Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 895
Ukweli nimeumia sana hasira na chuki kwa ccm na hasa nikiona jinsi roho zilizoangamia na wanaCCM Wanaongea kwa dhihaka kwa wana CDM inachukuliwa kana kwamba wale waliofariki si raia wa tanzania na hawakua na haki ya kuishi!! kisema ukweli nina chuki sana hasa kwa Nape na kundi lake na wote wanaopindisha ukweli!! eti CDM wamejirushia BOMU kweli inakuingia akilini? CCM wanatafuta kuisambaratisha Chadema kwa njia yoyote ile!! Walitengeneza video ilikuufanya Umma uone Chadema ni chama cha ugaidi lkn kwakua kuna wanasheria makini hilo limeonekana ni uzushi tu!!CCMwamehusika kwenye hili la BOMU na huu ni mpango wa Mwigulu na Nape hawa ni washenzi ndio wanaleta huu mtifuano wote nawachukia kutoka moyoni kabisa! Naipenda nchi yau yangu Tanganyika ardhi ya babu yangu siridhiki na jinsi CCM wanavogeuka madalali kwa maliasiri zetu kwa faida ya matumbo yao!!Hkumbukeni hamta ukwepa ukweli iwe hapa duniani au kesho kiama!! CCM mlimuua Nyerere ilimpate uwanja wakuikoloni Tanzania baada ya raia kuwakataa sasa mnaanza kurusha mabomu ninawaapia hamtatumaliza wote ipo siku mtakufa na tutatapikia makaburi yenu!!