Mchungaji zuzu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji zuzu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ng'wanankamba, Mar 1, 2012.

 1. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  [TABLE]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 518"]
  [TR]
  [TD]Baada ya Zuzu kumaliza kozi ya uchungaji na kufanya kazi kwa muda, siku moja akakutana na wachungaji wenzake 2 wakaamua wafanye toba wenyewe maana kila siku wanawafanyia toba waumini wao.

  Basi ikawa hivi;
  Mchungaji Zumbukuku:Jamani mie naomba mniombee niweze kuacha hii dhambi maana ninakula sadaka za waumini hapa nilipo natafutwa kuna hela hawazioni.

  Mchungaji Zezeta :mhm afadhali wewe, mie mwenzio yangu ndo balaa naomba tu mniombee mwenzenu maana wale wanawake wote mnawaona mle kanisani kwangu nimeshatembea nao, yaani hivi ninavyowaambia waume zao washajua na wananitafuta.

  Mc​hungaji Zuzu ilivyofikia zamu yake akawa anaondoka zake,

  wenzake wakamwambia "vipi tena mwenzetu unaondoka wakati hatujamaliza"
  akawajibu" mhmh mwenzenu mie ndo kabisaa naomba tu mniombee niweze kuacha hii dhambi maana mwenzenu mie ni mbea,yani hivi nilivyoinuka nilikuwa naenda kuwambia waumini wenu"​.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa dhambi kubwa kuliko zote ni umbea.
   
 3. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Dah u made ma day manake kuna m2 kaniboa kwa hl namsamehe.Thnx braza.
   
 4. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  utamu kolea hiii
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hapo unanichanganya kwani viongozi wangu wa dini wamenifunza dhambi zote ni sawa afu leo unaniambia dhambikubwa kuliko zote ni umbea
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mh jock za kidini na imani za dini zingepungua humu jamvini ningefurahi sana
   
 7. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shine w unaonekana huyafaham mandiko vizur!
   
 8. C

  CHINGUMBE Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Umbea sio dhambi ila mtu anawai kupeleka taarifa zilizo sahh
   
 9. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected

   
 10. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hehe kazi ipo
   
 11. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tuwe wakweli,dhambia ya uzinzi na wizi haiwezi kuzidi dhambi ya umbea. Na haya madhehebu ya dini yanayochipuka kama uyoga tuwe makini nayo.
   
Loading...