SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
wewe hani.thi tu
View attachment 109718....si mngeenda wote bar mtafakari pamoja!lol
wewe hani.thi tu
Kama vipi "kula" tu!:biggrin1:
kama kumkataa ushamkataa na ndani ushamwambia atoke, sasa unachotaka kusaidiwa ni namna ya kumtoa ndan kwasababu bado yupo? Ama namna ya kumkwepa? Ama umfanyeje ilhali mwingne umemtolea mahari?
Huna mapenzi ya dhati kwa huyo mchumbaako naona uko mguu nje mguu ndani ndio maana huna uhakika na ulitakalo!,Kama ushamwambia una mchumba kwanini ulete mada hapa?Wana wa JF, nimetatazika wandugu. Nina jirani yangu yeye mwalimu jinsia yake ya kike. Amejaribu sana kuwa karibu na mimi, nami niligundua dalili zote lakini nilikuwa nampotezea.
Sasa leo ndio leo mahasibu yamenipata. Mwalimu kaingia kwangu mchana wa leo tukawa tunapiga stori za hapa na pale. Punde akanieleza kuwa moyo wake umenichagua mimi ananipenda sana, ameniomba tuwe wapenzi. Akaendelea zaidi kuniambia kwamba nisinifikirie kama yeye ni malaya au nini kwa kunitamkia ukweli wa moyo wake. kwani wanawake huwa ni vigumu kusema ukweli wa ndani ya moyo wake, ameniambia amejitaidi sana kunionyesha japo nigundue hisia zake lakini mimi sijagundua. Ameshidwa na uvumilivu
Mwalimu kisha akaniuliza nina mpenzi. Nami nikamwambia ukweli nina mchumba ambaye tayari nimeshamtolea mahari nyumbani kwetu Kurio Kwamtoro Kondoa.
Lahaulaa!! Mwalimu akaanza kulia, nikachanganyikiwa. Nimejaribu kumsihi na kumbembeleza wapi.
Imenibidi nimuache kwangu, nimemwambia akijisikia vizuri aende kwake. Sasa hivi nipo Bar natafakari, nikaona siyo vibaya kuwashirikisha wana MMU.
je huyu mwalimu nimfanyaje?
Wameshapewa mishahara yao,maana nasikia wa kule
Mbeya mishahara yao imezuiliwa isije kuwa analia na yake ukajua analilia penzi
Ufanyeje wakati una mchumba?
Huna mapenzi ya dhati kwa huyo mchumbaako naona uko mguu nje mguu ndani ndio maana huna uhakika na ulitakalo!,Kama ushamwambia una mchumba kwanini ulete mada hapa?
We achana na huyo mwalimu kwani unataka umfanyaje na anachokitaka kwako huwezi kumpa!
Mke bora utoka kwa Mungu. Usiku kabla ujalala piga goti umlilie Mungu akuonyeshe mchumba na mwalimu nani ndiye sahihi kwako.
Ni PM namba yako ya Tigo pesa au M pesa then mambo yakiwa mazuri, usikonde.vipi ndugu umechukua yale malipo unigaiye kidogo
Mke bora utoka kwa Mungu. Usiku kabla ujalala piga goti umlilie Mungu akuonyeshe mchumba na mwalimu nani ndiye sahihi kwako.
Bado, nikichukua nitarudi JF kusema chochote. Au siku ukiona beg ya Tanzanite kwenye avata yangu ujue nipo safiMkuu ushavuta ule mpunga?