Mchungaji: Polisi mkiwapiga risasi na Mabomu hawa wengine watazaliwa!!

mchungaji anamaanisha ni serikali inayohusika ktk zoezi zima la kutuua kwa mabomu,na risasi na pinda katangaza hayo bungeni leo sasa huyu huyo musigwa mubunge mwenye timamu kabisa anaingiaje hapo au wewe baba koccm? jenga hoja na c kuropoka ebooo
 
Tatizo watawala wa nchi hii hawasikii wameziba masikio, wamepofuka akili

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jaribu kufanya meditation. Nafikiri utajuta ku-post huo utupu hapo juu. Acha kudhalilisha(wazazi wako) waliokuzaa. Ni bora usingesoma shule kabisa, sasa kama umesoma na unakuwa tutusa kiasi hiki! Elimu imekusaidia nini?. Jitathimini.

mojawapo ya watu wanaotumia hiyo ID ni wale masalia waliohamia CCM toka CDM baada ya kufukuzwa, wala usihangaike nao
 
Mkuu wa jimbo la Arusha magharibi na Mchungaji wa kanisa la KKKT,Mch Kisiri amesema kuwa anasikitika kwa Kifo cha Judith Moshi kilichokatizwa na watu alie waita Wanyama na Magaidi kwa kurusha Bomu ktk mkutano wa CDM.

Alisema kwamba Amani na utulivu tulionayo ipo mashakani kutoweka kwa ajili ya viongozi wanaoshindwa kusoma Alama za Nyakati huku wakiendeleza Porojo na Hadithi badala ya kujibu kero za wananchi.na wamekua wakitumia Risasi na mabomu kuwatisha wana nchi.

Aliwaambia wanausharika na wasio washarika kuwa wasife Moyo na wasiogope maana Mungu yupo upande wao. Na kwamba polisi kutumia risasi na mabomu kuwaua sio suluhisho kwani wakiuwawa hawa wengine watainuka.
Aliyasema hayo ktk ibada ya Mazishi ya Marehemu Judith Moshi.
Wewe huo uchungaji umeanza lini nenda zako usituletee habari za kibavicha humu,ukipotosha watu unapata nini ona soo basi.
 
Siku hizi msemaji wa chadema ni mchungaji baada ya padri kuwa safarini ulaya.
 
mchungaji anamaanisha ni serikali inayohusika ktk zoezi zima la kutuua kwa mabomu,na risasi na pinda katangaza hayo bungeni leo sasa huyu huyo musigwa mubunge mwenye timamu kabisa anaingiaje hapo au wewe baba koccm? jenga hoja na c kuropoka ebooo
Anamaanisha chadema kupitia viongozi wake wanaoshindwa kusoma alama za nyakati.
 
kha! huyu vp? dhambi zake yeye znakuhusu nin? kweli ujinga bdo ni janga la taifa! sasa kosa la huyu mchungaji ni nini? what if angekua amepoint chama fulani direct? think big asee! ungekua umempoteza mtu wako ktk lile tukio cdhan km ungeharisha hivi! hata hvo huez kubali kuwa janga ni janga hadi likufike! u beta watch yo words cz u do know about tommorow
 
mkuu wa mkoa akuwepo?maana ndiye atakaye iwakilisha serikali kwa kutoa tamko,maana mei mosi aliwaonya waandishi wa habari kuwa makini na mambo wanayo yaandika maana serikali ya CCM itawangoa kucha
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

guilty conscience ndio inayokuumiza na utabaki nayo mpaka kaburini..... ole wako siku yaja
 
Kiongozi wa dini namambo ya siasa wapi na wapi?
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

Yaani wewe ndo bure kabisaa, bora ungezaliwa hata chupa ya chai tungefaidi than such a brainless person
 
mkuu wa mkoa akuwepo?maana ndiye atakaye iwakilisha serikali kwa kutoa tamko,maana mei mosi aliwaonya waandishi wa habari kuwa makini na mambo wanayo yaandika maana serikali ya CCM itawangoa kucha
 
Eh kweli cdm mmepandikiza vijana wengi kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa malipo (baadhi yao nawafahamu ni rafiki zangu-ajira safi). Acha ccm na wengine waendelee kulala usingizi wa pono. Mmebaini ukweli kuwa mitandao ya kijamii inalipa kwelikweli kisiasa kwa kuwa inalenga vijana wasomi wa .com ambao ni wengi na effectve. Ccm haina habari ghadafi na viongozi wengine hususan wa middle east walivyong'olewaje madarakani. Ni kutokana na vuguvugu zilizoanzia kwenye mitandao ya kijamii. Cdm wamegundua hilo ndo maana wame-plant vijana wengi kutwa wanashinda kwenye internet waki-post andiko ya kuishabikia cdm na kuikandia ccm na vyama vingine. Kweli umakini ccm umekwisha. Wamechoka kabisa. Sijui wana ajenda gani ya kuendelea madarakani uchaguzi ujao maana cdm hawakamatiki kwa mtaji huu. Nchemba alie tu!!! Ni uzembe wao wakutong'amua. Mimi binafsi nawaombeni cdm na ccm wasihusihusishe dini zetu takatifu katika mitego yao ya kisiasa. Wakae mbali kabisa na nyumba zetu za kuabudia na viongozi wetu wa dini. Uchafu wenu wa kisiasa uishie mitaani tafadhali. Fanyeni vurugu zozote lakini mlinde dini zetu (na viongoziwake) msizipake matope ya kisiasa. Siasa ni mchezo mchafu isiwe karibu na dini zetu.
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

Ni mbumbumbu wa kiwango cha hali ya juu sana asiyeweza kuusoma na kuona ukweli uliomo kwenye mahubiri ya Mchungaji Kisiri, pole kaka; kumbe rank ya kuwa JF senior expert member sio kigezo cha upeo wa mtu wa kuchambua mambo na kuelewa!
 
Mkuu wa jimbo la Arusha magharibi na Mchungaji wa kanisa la KKKT,Mch Kisiri amesema kuwa anasikitika kwa Kifo cha Judith Moshi kilichokatizwa na watu alie waita Wanyama na Magaidi kwa kurusha Bomu ktk mkutano wa CDM.

Alisema kwamba Amani na utulivu tulionayo ipo mashakani kutoweka kwa ajili ya viongozi wanaoshindwa kusoma Alama za Nyakati huku wakiendeleza Porojo na Hadithi badala ya kujibu kero za wananchi.na wamekua wakitumia Risasi na mabomu kuwatisha wana nchi.

Aliwaambia wanausharika na wasio washarika kuwa wasife Moyo na wasiogope maana Mungu yupo upande wao. Na kwamba polisi kutumia risasi na mabomu kuwaua sio suluhisho kwani wakiuwawa hawa wengine watainuka.
Aliyasema hayo ktk ibada ya Mazishi ya Marehemu Judith Moshi.

Well thought speech. Hapo ndio unaona utofauti wa kauli ya binadamu mwenye akili na yule anayeamkia kwa mganga wa jadi wakizungumza.
 
Mkuu wa jimbo la Arusha magharibi na Mchungaji wa kanisa la KKKT,Mch Kisiri amesema kuwa anasikitika kwa Kifo cha Judith Moshi kilichokatizwa na watu alie waita Wanyama na Magaidi kwa kurusha Bomu ktk mkutano wa CDM.

Alisema kwamba Amani na utulivu tulionayo ipo mashakani kutoweka kwa ajili ya viongozi wanaoshindwa kusoma Alama za Nyakati huku wakiendeleza Porojo na Hadithi badala ya kujibu kero za wananchi.na wamekua wakitumia Risasi na mabomu kuwatisha wana nchi.

Aliwaambia wanausharika na wasio washarika kuwa wasife Moyo na wasiogope maana Mungu yupo upande wao. Na kwamba polisi kutumia risasi na mabomu kuwaua sio suluhisho kwani wakiuwawa hawa wengine watainuka.
Aliyasema hayo ktk ibada ya Mazishi ya Marehemu Judith Moshi.

Tangia lini mchungaji akakisemea vizuri serikali ya ccm?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom