Mchungaji: Polisi mkiwapiga risasi na Mabomu hawa wengine watazaliwa!!

Mchungaji: Polisi mkiwapiga risasi na Mabomu hawa wengine watazaliwa!!

Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

hivi yule aliyesema JK ni chaguo la Mungu ni nani vileeee...?
Samahani,nauliza tu...
 
naomba watanzania mniombe kuna jambo zito ninataka kulisema...kauli ya mwigulu hyo sasa imeishia wapi?
 
Kuna jambo moja ambalo halina ubishi. Usalama wa maisha na mali ya Watanzania iko chini ya Serikali na serikali na chama tulichokabidhi wajibu huo wasijifanye wanahujumiwa na mtu au chama chochote kile. Kama wameshindwa kazi watwambie tuliowapa kazi ili tuwape wanaoweza. Hapo Mwingula amepotoka kutafuta scape goat, haipo. Tuakikishieni usalama wetu. Na mchunganji hakuuma maneno yake. Msituue, tulindeni, Basi.
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

Hapa wazazi wako wasijisifie kuwa wana mtoto ila mama yako ashukuru kuwa alisafisha kizazi.
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

Katika watu ambao huwa naamini ni 0 kabisa ni wewe. Pole sana njoo nikupe kazi mshahara M1.5. Huko Nepi anakupotezea msa tu Hiyo pesa .i tax free
 
Kama mchungaji kayasema haya, nampa five.

Hatutaki viongozi wa dini wanaouma na kupulizia. Nyeusi iitwe nyeusi na nyeupe iitwe nyeupe.

Kwa kauli ya pinda leo ya kuwahimiza polisi kuwapiga na kuwaua raia, natarajia viongozi wa dini (kama si wanafki) kujitokeza na kukemea matamshi hayo.

Siku hizi hata raia ni wachumia tumbo tu kama wanaiunga mkono CCM nao ni mafisadi tu, Saini yangu inaanzisha mjadala
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.
Mhh kweli umenena, Nakumbuka Askofu Desmond Tutu kasema "Don't raise your voice. Improve your argument." Good sense does not always lie with the loudest shouters, nor can we say that a large, unruly crowd is always the best arbiter of what is right.”
― Desmond Tutu
 
Jamani wadau kama kuna mwenye full Mahubiri ya Mch. Kisiri naomba aturushie humu na sie tupate huu ujumbe murua.
 
Hata Msigwa pamoja na utovu wa nidhamu alionao ni mchungaji!

Siku hizi hawa viongozi wa dini ni wachumia tumbo! ni wachache sana wamebakia na ethics za kichungaji.

Signature yangu imemaliza mjadala.

Kama ambavyo mchawi Maji Marefu kuwa kiongozi.... Ajabu sana... Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli.... CCM IMESHINDWA KUENDESHA NCHI... KIKWETE NI RAIS DHAIFU...
 
hivi yule aliyesema JK ni chaguo la Mungu ni nani vileeee...?
Samahani,nauliza tu...
Ni askofu Kilaini. Sikupenda hoja yake. Sipendi kubishia watumishi wa Mungu ila wamekuwa ndumila kuwili. Waache kuchukua pesa za kifisadi za Lowasa
 
Hapa wazazi wako wasijisifie kuwa wana mtoto ila mama yako ashukuru kuwa alisafisha kizazi.

Hakyanani mama yake na huyo jamaa asingemtoa angeugua kansa ya kizazi...
 
Hawa wote ambao hawataki kuiona Tanzania mpya iliyo huyu na yenye neema kwa kila raia au wanafaidika na huu mfumo dhalimu kwa kudondoshewa makombo tokakatika meza za mabwana zao au wapo gizani, wameleweshwa na ghiliba za akina Nape na Mwigulu Nchemba, kwa wao wenyewe hawawezi kutoka hapo walipo. Wanahitaji kuelimishwa ili waione CCM kama jinsi ilivyo, tukusanye jeshi kubwa kwa ajili ya ushindi usio na mashaka katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
 
kumbe wachungaji na chadema ni kama pete na kidole!

Udini umekujaa, shame on you, na wajinga wenzio hamtatugawanya tena kwa misingi ya udini, ukabila wala ukanda, together we will stand na kushughulika na embiciles km nyie mnaoendeleza divide n' rule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom