Mdada amwaga chozi kwa ajili yangu

Mdada amwaga chozi kwa ajili yangu

Hakuna raha kama kuwa na mwanamke anayekupenda kwa dhati. Inaweza kuwa nafasi nzuri kwako kama hujaoa. Yule ambaye wewe unampenda anawezakuwa anampenda mwingine. Huyo binti labda kuna watu anawatolea nje kwa ajili yako. Mwanamke akikupenda hamna gharama za ajabuajabu. La msingi na wewe uwe na upendo naye!!

Upendo gani tena hapo wakati ashatolea mwingine mahari?
 
rudi geto saizi atakuwa ameondoka.
Kama ukimkuta gegeda atakuwa anasumbuliwa na nyege tu,si unajua ule ni ugonjwa.
MANA YULE NI MTU MZIMA NA KAMA USHAMWELEZA KUWA HATA MAHALI USHAPELEKA tayari anajua hauwezi tena kuwa nae.
KWA HIYO UKIMKUTA HALALI YAKO,hizo ndo neema na mafao ya ualimu mana ukisubiri ustaafu mafao yenyewe hayatoshi.
KUMBUKA NA KUBEBA DUME K.

Kwanini usimwonye amwogope Mungu na asivunje amri aliyoikataza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom