Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
Ni PM namba yako ya Tigo pesa au M pesa then mambo yakiwa mazuri, usikonde.
hahahaaa ntaku PM
Ni PM namba yako ya Tigo pesa au M pesa then mambo yakiwa mazuri, usikonde.
Wana wa JF, nimetatazika wandugu. Nina jirani yangu yeye mwalimu jinsia yake ya kike. Amejaribu sana kuwa karibu na mimi, nami niligundua dalili zote lakini nilikuwa nampotezea.
Sasa leo ndio leo mahasibu yamenipata. Mwalimu kaingia kwangu mchana wa leo tukawa tunapiga stori za hapa na pale. Punde akanieleza kuwa moyo wake umenichagua mimi ananipenda sana, ameniomba tuwe wapenzi. Akaendelea zaidi kuniambia kwamba nisinifikirie kama yeye ni malaya au nini kwa kunitamkia ukweli wa moyo wake. kwani wanawake huwa ni vigumu kusema ukweli wa ndani ya moyo wake, ameniambia amejitaidi sana kunionyesha japo nigundue hisia zake lakini mimi sijagundua. Ameshidwa na uvumilivu
Mwalimu kisha akaniuliza nina mpenzi. Nami nikamwambia ukweli nina mchumba ambaye tayari nimeshamtolea mahari nyumbani kwetu Kurio Kwamtoro Kondoa.
Lahaulaa!! Mwalimu akaanza kulia, nikachanganyikiwa. Nimejaribu kumsihi na kumbembeleza wapi.
Imenibidi nimuache kwangu, nimemwambia akijisikia vizuri aende kwake. Sasa hivi nipo Bar natafakari, nikaona siyo vibaya kuwashirikisha wana MMU.
je huyu mwalimu nimfanyaje?
ulitakiwa kusema una mchumba wakati wa kusubiri raundi ya pili lol
waulize wahaya....
huja kugundua kuwa watu ni ndugu asubuhi kumekucha lol
Angekuwa mzuri ungekuja kuuliza hapa..???
Wana wa JF, nimetatazika wandugu. Nina jirani yangu yeye mwalimu jinsia yake ya kike. Amejaribu sana kuwa karibu na mimi, nami niligundua dalili zote lakini nilikuwa nampotezea.
Sasa leo ndio leo mahasibu yamenipata. Mwalimu kaingia kwangu mchana wa leo tukawa tunapiga stori za hapa na pale. Punde akanieleza kuwa moyo wake umenichagua mimi ananipenda sana, ameniomba tuwe wapenzi. Akaendelea zaidi kuniambia kwamba nisinifikirie kama yeye ni malaya au nini kwa kunitamkia ukweli wa moyo wake. kwani wanawake huwa ni vigumu kusema ukweli wa ndani ya moyo wake, ameniambia amejitaidi sana kunionyesha japo nigundue hisia zake lakini mimi sijagundua. Ameshidwa na uvumilivu
Mwalimu kisha akaniuliza nina mpenzi. Nami nikamwambia ukweli nina mchumba ambaye tayari nimeshamtolea mahari nyumbani kwetu Kurio Kwamtoro Kondoa.
Lahaulaa!! Mwalimu akaanza kulia, nikachanganyikiwa. Nimejaribu kumsihi na kumbembeleza wapi.
Imenibidi nimuache kwangu, nimemwambia akijisikia vizuri aende kwake. Sasa hivi nipo Bar natafakari, nikaona siyo vibaya kuwashirikisha wana MMU.
je huyu mwalimu nimfanyaje?
Hapana Christine. Lakini kama "anaona huruma" hilo chozi la mdada kumwagika, what else can he do ili chozi lisiendelee kutoka?Halafu itamsaidia nn? Au kuongeza idadi ndio raha yako!!?
we bidada mbona unapenda kutibua?
Wana wa JF, nimetatazika wandugu. Nina jirani yangu yeye mwalimu jinsia yake ya kike. Amejaribu sana kuwa karibu na mimi, nami niligundua dalili zote lakini nilikuwa nampotezea.
Sasa leo ndio leo mahasibu yamenipata. Mwalimu kaingia kwangu mchana wa leo tukawa tunapiga stori za hapa na pale. Punde akanieleza kuwa moyo wake umenichagua mimi ananipenda sana, ameniomba tuwe wapenzi. Akaendelea zaidi kuniambia kwamba nisinifikirie kama yeye ni malaya au nini kwa kunitamkia ukweli wa moyo wake. kwani wanawake huwa ni vigumu kusema ukweli wa ndani ya moyo wake, ameniambia amejitaidi sana kunionyesha japo nigundue hisia zake lakini mimi sijagundua. Ameshidwa na uvumilivu
Mwalimu kisha akaniuliza nina mpenzi. Nami nikamwambia ukweli nina mchumba ambaye tayari nimeshamtolea mahari nyumbani kwetu Kurio Kwamtoro Kondoa.
Lahaulaa!! Mwalimu akaanza kulia, nikachanganyikiwa. Nimejaribu kumsihi na kumbembeleza wapi.
Imenibidi nimuache kwangu, nimemwambia akijisikia vizuri aende kwake. Sasa hivi nipo Bar natafakari, nikaona siyo vibaya kuwashirikisha wana MMU.
je huyu mwalimu nimfanyaje?
Kwa sababu ni mzuri ndiyo maana sikuja kuuliza... otherwise, ningepiga bonge la swali... NIFANYEJE..??Kumbe ndio maana wewe haukuja kuuliza hapa!!!looh nimepata jibu sasa
Kwa sababu ni mzuri ndiyo maana sikuja kuuliza... otherwise, ningepiga bonge la swali... NIFANYEJE..??
halafu itamsaidia nn? Au kuongeza idadi ndio raha yako!!?