Mchungaji: Polisi mkiwapiga risasi na Mabomu hawa wengine watazaliwa!!

Mchungaji: Polisi mkiwapiga risasi na Mabomu hawa wengine watazaliwa!!

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,832
Reaction score
566
Mkuu wa jimbo la Arusha magharibi na Mchungaji wa kanisa la KKKT,Mch Kisiri amesema kuwa anasikitika kwa Kifo cha Judith Moshi kilichokatizwa na watu alie waita Wanyama na Magaidi kwa kurusha Bomu ktk mkutano wa CDM.

Alisema kwamba Amani na utulivu tulionayo ipo mashakani kutoweka kwa ajili ya viongozi wanaoshindwa kusoma Alama za Nyakati huku wakiendeleza Porojo na Hadithi badala ya kujibu kero za wananchi.na wamekua wakitumia Risasi na mabomu kuwatisha wana nchi.

Aliwaambia wanausharika na wasio washarika kuwa wasife Moyo na wasiogope maana Mungu yupo upande wao. Na kwamba polisi kutumia risasi na mabomu kuwaua sio suluhisho kwani wakiuwawa hawa wengine watainuka.
Aliyasema hayo ktk ibada ya Mazishi ya Marehemu Judith Moshi.
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.
 
Kama mchungaji kayasema haya, nampa five.

Hatutaki viongozi wa dini wanaouma na kupulizia. Nyeusi iitwe nyeusi na nyeupe iitwe nyeupe.

Kwa kauli ya pinda leo ya kuwahimiza polisi kuwapiga na kuwaua raia, natarajia viongozi wa dini (kama si wanafki) kujitokeza na kukemea matamshi hayo.
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.
You can not expect miracles from spineless hypocrite like you!!
 
Very true, na hao wengine watakaozaliwa kamwe hawatakubali kuburuzwa na kukandamizwa katika nchi yao. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu...Amen!
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

Another ----. Hivi wewe ni lazima uropoke?.
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

Nampa pole baba ako,kalea mtoto asiye wake
Nakushauri kaa na mama ako kitako atakueleza baba yako halisi ni nan
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

kombora utakaloshushiwa na mungu soon utaomba ufe ila kifo kitakuwa mbali kwa kauli hizi zako.
 
Magamba hayatasikia wala kuona kwa ulevi wa madaraka mpaka wananchi watakapo wafurumua kwenye viti vyao!
 
Amina Mchungaji, ujumbe umefika hizi nyakati sio za ndio mzee.!!
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

Yaani wewe mwampamba ndio shujaa wako? Adhabu ya mungu ipo karibu sana na ninyi.
 
Message sent and delivered to an intended destination
wana macho, lakini hawaoni, wana maskio lakini hawasikii, wana pua lakini hawanusi. Hao ndiyo CCM. Utawapa ujumbe gani ili waweze kuelewa kinachosemwa? Ni hadi hivi vifo vigeukie upande wa CCM ndipo watafeel machungu ya hiki wanachokifanya.
 
Wadhalimu watalipa hapa hapa duniani na mbele za Mungu, faraja niliyonayo ni kwamba hawataishi milele. Mlale salama mliodhulumiwa maisha yenu.
 
Viongozi wa Dini zote na asasi zisizo za serikali, jitokezeni na kukemea kwa nguvu Udhalimi huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom