- Thread starter
- #81
msigwa anatumiwa na NYALANDU , kama mnakumbuka NYALANDU amaeifutia kampuni hiyo kibali cha kuwinda kutokana na maslahi binafsi aliyonayo na wamarekani fulani, so anamtumia MSIGWA kuhalalisha hatua zake za kiwehu. NYALANDU, LEMBELI na MSIGWA wameunda utatu wa kishenzi na kifedhuli maliasili, MSIGWA ni kama condom na mla rushwa mkubwa, shame on him.
waarabu wanavyofanya ni sahihi? wanakamata hata watoto wa wanyama kama wavuvi wanavyokamata samaki kwa kokolo, hilo halikubaliki!