SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Mchungaji Msigwa ametoa picha za wawindaji kutoka kampuni ya mwana wa mfalme wa saudia wakikiuka kanuni na sheria za uwindaji.
Mchungaji amemwomba waziri kuwawajibisha wote waliohusika.
My take: Mch Msigwa alisema Kinana anaua tembo wetu, wakabisha, sasa na kawapa ushahidi kabisa, sidhani kama wataruka.
Msigwa big up!
Source: Star tv news!
Kazi anayofanya msigwa si uzalendo bali ni rushwa alioipata toka kaumpuni kinzani tatizo la rushwa limenea sana miongoni mwa wabunge na waandishi wa habari.mungu iepushe nchii kwenye janga hili.