wengine visirani kweli kweli 🤔
 
Naomba niseme neno hapa,hivi unafikiri kumganda mwanaume inamfanya akupende?? Mimi ninachojua Hawa wenzetu wanahitaji kuheshimiwa kusikilizwa na utiifu,ukiyafanya hayo umewin kabisa,wengine ukiwaganda wanakuona kama kero maana unawanyima uhuru.

Sasa basi ukitaka kuiishi ndoa yako vizuri waheshimi,wasikilize na uwatii,lkn la msingi na muhimu zaidi kama umepata wa kueleweka MUOMBEE,Wala sio kumganda kwa sababu unaweza fanya hivyo na ukaishia kwenye maumivu au hata kutolewa uhai wako kwa kumganda mtu asiyekuwa hata na hisia na ww,eti kisa tu ana uwezo wa kukulisha kukuvisha umgande,hapana,tuangalie pia na furaha za mioyo yetu,kama anakupa furaha mgande ila usimgande kwa sababu ana Mali au ana uwezo mkubwa wa kukuhudumia.


Be in your mind kwamba upendo ndio nguzo kuu katika mahusiano hivyo Ganda palipo na upendo ila sio utajiri.
 
Upwwe maua yako. Men wll always dominate so tulizeni mbususu hizo.
 
Sister Joannah hivi wewe mbona tunakubembeleza sana kwann lakini?!

Hizi pesa zikitupita wallahi sikusamehiii [emoji1787][emoji1787]
Hana kitu huyo! we hujui tu mwaka wa 22 hana nauli ya kurudi bongo,we endelea kudanganyika🤣🤣🤣🤣🤣we Bora umgande shemeji yangu Countrywide atakupeleka hata Ngorongoro ukaone tembo huyo Kiranga ana miliki maneno tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…