Kumbe CDM ni yawachungaji!
Usikute yeye mwenyewe anazambi kibao. Asante mungu dhambi hazinuki, maana hawa wanaojiita watakatifu wange umbuka kwa harufu ya dhambi.Mkuu wa jimbo la Arusha magharibi na Mchungaji wa kanisa la KKKT,Mch Kisiri amesema kuwa anasikitika kwa Kifo cha Judith Moshi kilichokatizwa na watu alie waita Wanyama na Magaidi kwa kurusha Bomu ktk mkutano wa CDM.
Alisema kwamba Amani na utulivu tulionayo ipo mashakani kutoweka kwa ajili ya viongozi wanaoshindwa kusoma Alama za Nyakati huku wakiendeleza Porojo na Hadithi badala ya kujibu kero za wananchi.na wamekua wakitumia Risasi na mabomu kuwatisha wana nchi.
Aliwaambia wanausharika na wasio washarika kuwa wasife Moyo na wasiogope maana Mungu yupo upande wao. Na kwamba polisi kutumia risasi na mabomu kuwaua sio suluhisho kwani wakiuwawa hawa wengine watainuka.
Aliyasema hayo ktk ibada ya Mazishi ya Marehemu Judith Moshi.
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!
Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.
Signature yangu imemaliza mjadala.
Hakika masisiem yamewaharibu hata utu wa mwanadamu...huna tofauti na hayawani kama masisiem wenzio..Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!
Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.
Signature yangu imemaliza mjadala.
Mtumishi wa mungu alie msafi maungoni mpaka nyoyoni hawezi kutoa kauli kama hiyo. Uyo lazma atakua anaajenda yake ya siri tu.
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!
Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.
Signature yangu imemaliza mjadala.
Mkuu wa jimbo la Arusha magharibi na Mchungaji wa kanisa la KKKT,Mch Kisiri amesema kuwa anasikitika kwa Kifo cha Judith Moshi kilichokatizwa na watu alie waita Wanyama na Magaidi kwa kurusha Bomu ktk mkutano wa CDM.

Huyo ni mtumishi wa CDM
Usikute yeye mwenyewe anazambi kibao. Asante mungu dhambi hazinuki, maana hawa wanaojiita watakatifu wange umbuka kwa harufu ya dhambi.
Mtumishi wa mungu alie msafi maungoni mpaka nyoyoni hawezi kutoa kauli kama hiyo. Uyo lazma atakua anaajenda yake ya siri tu.
Mtumishi gani wa mungu anaeleta siasa mpaka makaburini.
ukiongea baada kupata chibuku hoja yako inachukuliwa kichibuku(hongera kwa kupata lita 5 za chibuku)Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!